No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Ww usie na msimamo ndio utakufa kama kenge onyesha misimamo yako mwanamke anaekupenda na mliingia kwenye mahusiano mkiwa na jambo moja kupendana lazima afuate misingi ulio muwekea nyie walachipsi akili hazifanyi kazi ndio maana mwanamke wako akikaa na mwanaume mwenye sauti ya mamlaka anaona kabisa ww ni mjinga ndio nyie mnaambiwa hebu kaone kwakua mwanamke anaona huna mamlaka na nguvu juu yake.
Ninaposema mamlaka sio mpka upigane nae hapana ila kuna zile hisia na misingi unayomuwekea anajua hapa sio pa kuzembea
Ww jamaa hujawaelewa wana,nihivi sio kila pahala pakuonesha misimamo yako kuna sehemu ukionesha hiyo misimamo na sheria zako nisawa nawork done is equal to zero je uendelee kugangamala tu hata kama unaona kiza kinene mbele kisa ww nimwanaume???ndio pale wahusika wanasema niheri aondoke amwache namaisha yake kuliko kuendelea kusimamia shoo ambazo madhara yake nikujiua au kumchoma kisu mwanamke kisa kushindwa kukuobey as her husband!!!!
 
Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.

Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.

Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri

Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.

Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.

Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.

Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...

Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
Wakati huo wewe una elimu gani..??

CC To yeye and Nakadori
 
Jipeemoyooo utashindaaaaaaaa tafuta nyuma kuna.thread wenzio walisiifiaaa graduates n phd

Single tuna waozooooooom tu
 
Na mwanamke na mtoto mmoja ana degree hana shida binti wa wawatu na haaachiki.Na madhaifu bilioni 10 lakini yupo na mimi tu ,alinitoa hostel akanileta mtaa mwaka wa 8 huu .Toka sina kazi mpaka nakazi yupo.Sikuelewi kabisa mtoa mada unazungumza vitu gani.
 
Propaganda za jf hazinaga uhalisia, tushawazoea watu kama nyie.

Msimamo gani labda unaouongelea mkuu!?? Hiyo mentality yako itakua inakuumiza sana ni vile hutaki kuonyesha kufeli kwake.

Mimi siwezi kuumia coz naamini mimi sio wa kila mwanamke, kuna type za wanawake siwezi date nao kabisa.

Sasa wewe papatuka na kila mwanamke ukidhani kila mwanamke umeumbiwa wewe.
Umejitahidu kumjibu jamaa nakumuelewesha ukweli wa mambo ulivyo ila jamaa andhani eti yy nimwamba nakwba anaweza kucontro kila aina ya mwanamke atakae kutana nae mbele,huo ni ulongooo,sio kila mwanamke anaweza kufuatisha ukitakacho ndio maan kuna kuachana ambacho ndio msingi wahoja.kongole brother.
 
Jipeemoyooo utashindaaaaaaaa tafuta nyuma kuna.thread wenzio walisiifiaaa graduates n phd

Single tuna waozooooooom tu
Pdidy mpaka leo upo single mkuu?.... maana hii ID yako hapa jukwaani ni ya kitambo... au ndo senior bachelor
 
Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.

Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.

Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri

Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.

Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.

Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.

Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...

Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
Mzobe mzobe 🤣🤣
 
Back
Top Bottom