Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa.
Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa Watanzania kutoka katika lindi la umasikini kwa kura halali ambazo zitasimamiwa na watu ambao hawajateuliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Mbowe angekuwa mtu anayependa maslahi ya taifa letu. Angelisimamia hili kipindi chote akiwa mwenyekiti zaidi ya miaka 35.
Lissu yupo kwa ajili ya maslahi ya Watanganyika.
Nawakilisha nikiwa Igunga.