Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kua emotionally intelligent nikua na tabia au sifa zipi mkuu.Ndo maana nikaweka point ya emotional intelligence...
Unajua asili ya wanaume sisi ni watu wa kuwasha moto.. yaani mwanamke hawezi kukukoromea na wewe ukaufyata, lazima uwashe moto na wewe...
Sasa inawezekana huyu jamaa yeye ikitokea amewashiwa moto, yeye huwa hawashi, kwahiyo hapo lazima kuwe na amani... ndo mana wanadumu
Mm ni mwanaume na nina misimamo yangu na ninajua nafasi yangu kwenye jamii hutakaa ukute nalia lia mtandaoni kisa nilishindwa tumia nafasi yangu kama kichwa cha familiaUmeoa msomi mkuu?.
Na kitu kingine basi moto hauwashi Na hapeleki moto pia mwanamke hauwezi kuwa na kauli ya mamlaka juu yake kama huwez mmiliki na kumpelekea moto vizur sasa vyote huna unasubiria nn kama sio kufa kwa dharauNdo maana nikaweka point ya emotional intelligence...
Unajua asili ya wanaume sisi ni watu wa kuwasha moto.. yaani mwanamke hawezi kukukoromea na wewe ukaufyata, lazima uwashe moto na wewe...
Sasa inawezekana huyu jamaa yeye ikitokea amewashiwa moto, yeye huwa hawashi, kwahiyo hapo lazima kuwe na amani... ndo mana wanadumu
Ni kweli kabisa. Ila ukioa wanawake waliosoma na carrier ladies waliolelewa kwenye misingi dhatiti ya dini na wanajielewa pia hujapotea ndugu.Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana, sio la kuforge.
Sielewi uhusiano wa mwanamke kusoma sana na kuwapeleka waume zao mzobe mzobe mwendo wa Ngiri
Ila kwa mifano hai niliyonayo, waliooa wanawake wenye degree na hawa career women hawa, kwa kweli wanaipata. Wale wanaume ambao walikuwa hawana emotional intelligence, ndoa zao nyingi tayari tumeshazizika.
Mahali nafanya kazi, ndoa tatu naziona na zimezikwa naziona kwa macho yangu.. Wanawake wote walikuwa ni so called educated na wenye career zao.
Kuna siri Mungu aliiweka hapa, ila nasisitiza tu, mwanaume kama huna emotional intelligence, mziki wa wanawake wasomi na wenye career zao, hautaweza kuucheza. Wewe kimbilia chap kwa wanawake la saba na form four.
Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo...
Sasa wewe shawishika na hawa hawa career ladies and educated, kwanza mwanzoni wanakujaga kama malaika, kwa gia ya kutaka ndoa... Mwanzoni wapole sana!... miezi mitatu baada ya ndoa.. ndo sebene huwa linaanza .... alooooo
Bado hujakutana na wanawake vichwa maji so tulia tu mkuuUkiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Karogwa huyo mwqnamke sio bureeeeHaya mambo hayana formula kuna jirani yangu hapa ni mwaka wa 7 huu kaoa mwanamke ana Phd yeye aliishia la 4 na sio kwamba ni very very wealth na huyu mama ni very respectful to her husband..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aloh!!PhD holder, tayar umetukukimbiza mbio nyingi sana ...
Ujajua wewe, watu wanacool down kuepusha mengi. Ukileta ujuaji wako huo mwezi mmoja baada ya honeymoon ndoa inavunjika. Hujawajua hawa watu.Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Ng'wanabūlūgū.76 brooo???nikawa najua uko 40's jamaa,daahh watu mko smart sana ktk ulimwengu huu,hongera sanamkuu.
Kwakweli 😂😂 oa mtu anaekupenda and mkapendana mambo ya madigris,sijui la saba, sijui ni uoga huoUkiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimweng
Unataka kumwaminisha nani kuwa wewe mbabe mbele ya mke wako huku hatukufaham??Ukiwa mwanaume kamili na ukaijua nafasi yako kwenye jamii hakuna mwanamke ataleta shida kwenye maisha yako tatizo vijana wa sasa hamna misimamo ya kiuanaume kwahyo mnatafuta wanawake mnaoweza kuwakandamiza ni ujinga na mtarithisha watotowenu uoga wa mbwa koko wanaume kama ww nawaona mafakeni tu hamna jipya kwenye ulimwengu huu
Shida ya wasomi ni kujifanya feminists uchwara. Anaona kumheshimu mumewe ni udhaifu...na ni nadra kwake kujishusha.
View attachment 2460359
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukaa na mwanamke mwenye dharau, ego, maneno mengi na uanaharakati. Na zote hizi ni sifa za hawa wasomi.
View attachment 2460366
Halafu kumbuka hawa wasomi wanakuwa wameolewa huko vyuoni na vianaume vyao uchwara kwa miaka miwili mpaka mitatu. Yaani wameishi kinyumba kabisa vijamaa vikila na kupakua for 2yrs+ na baadaye kutemwa na vijamaa vyao. Wengi wao tayari wana makovu na maumivu makali ya kisaikolojia ya kuchezewa miili yao kwa miaka yote hiyo halafu wakatemwa. Ndo hawa utawasikia eti wanaume wote mambwa. Mwanamke wa aina hii (mke wa mtu aliyetemwa kibabe) atakuwaje mke mwema? [emoji15][emoji15][emoji15]
Labda ubahatishe sana!
Hii habari mpya[emoji2440]Nina miaka 76. Nimeshaoa wanawake wanne maishani mwangu na kuacha. Najua ninachokisema!
Mke msomi feminist hutoboi hata ujitahidi vipi labda uamue tu kuishi kinyonge huku ukidharauliwa na kukoromewa kila siku!