Dra Maxie
Senior Member
- Dec 9, 2022
- 143
- 216
Ttz lenu mnataka house wivesNa wewe ni mwanaharakati eeeh!?
Kwamba huwezi kutulia kwa mumeo eeeh!?
Kwamba unataka usawa pasu 50/50 eeeh!?
Basi sawa! [emoji1545]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ttz lenu mnataka house wivesNa wewe ni mwanaharakati eeeh!?
Kwamba huwezi kutulia kwa mumeo eeeh!?
Kwamba unataka usawa pasu 50/50 eeeh!?
Basi sawa! [emoji1545]
Kwahiyo mara 4 zote ukafuata moyo na sio kanuni zako!!!Siyo kweli.
Kuna kanuni zake ukizizingatia 98% utapata mke mwema. Shida inakuja pale mtu ukipenda unaacha kuzifuata kanuni ulizojiwekea hata kama unaona red flags za wazi.
Prof we acha tu...Kwahiyo mara 4 zote ukafuata moyo na sio kanuni zako!!!
Huyu dogo anakosa adabu kabisa.Mwelezeee....Mwelezeeee..
Nope...Ttz lenu mnataka house wives
Huyo Renee ameingiaje hapa?Kwendaaaa huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora nizeeke kuliko furushi wewe.
Halafu Makiwendo ni dada yangu sio mdogo wangu. Kuwa na adabu.
Miss Renee yuko wapi siku hizi?
🤣🤣🤣🤣🤣Prof we acha tu...
Ni longi stori wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nzuri rafiki yangu mzuri😍Heri ya Christmas kwanza...
Sasa mtu atakaaje ndani kama mwali jmni karne hii maisha yenyewe magumu sio kma zamn lbd ata mmevuna chakula kipo ndani saivi inabidi tyu wote tukatafteNope...
Utakuwa wa Tano....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi nioe mimi, nakuahidi kuwa bonge la wife[emoji12]
Jibu kwanza swali, yuko wapi? Au ulishabwagwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo Renee ameingiaje hapa?
Ndio maana Makiwendo ana akili kuliko wewe.
Najuta kukukaribisha kwangu umekoroma usiku kucha kama Fiat la magogo🤣🤣🤣🤣🤣
Nitakuwa wa tano na wa mwisho🤣🤣🤣🤣Utakuwa wa Tano....
Refer Comment yake huko juu[emoji1787]
Ohooo ningemiliki mtoto kama miss Renee ningehangaika na lishangazi kama wewe?🤣🤣🤣🤣Jibu kwanza swali, yuko wapi? Au ulishabwagwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Una kwako kwanzaa!! Mtoto mdogo bado unanyang'anyana remote na wadogo zako.
Hiyo, "aloooo", imeharibu "uzi" wako wote.ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
Mdogo wako kuolewa asahau labda tu aachane na ufeminist na aache kukoroma usiku kama anakufa🤣🤣🤣Utakuwa wa Tano....
Refer Comment yake huko juu[emoji1787]
Wabheja sana !!Kwakweli 😂😂 oa mtu anaekupenda and mkapendana mambo ya madigris,sijui la saba, sijui ni uoga huo
😃😃 ndo maana mimi huwa najisemea ikitokea meolewa basi atleast nioleww na mtu alienizidi ila sio niliemzidi mimi maana ukimzidi kitu tu anakua hajiamini na mwisho kabisa ni maugomvi tu 😁😁😁😁
By the way sio mbaya kwa mawazo ya mtoa mada huyu ni wale type wanapenda kunyenyekewa hata kwa mambo yasio ya msingi.
Bombardier mmeenda mbali nyie ni Cessna 😂😂😂😂Hahahahaaaa... kwahiyo sisi wa kuoa lasaba na form four itakuwa sisi ni Bombardier sio...