Wewe unitumie hela mimi au mimi ndio nikutumie hela wewe?
Kwanza una shida hauna hela ndio maana unaanzisha nyuzi za hovyo, ni kweli umelewa.
Hakuna mtu mwenye uwezo mkubwa kiuchumi atakaa kulalamika kuhusu wanawake na ndoa, hayupo, nioneshe mmoja anayepinga ndoa, na sababu zake!?
Zaidi sana ya ubinafsi ni nini?
Nimesema wewe ulichezea maisha ya mabinti wa watu sasa unavuna unalia.
Hauna hela ya kunitumia mimi, kijana, hauna, niamini nachokwambia, wewe una stress ndizo unataka kumtumia kila mtu humu na tunakataa.