Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sijawahi kuiona hata kwa machoKwenye mbege🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuiona hata kwa machoKwenye mbege🤣🤣🤣
Tulia mwanangu.Kamwe hutaniita shemeji labda usugue hiyo ngozi ya mamba🤣🤣
Endelea na fikra zako za kimama nyie ndio wanaume msiohidhuria vikao alafu mnakuja kulia mtaani kwahyo unataka kusema mwanaume aendeshwe tu kama zuzu na watu wadhaifu acha ubwege msimamo kwenye ndoa lazima kama huwez endelea kuendeshwa.Misimamo kwenye ndoa unaiua ndoa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Una akili sana sio huyu kikongwe
@pellaiah🤣
Acha kujidanganyaukitaka kuoa nenda kijijini kwenu.utapata mke mzuri sanaa.hata akiwa amesoma.kwasababu mnajuana kwakila kitu.
Eeeh [emoji16][emoji16][emoji16] msukuma shikamooShida ya wasomi ni kujifanya feminists uchwara. Anaona kumheshimu mumewe ni udhaifu...na ni nadra kwake kujishusha.
View attachment 2460359
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukaa na mwanamke mwenye dharau, ego, maneno mengi na uanaharakati. Na zote hizi ni sifa za hawa wasomi.
View attachment 2460366
Halafu kumbuka hawa wasomi wanakuwa wameolewa huko vyuoni na vianaume vyao uchwara kwa miaka miwili mpaka mitatu. Yaani wameishi kinyumba kabisa vijamaa vikila na kupakua for 2yrs+ na baadaye kutemwa na vijamaa vyao. Wengi wao tayari wana makovu na maumivu makali ya kisaikolojia ya kuchezewa miili yao kwa miaka yote hiyo halafu wakatemwa. Ndo hawa utawasikia eti wanaume wote mambwa. Mwanamke wa aina hii (mke wa mtu aliyetemwa kibabe) atakuwaje mke mwema? [emoji15][emoji15][emoji15]
Labda ubahatishe sana!
naongea kwauzoefu.sawa dogo?
Kuna mambo yanaepukika mkuu, utachagua nani kati ya mtiifu na mwenye kiburi??Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pensheni sijui itakuwepo bado!!!
Wanaume kama nyie huku kwetu tunawatenga tunawalaza banda moja na mbuziKuna mambo yanaepukika mkuu, utachagua nani kati ya mtiifu na mwenye kiburi??
Au kisa ni mwanaume (kamili) utachagua yeyote kati yao coz unajitanabaisha kua unaweza kummudu!??
Mtatunishiana misuli mwisho muuane, hayo yote ya nini kujifanya shababi ilhali unaumia.
Kuna wanawake kuishi nao ni kazi sana, mwisho wa siku utajikuta unapoteza muda kuonyesha umwamba usio na msingi.
Hii umesema kweli kabisa. Only those who've been there will understand.Siyo kweli.
Kuna kanuni zake ukizizingatia 98% utapata mke mwema. Shida inakuja pale mtu ukipenda unaacha kuzifuata kanuni ulizojiwekea hata kama unaona red flags za wazi.
Upo kama mm asee. Kuna mwanamke tulikua tumeanza kua marafiki. Ila nkaona mhhhhh hapa hapana yan mwanamke ana elimu ya form four ila ana ufeminist balaa.Mwanamke mwanaharakati simtaki hata urafiki wa kawaida nae sitaki, ila nimeoa mwanamke mwenye degree na ana kazi.
Kikubwa anafahamu msimamo wangu, akizingua sina discussion na ametulia tuli tuna watoto kadhaa na miaka kadhaa kwenye ndoa.
Wanaume wenzangu mkipenda uzungu mwingi na demokrasia ndoa na mwanamke msomi lazima iwe ngumu.
Kuna mambo huwa nafanya discussion na mke wangu ila kuna mengine huwa nampa kama maelekezo tu wala sihitaji discussion nikisha jiridhisha kikamilifu kwamba maamuzi yangu ni sahihi na huwa anafanya maana ananiamini kwamba siwezi kumuingiza chaka
Ukiona amefikisha hizo na kutoka ujue Kuna mda alikuwa nunda mambo ya kamshinda mwenye degree zakeKwahiyo mara 4 zote ukafuata moyo na sio kanuni zako!!!