Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nafurahi kusikia, kwema huku piaNi poa,kwako je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi kusikia, kwema huku piaNi poa,kwako je?
Daa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sina mke ila Nina uwezo wa kumuoa Ndalichako na degree zake na haniambii kitu
Hapo umesema ukweli kwa asilimia kubwa sanaShida ya wasomi ni kujifanya feminists uchwara. Anaona kumheshimu mumewe ni udhaifu...na ni nadra kwake kujishusha.
View attachment 2460359
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukaa na mwanamke mwenye dharau, ego, maneno mengi na uanaharakati. Na zote hizi ni sifa za hawa wasomi.
View attachment 2460366
Halafu kumbuka hawa wasomi wanakuwa wameolewa huko vyuoni na vianaume vyao uchwara kwa miaka miwili mpaka mitatu. Yaani wameishi kinyumba kabisa vijamaa vikila na kupakua for 2yrs+ na baadaye kutemwa na vijamaa vyao. Wengi wao tayari wana makovu na maumivu makali ya kisaikolojia ya kuchezewa miili yao kwa miaka yote hiyo halafu wakatemwa. Ndo hawa utawasikia eti wanaume wote mambwa. Mwanamke wa aina hii (mke wa mtu aliyetemwa kibabe) atakuwaje mke mwema? [emoji15][emoji15][emoji15]
Labda ubahatishe sana!
We unazani kuwa na hela ni raha😂😂dharau zinakujaga zenyewe tu ata kma hukuwaga nazo we mwanaume ndo unatakiwa ufight usioe anaekuzidi ata kma ela, maarifa jitahdi uwe umemzidi ata kidgUmejibana kwenye kaeneo kadogo sana. Sidhani hata mleta mada anakereka na mwanamke kutafuta. Wapo wanawake ni watafutaji lakini wamesimama katika zamu zao kama wake wema na mama bora wa familia.
Kama ni mwanaharakati uchwara hata awe mama wa nyumbani moto ni ule ule tu. Pulizi usijaribu kuudogosha mjadala huu kwa kutaka kuuondolea mawanda yake mapana ya kimalimwengu maana hata Ulaya na Marekani usomi na uanaharakati huu wa haki za kijinsia ndiyo umechangia kuisambaratisha taasisi ya ndoa na familia.
Kwanini mkuu?Utaingia chaka mkuu.
Kwanini mkuuUtaingia chaka mkuu.
Haukatazwi kutoa maoni nnakusikiliza maoni yako kama nnaona hayafai utafuata nilichokwambia hutaki ndio ujuaji tunaosema kwenye nyumba mnakuwa km wanaume wawili.Nimegundua vijana wengi wakiume hawajiamin (Inferiority complex) ndio mana mada za kuwakandia wanawake wasomi haziishi kwa sababu wanataka kuishi na mwanamke ambaye hatowakosoa kwa chochote, inakuwa kama amemmnunua, maisha hayako hivyo mwanamke ni msaidizi wa mumewe anahisia na yeye ana haki ya kutoa maamuzi au maoni sio kila kitu akubali hata kama anaona kina walakini, mwanaume unawajibu wa kusikiliza maoni ya mke au mchumba kama nawe unavyosikilizwa, usiishi mwanamke kibabe ili akutii.
Unauhakika gani kuwa maoni yako ndo mzuri mana unaweza kulazimsha wazo lako lifanyiwe kazi mbeleni ukaja kujutia mi nadhani hekima na busara ndo inatakiwa itumike zaidi.Haukatazwi kutoa maoni nnakusikiliza maoni yako kama nnaona hayafai utafuata nilichokwambia hutaki ndio ujuaji tunaosema kwenye nyumba mnakuwa km wanaume wawili.
tumble una watoto wangapi babu. Half Kisaka 5 bado babu......Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.
Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri
Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.
Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.
Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.
Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...
Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
Binafsi sihusudu hiyo misimamo ya kiwaki na kizamani sana.Wanaume kama nyie huku kwetu tunawatenga tunawalaza banda moja na mbuzi
Ww usie na msimamo ndio utakufa kama kenge onyesha misimamo yako mwanamke anaekupenda na mliingia kwenye mahusiano mkiwa na jambo moja kupendana lazima afuate misingi ulio muwekea nyie walachipsi akili hazifanyi kazi ndio maana mwanamke wako akikaa na mwanaume mwenye sauti ya mamlaka anaona kabisa ww ni mjinga ndio nyie mnaambiwa hebu kaone kwakua mwanamke anaona huna mamlaka na nguvu juu yake.Binafsi sihusudu hiyo misimamo ya kiwaki na kizamani sana.
Utaja uawa/kufa kwa stress kwa kujifanya mwamba.
Wengi wenu mioyo yenu huwa inawaka moto balaa ila ndo hivyo mnataka kuonekana miamba , mnaishiaga pabaya kishenzi.
Jaribu, utakuja tena tutakushauriSina mke ila Nina uwezo wa kumuoa Ndalichako na degree zake na haniambii kitu
Jaribu tuoneSina mke ila Nina uwezo wa kumuoa Ndalichako na degree zake na haniambii kitu
Nina mke; degree holder, mwaka wa saba huu, tunalingana umri, namzidi mwezi mmoja tu.Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.
Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri
Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.
Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.
Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.
Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...
Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
Propaganda za jf hazinaga uhalisia, tushawazoea watu kama nyie.Ww usie na msimamo ndio utakufa kama kenge onyesha misimamo yako mwanamke anaekupenda na mliingia kwenye mahusiano mkiwa na jambo moja kupendana lazima afuate misingi ulio muwekea nyie walachipsi akili hazifanyi kazi ndio maana mwanamke wako akikaa na mwanaume mwenye sauti ya mamlaka anaona kabisa ww ni mjinga ndio nyie mnaambiwa hebu kaone kwakua mwanamke anaona huna mamlaka na nguvu juu yake.
Ninaposema mamlaka sio mpka upigane nae hapana ila kuna zile hisia na misingi unayomuwekea anajua hapa sio pa kuzembea
hebu kaone haka 😂😂😂Wanawake tumeumbiwa sisi na tulipoambiwa tuishi nao kwa akili ww huna akili huwez ishi nao we baki kulialia wakufulishe mpka chupiPropaganda za jf hazinaga uhalisia, tushawazoea watu kama nyie.
Msimamo gani labda unaouongelea mkuu!?? Hiyo mentality yako itakua inakuumiza sana ni vile hutaki kuonyesha kufeli kwake.
Mimi siwezi kuumia coz naamini mimi sio wa kila mwanamke, kuna type za wanawake siwezi date nao kabisa.
Sasa wewe papatuka na kila mwanamke ukidhani kila mwanamke umeumbiwa wewe.