Pre GE2025 No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha kuwa Chadema ya Mbowe sio sawa na Chairman Lissu. Lissu yupo kwa maslahi ya taifa

Pre GE2025 No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha kuwa Chadema ya Mbowe sio sawa na Chairman Lissu. Lissu yupo kwa maslahi ya taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio aliweka wazi kabisa.

Sasa kwa nini mabadiliko yasifanyike ili tupate Chama ambacho kitawakomboa Watanzania kutoka katika lindi la umasikini kwa kura halali ambazo zitasimamiwa na watu ambao hawajateuliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Mbowe angekuwa mtu anayependa maslahi ya taifa letu. Angelisimamia hili kipindi chote akiwa mwenyekiti zaidi ya miaka 35.

Lissu yupo kwa ajili ya maslahi ya Watanganyika.

Nawakilisha nikiwa Igunga.

No Reform , No Election.

Mbowe alikaa jela ,asilianzishe then akatukimbia kwenda ubelgiji.
 
Aisee.
Nakumbuka ulikuwa unamuunga mkono yule kichaa kutoka Chato.
Chizi wa chato aliifanya tz iheshimike, had sasa kwa sababu ya yule chizi naona bloggers wengi ktoka mataifa tofauti wanakuja tz kutafta habari, chizi alilipaisha taifa kwa speed ya ajabu.
 
Back
Top Bottom