No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

Ohooo ningemiliki mtoto kama miss Renee ningehangaika na lishangazi kama wewe?🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Ushabwagwa masikini, ningeshangaa kama ungedumu nae. Kitu pekee unaweza dumu nacho ni hicho kitambi tu🤣🤣🤣

Lete basi mipango ya sikukuu.
 
Mdogo wako kuolewa asahau labda tu aachane na ufeminist na aache kukoroma usiku kama anakufa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 We kimbinyiko mie ni bonge la wife material. Sema wewe furushi huwezi kuona.
 
🤣🤣🤣🤣 We kimbinyiko mie ni bonge la wife material. Sema wewe furushi huwezi kuona.
Sasa nioe mama yangu mdogo wa nini sasa?
Kuna watoto wabichi hata jua linaogopa kuwapiga sio wewe umekomaa mikono kama mamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume wanapenda mwanamke asiwe mjuaji sana kuwazidi yani anajua vitu vingi kuliko wao mi ninaweza kua na boyfriend ninae mzidi ufaham mbali sana ila nikiwa nae najifanyaga sielewi vitu namuuliza maswali ata ambayo nayajua ananielezea pale na mi najifanya ndo nimejua baada ya yeye kuniambia basi anafurahi
 
Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu

Misimamo kwenye ndoa unaiua ndoa.
 
Sasa nioe mama yangu mdogo wa nini sasa?
Kuna watoto wabichi hata jua linaogopa kuwapiga sio wewe umekomaa mikono kama mamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Angalau sasa kidooooogo akili zinaanza kukurudia.

Mie ni mama yako, kuwa na adabu.
 
Wanaume wanapenda mwanamke asiwe mjuaji sana kuwazidi yani anajua vitu vingi kuliko wao mi ninaweza kua na boyfriend ninae mzidi ufaham mbali sana ila nikiwa nae najifanyaga sielewi vitu namuuliza maswali ata ambayo nayajua ananielezea pale na mi najifanya ndo nimejua baada ya yeye kuniambia basi anafurahi
Una akili sana sio huyu kikongwe
@pellaiah🤣
 
Back
Top Bottom