Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Umejibana kwenye kaeneo kadogo sana. Sidhani hata mleta mada anakereka na mwanamke kutafuta. Wapo wanawake ni watafutaji lakini wamesimama katika zamu zao kama wake wema na mama bora wa familia.Sasa mtu atakaaje ndani kama mwali jmni karne hii maisha yenyewe magumu sio kma zamn lbd ata mmevuna chakula kipo ndani saivi inabidi tyu wote tukatafte
Kama ni mwanaharakati uchwara hata awe mama wa nyumbani moto ni ule ule tu. Pulizi usijaribu kuudogosha mjadala huu kwa kutaka kuuondolea mawanda yake mapana ya kimalimwengu maana hata Ulaya na Marekani usomi na uanaharakati huu wa haki za kijinsia ndiyo umechangia kuisambaratisha taasisi ya ndoa na familia.