Pre GE2025 No reform no election Kauli mbiu inayothibitisha kuwa Chadema ya Mbowe sio sawa na Chairman Lissu. Lissu yupo kwa maslahi ya taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu mwenyewe amesema kuwa kauli mbiu ya " No Reform No Elections " ilianzishwa chini ya uongozi wa Mbowe. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?

Amandla...
Kuanzisha na kutekeleza ni vitu viwili tofauti.
 
Soma andiko alafu kuwa muelewa.
Hapo ujue hujajieleza vizuri. Liandike tena ili tulielewe unavyotaka tuelewe. Shida ni kuwa kichwa chako cha habari hakiendani na ulichoandika. Kwenye kichwa umetaja No Reform No Elections halafu uka mute kwenye habari yenyewe.

Amandla...
 
Ni mtazamo wako, CDM ni ile ile. Lissu anachofanya ni mwendelezo tu wa sera thabiti za chama cha watanganyika.
 
Ni mtazamo wako, CDM ni ile ile. Lissu anachofanya ni mwendelezo tu wa sera thabiti za chama cha watanganyika.
[U/QUOTE]
Sio kweli. Mbowe alikuwa akienda kunywa juice za Ceres na kuwarubuni Watanganyika
 
Hapo ujue hujajieleza vizuri. Liandike tena ili tulielewe unavyotaka tuelewe. Shida ni kuwa kichwa chako cha habari hakiendani na ulichoandika. Kwenye kichwa umetaja No Reform No Elections halafu uka mute kwenye habari yenyewe.

Amandla...
Iq yako ni ndogo sana.
 
Kwa Heshima Kabisa, naomba niqioye uzi wako.

Nakupongeza kwa kuungana na Wanaccm Wengi wanaomuelewa sana Mh Lissu.

Hongera sana.
Kweli huu Mwaka ni wa Moto
 
Lisu ni tapeli la kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…