No matter what Privacy ni muhimu sana hata wakati wa pillow talk kuwa makini

Utaratibu wangu wa maisha ni kuwa msikilizaji zaidi ya mzungumzaji.

Mtu anayweza kunilipua ni mke wangu maana huwa nafunguka sana kwake hasa mambo yasiyohusu pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…