No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.

Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...
mleta mada umeuza ramani ya vita kwa adui. ungeuchuna tu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
"Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo..."
 
Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.

Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.

Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri

Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.

Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.

Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.

Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...

Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
brother zama zimebadilika sana.. ukioa la saba na form four ni sawa na kujiongezea mizigo na majukumu .. mwanamke msomi ni asset ya familia na ni faida kwako na watoto wako, usomi wa mwanamke na tabia zake ni mambo yasiyoshabihiana japo wanawake wengi wameharibiwa na maadili ya mitaa na malezi ya familia walizotoka, si wanawake wote wasomi wana tabia za kiwaki.. mke wangu ana masters ila hajawahi kuniletea upororo michongo yangu mingi anasolve yeye kisomi zaidi.. baki na la saba/form four wako utakufa mapema tu mjuba.
 
Una hoja mkuu. Wanawake wasomi wenye kumcha Mungu huwa wapo vizuri sana. Ila ukutane na msomi halafu mpagani hakuna rangi utaacha kuona. Hata biblia inasema katika Mithali 25:24 "Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi".Hawa viumbe wengi wao hawana stamina ya ku handle mafanikio, wengi huishia kuwa na viburi na dharau kama dunia yote yao. Mungu awasaidie tu.
yan hapo kukaa darin, maana yake bora uwe msukule kuliko kukaa na hao wanawake
 
Shida ya wasomi ni kujifanya feminists uchwara. Anaona kumheshimu mumewe ni udhaifu...na ni nadra kwake kujishusha.
View attachment 2460359

Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukaa na mwanamke mwenye dharau, ego, maneno mengi na uanaharakati. Na zote hizi ni sifa za hawa wasomi.

View attachment 2460366

Halafu kumbuka hawa wasomi wanakuwa wameolewa huko vyuoni na vianaume vyao uchwara kwa miaka miwili mpaka mitatu. Yaani wameishi kinyumba kabisa vijamaa vikila na kupakua for 2yrs+ na baadaye kutemwa na vijamaa vyao. Wengi wao tayari wana makovu na maumivu makali ya kisaikolojia ya kuchezewa miili yao kwa miaka yote hiyo halafu wakatemwa. Ndo hawa utawasikia eti wanaume wote mambwa. Mwanamke wa aina hii (mke wa mtu aliyetemwa kibabe) atakuwaje mke mwema? [emoji15][emoji15][emoji15]

Labda ubahatishe sana!
Hii ni ukweli kabisanaunga mkono hoja kwa shilingi elfu 80
 
brother zama zimebadilika sana.. ukioa la saba na form four ni sawa na kujiongezea mizigo na majukumu .. mwanamke msomi ni asset ya familia na ni faida kwako na watoto wako, usomi wa mwanamke na tabia zake ni mambo yasiyoshabihiana japo wanawake wengi wameharibiwa na maadili ya mitaa na malezi ya familia walizotoka, si wanawake wote wasomi wana tabia za kiwaki.. mke wangu ana masters ila hajawahi kuniletea upororo michongo yangu mingi anasolve yeye kisomi zaidi.. baki na la saba/form four wako utakufa mapema tu mjuba.
sasa la saba sio kujiongezea mzigo.... watu wengi wametoboa bila ya kwenda shule.. wewe uliyeenda shule unaweza msaidia mwenzio katika kile anachojua kukifanya kwa maendeleo ya familia akakifanya kwa ubora zaidi...
nimeshuhudia familia moja ina maendeleo mazuri na maduka kkoo huku mama akiyasimamia kikamilifu lakini nilipopata wasaa wa kuzungumza na huyo jamaa akaniweka wazi kua huyo mwanamke alikua mfanyakazi wa ndani wa familia yao na yeye alimpenda akamuoa. Wanaishi vizuri na pesa inaingia lakin mama hajaenda darasa lolote
 
