matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
No reforms. No election.Mnachofanya Sasa ni kuwazubaisha na kuwakatisha tamaa na hamasa za kisaikolojia wafuasi wenu.
Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki.
Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike au nyie ndio hamtashiriki ili CCM washinde KWA kishindo?
Ikitokea wakawatega KWA kufanya reform Muda mfupi kabla ya uchaguzi ni lini mtakuwa mmejiandaa na huyo uchaguzi.
Nashauri badala ya NO REFORM NO ELECTION, Waaminisheni watu KUWA kutakuwa na hiyo reform na mtagombea na kutakuwa na ushindi mkubwa, watu wajiandae kuona mabadiliko makubwa nchini KWA ushindi mkubwa mnaotarajia kuupata kama matokeo ya mabadiliko ambayo lazima yatakuwepo. Hizi ndio lugha za kuongea na watu. Hizi za No reform no Election mziongee maofisini, na KWA mabalozi na kwenye kuwabadana viongozi kupitia taasisi za kimataifa na za ndani ili kama hata isipofanyika reform basi angalau nusu reform.
Mnachofanya Sasa ni kuwazubaisha na kuwakatisha tamaa na hamasa za kisaikolojia wafuasi wenu.
Ni hayo tu.
Ngoja tuone.Wenyewe wanajua plan yao ni kitu gani
Tuache tuone
Mtanzania hapiganiwi anajipiganiaKama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Ingekuwa itawasaidia ccm, kwanini wanamkamata Lissu? Kama no reforms no elections itarahisishia ccm basi wangefurahi wala wasingekuwa wanahangaika na chadema. Maana chadema ingekuwa msaada kwao.Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki.
Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike au nyie ndio hamtashiriki ili CCM washinde KWA kishindo?
Ikitokea wakawatega KWA kufanya reform Muda mfupi kabla ya uchaguzi ni lini mtakuwa mmejiandaa na huyo uchaguzi.
Nashauri badala ya NO REFORM NO ELECTION, Waaminisheni watu KUWA kutakuwa na hiyo reform na mtagombea na kutakuwa na ushindi mkubwa, watu wajiandae kuona mabadiliko makubwa nchini KWA ushindi mkubwa mnaotarajia kuupata kama matokeo ya mabadiliko ambayo lazima yatakuwepo. Hizi ndio lugha za kuongea na watu. Hizi za No reform no Election mziongee maofisini, na KWA mabalozi na kwenye kuwabadana viongozi kupitia taasisi za kimataifa na za ndani ili kama hata isipofanyika reform basi angalau nusu reform.
Mnachofanya Sasa ni kuwazubaisha na kuwakatisha tamaa na hamasa za kisaikolojia wafuasi wenu.
Ni hayo tu.
Mimi nadhani kila anayetaka kuwaelewa CDM anawaelewa kirahisi,maana kauli mbiu inasema kama hakuna mabadiliko ya kimsingi kwenye sheria za uchaguzi ,hakuna uchaguzi.Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
CCM huwa hawashindi kwa kishindo FUTA HIYO KAULI YAKO halafu wasikilize hawa Mapolisi.👇ili CCM washinde KWA kishindo