Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga Mkono hoja, baada ya Hilo la kielimu naongeza hili... Awe bikra...Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.
Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri
Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.
Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.
Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.
Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...
Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
Nimebahatika sana.😂😂😂😂 yaan watu wa humu kila siku wanaibuka na mapya inategemea na hali ya hewa
Kama wewe ni degree KE nakubaliana na mtoa madaUkiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Picha ukiwa na hiyo miaka 76Nina miaka 76. Nimeshaoa wanawake wanne maishani mwangu na kuacha. Najua ninachokisema!
Mke msomi feminist hutoboi hata ujitahidi vipi labda uamue tu kuishi kinyonge huku ukidharauliwa na kukoromewa kila siku!
Kumbe hata wewe mtundu ee😂Picha ukiwa na hiyo miaka 76
Njoo PMPicha ukiwa na hiyo miaka 76
Acha mtoto akueEti eeeh .... hata sisi kabla ya kuoa tulikuwa na mawazo kama wewe.... ila yalikuja kubadilika baada ya kuusoma mchezo vizuri
Akiwa mwalimu anakosa sifa za kuwa form four, hivyo naye HAFAI kuwa mke bora kwa vigezo vya mleta uziHalafu upate form four mwalimu wa msingi. No makuu. No umalaya. Maadili Kama yote.
Umeandika kwa hasira sana, mleta mada ana hoja yenye mashiko katika uhalisia wa maisha mtaaniUkiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Kwahio mkuu u wanna say wasomi ndo wenye ego,dharau na maneno mengi [emoji2][emoji2][emoji2] yaan mtu akiwa vidigrii tu nasi ndo sifa za ufeminist anakua nazo it can't be.
Hii theory yako ina apply to both side o to other language any kind of a woman can have those character bila kuangalia levo ya elimu yake.
So kazi n kwako kuchagua yupi ni wise kulingana na ur criteria.
Kausha [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji16][emoji16]Hii habari mpya[emoji2440]
Kuwasha moto kwa wanaume kumepungua sana siku hizi kwa sababu dini zimetupumbaza sana hasa dini yangu ya ukristoNdo maana nikaweka point ya emotional intelligence...
Unajua asili ya wanaume sisi ni watu wa kuwasha moto.. yaani mwanamke hawezi kukukoromea na wewe ukaufyata, lazima uwashe moto na wewe...
Sasa inawezekana huyu jamaa yeye ikitokea amewashiwa moto, yeye huwa hawashi, kwahiyo hapo lazima kuwe na amani... ndo mana wanadumu