brother nipo canada huku na sikutaka kuoa mwanamke mzigo maana nilikuwa na mishe za kunifanya kuishi huku kitambo.. so niliamua vyema kwa upande wangu maana nilipima mishe zangu na mtu nayetaka kuwa naye kama life partner .. hivyo kila mtu aishi na anavyoviamini.. mimi binafsi sipendi watu mizigo mwanamke yeyote ambaye hajasoma hata kuchepuka naye sitamani maana ni kujitengenezea mizigo tu huko mbele.. hao waliooa wasiosoma ni wote wana maisha mazuri na yenye amani kama alivyoandika mtoa uzi? somesheni watoto wenu wa kike maisha huko mbele yatakuwa magumu sana kuliko muyaonavyo leo..
 
haya maisha ni magumu kwa tamaa zetu tu na yataendelea kuwa magumu siku zote. Sio kwamba napinga wasisomeshwe au wasiende shule.. hapa nakataa hiyo kauli ya kuwa mzigo, changamoto unazozivumilia wewe kwa mkeo kuna mtu angeshindwa kabisa na zile ambazo wewe unaziona kwa hao ambao labda hawakupata nafasi ya shule kuna mtu atazimudu vizuri mno.. ninachopinga ni wewe kuwaita mizigo
tanzania yetu unaijua, bado tupo kwenye kujenga madarasa so wasio na elimu pia ni watu.
Lakini kwa tz hawa feminist ni kero mno, maadili yetu ki africa ni mwanamke kuwa chini ya mwanaume... mimi kwangu nikishagundua tu mwanamke anajilinganisha na mimi kwa namna yeyote ile basi ni kumuweka chini na kumueleza wazi ni anakua chini au anaenda,, sihitaji aliye sawa na mimi au anayetaka kuwa juu yangu... silei matatizo
 
Kwa uzoefu wangu ninayoyaona kwenye jamii wanawake wasomi waliopo 45+ hivi wana nafuhu hawa kipindi wanasoma hizi itikadi za feminism zilikua bado hazijaingia bongo ila hawa wa 20-30+ ni kisanga
Naam, wasomi waliosoma Zamani kipindi simu hazijaingia mwendo wa barua tu ila hawa wa sasa sijawahi shuhudia mwenye unafuu labda kama wapo
 
haya maisha ni magumu kwa tamaa zetu tu na yataendelea kuwa magumu siku zote. Sio kwamba napinga wasisomeshwe au wasiende shule.. hapa nakataa hiyo kauli ya kuwa mzigo, changamoto unazozivumilia wewe kwa mkeo kuna mtu angeshindwa kabisa na zile ambazo wewe unaziona kwa hao ambao labda hawakupata nafasi ya shule kuna mtu atazimudu vizuri mno.. ninachopinga ni wewe kuwaita mizigo
tanzania yetu unaijua, bado tupo kwenye kujenga madarasa so wasio na elimu pia ni watu.
Lakini kwa tz hawa feminist ni kero mno, maadili yetu ki africa ni mwanamke kuwa chini ya mwanaume... mimi kwangu nikishagundua tu mwanamke anajilinganisha na mimi kwa namna yeyote ile basi ni kumuweka chini na kumueleza wazi ni anakua chini au anaenda,, sihitaji aliye sawa na mimi au anayetaka kuwa juu yangu... silei matatizo
Naam Mkuu Ukichukua Asilimia 80 ya watu humu JF Mama zetu waliishia hilo la 7 au la 4 la mkoloni na wengi ni housewife tu lakini ndoa zimedumu sana
 
Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu

Hili ni povu la klee soft
 
mnazunguka tu lakini ukweli hatuna fedha za kukabiliana na maisha wanayoyataka
wengi wanapenda maisha ya thamthilia na hawapendi shida wanataka wawe kama wanasesere tena sio wa nguo au plastic bali glass
wanajua bata na bata wanawajua wao gari si swala la kujadili ni sawa na nyumba kuwa na jiko la mchina hivyo mwanaume angalau uweke mafuta ya 20,000 kwa siku.
 
