kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame nchi kenge wa mtandaoni na kenge walio nje ya maji huko nairobi waje hapa hakuna kukimbia...Dikteta uchwara anatengua watu wa kweli na kubaki na kenge ambazo hazipigi kura wala kuandamana uwezo wao ni kuandika tu anafikiri hiyo ajenda yake itafanikiwa kwa aina ya hawa wanao mshauri kupitia mitandao mwisho wa siku atajikuta peke yake faya..wote wapo ndani ya shuka wamejificha....
Ushauri No reform no election hakuna kukimbilia canada au ubelgiji na wa kiongozi mkuu wa chama bi kenge aje toka nairobi wahesabiwe..mipaka ifungwe asikimbie kenge yeyote!
Ushauri No reform no election hakuna kukimbilia canada au ubelgiji na wa kiongozi mkuu wa chama bi kenge aje toka nairobi wahesabiwe..mipaka ifungwe asikimbie kenge yeyote!