Usiombe uchumi uyumbe ukiwa na ndoa na hao wanawake degree holder, chamoto utakipata
 
Asante mleta mada kwa mada nzuri sana na fikirishi. Siwezi kukataa ama kukubali hapa maana nina mifano nimeiona kadhaa inayopingana na kukubaliana na hii mada.

1. Kuna dada kutoka green city..aliolewa mwaka 2017 mwishoni. Yeye si msomi ameishia form four..lakin alishafanya kaz za ndani huko uarabuni. Ameolewa akiwa mkubwa kidogo. Leo ndoa imeyumba na sina uhakika kama bado ipo maana mume anafanya kazi Moshi na yeye yuko hapa Bongo. Kwa jinsi nilikua namfahamu..ni mdada flan asiyekubali kushindwa, ana kaujuaji flan ivi afu..akiamsha shari mtaani watu mnasanda..sasa sijui ndo huyu mwanaume aliyaona haya..akasepa, am not sure.

2. Huyi ni mtu wa karibu yangu kabisa. Yeye kaishia la saba..akaolewa. Wakapata na mtoto. Lakin alikuaga ana kinywa kichafu sana kwa mume wake. Kweli mume alikua mlevi lakin alikua akirudi nyumbani..anaisoma namba. Na huyu ndugu yangu, yeye alikua anachepuka sana..tena na vijana wadogo sana kuliko yeye..tena anawapeleka nyumbani kwake... Hii kitu ikamchosha yule mwanaume akaamuaga kurudi kwao..naongelea watu waliokua wakubwa sana.

3. Huyu ni mwanamke msomi. Ni mwalimu wa primary..ameolewa na kupata watoto wanne. Ndoa ina miaka 17..mume wake kuna kipindi alikua mkorofi..anampiga, anafukuza ndugu wa mke..na huku wa kwake mke anaishi nao vizuri...kuna muda hamjali..lakin huyu mama aliweza kusurpass hayo yote. Mpaka leo ndoa iko vizuri tu..ila ndo kavumilia shits nyingi sana ambazo watu wa nje tu tuliziona..sembuse humo ndani...

4. Hii ndoa imekaa miaka 18...ni ya mama msomi sana. Lakin ndoa mpaka leo inataradadi vizuri na yule mama kwa sabbu kaolewa na mtu wa green city..ni full magoti. Yani anashukaga kwenye Fortuner yake..akimuona tu her husband..anamsalimia goti mpaka chini, hata akimpa maji tu..goti mzee.. she inspires me a lot. Ni mtu wa kusali sana..inshort she inspires me kwa mengi. Ila ndo submission at best..

Ninachoona kwenye hii mada.. ni kwamba kuna namna wasomi hushindwa kuderive submission from their education..iko ivyo. Yani kuna ile namna unakosewa..na mume...tena sana tu..na una fedha..lakin uchague kutulia na kumheshimu, na kunyenyekea hata kama una milion 100 benki.. kuweza?? Leo unapigwa..kisa mume kalewa, ama umemuuliza alikotoka na hajakujibu, ukaporomosha maneno...na akakupiga..kesho uamke..umnyenyekee tena umuheshimu na uende kazin hamna kutoa report kokote tena unyamaze...unaweza??

Lakin wanaume..nyie ni baba zetu..nyiny ni viongozi wetu..mke unamuona ana mafanikio na mnapendana..unapokosea na akakuuliza labda vibaya kwa sabbu ya hasira..mchukulie kama kiumbe dhaifu...msipende kuwatesa hao mliooa kisa tu ni wanawake...wapenden basi..watendeen mema..na msihesabu kisa tu mnaona wana mafanikio..mnaanza kuhisi watawapanda kichwan anytime..stop being defensive everytime. This is a very complex subject...am open to hearing more...
Nimekupenda bureee...
 
Dahhh,unaandika kaa hisia sana ndugu!
 
Back
Top Bottom