PreGE2025 No Reforms No Election? Litakuwa kosa la miaka 5!. Simamisheni wagombea acheni kususa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
22,496
Reaction score
51,721
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.

LAKINI..

Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.

Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
1743387401171.jpeg
 
..kosa litakuwa ni la CCM kutokusikiliza mapendekezo ya Chadema na ACT.

..busara ni kuishinikiza CCM ifanye mabadiliko muhimu kabla ya uchaguzi wa 2025.
Bado miezi minne. Sawa na wastani wa siku 124! Niwajuavyo CCM hakuna aliyetayari kuafanya mabadiliko ya maana wakati hata wao wenyewe walipigwa butwaa namna mgombea wao alivyo patikana hivi karibuni.

Nakumbuka chaguzi wakati wa kikwete na awamu ya kwana ya maguguli.. Raia walikuwa na uwezovwa kulinda kura za wagombea walio wachagua japo mifumo ilikuwa hii hii mibovu. Swala hapa ni kupandisha morali ya UMMA wa watakao piga kura pamoja na ujasiri wa kusimamia kura zao.

Ni vyema kupigania no reform no election ukiwa anagalau na wabunge 30 bungeni. Kuliko kutokuwa na mbunge hata mmoja
 
Kwa mtazamo wa CCM ‘no reforms, no elections’ ni sawa na kauli ya ‘kuvuja kwa pakacha, nafuu, mchuuzi’.

Wasuse tu, ili tuone nguvu ya Mbowe kukipa chama hela kutoka mfuko wake; hapo walikuwa na ruzuku.

CDM ya Lissu bila ya ruzuku ya kura hakuna chama.

Mind you, Mbowe ndio kalipia shughuli za BAWACHWA, uongozi wa CDM hawakua na hela ya kuandaa kongamano.

Sasa jiulize bila ya hela ya ruzuku wasipogombea uchaguzi ujao, hela za kuendesha chama watatoa wapi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=OllZtjchN2U&pp=ygUYamsgYWZ1bmdhIG1hZnVuem8geWEgQ0Nt

Tunarudi pale, pale; CCM ni mlezi wa nchi; ndio ukweli.

Busara kwa CDM nikugombea tu uchaguzi ujao. Vinginevyo CCM haiwezi tishiwa nyau na Lissu.
 
Bora kutokuwa na mbunge hata mmoja historia itawaandika vema kwamba mlisimamia jambo jema kwa taifa na bila uchu wa vyeo na nzi wa kijani wakibaki peke yao hiyo ni aibu kwao na wananchi watazidi kuelewa ubaya wa ccm hii itainua public anger na italeta matarajio Bora sana. Kuliko kushiriki ushirikina huo wa kwenda kwenye uchaguzi huku watu wengine wakiwa;
1. Wameuwawa.
2. Wametekwa.
3. Wana kesi za kusingiziwa.
4. Wameharibiwa mali zao.
5. Wamefungwa jela. Nk

Baada ya yote haya wataiba Tena kura na nyie mtakuwa mmewapa uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. The only solution ni kuwaacha wafanye uchaguzi wao wenyewe na ccm B wao. Dunia itaelewa.
 
Ccm wataingia na nccr na chauma wasio na wafuasi hivyo hawawezi kushinda ccm itaona aibu itawapa chauma wabunge wa mchongo ili wapate wabunge wa kuwachagua kwenye kamati flan flan ili wasikatiwe misaada kama magufuli alivyochemka kuwaengua wabunge wote mwishowe akakosa watu wa kuweka kwenye kamati ndio kuwaibua COVID 19 against our constitution.
 
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.

LAKINI..

Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.

Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Umesahau kwamba inagharimu maisha ya watu pia
Ni muhimu sana kuiunga mkono kauli hii na kuiandika kwa lugha zote zinazosomeka ili ieleweke kwa kila mtu.
kwamba ''Bila mabadiliko ya msingi hakuna uchaguzi''
 
Bora kutokuwa na mbunge hata mmoja historia itawaandika vema kwamba mlisimamia jambo jema kwa taifa na bila uchu wa vyeo na nzi wa kijani wakibaki peke yao hiyo ni aibu kwao na wananchi watazidi kuelewa ubaya wa ccm hii itainua public anger na italeta matarajio Bora sana. Kuliko kushiriki ushirikina huo wa kwenda kwenye uchaguzi huku watu wengine wakiwa;
1. Wameuwawa.
2. Wametekwa.
3. Wana kesi za kusingiziwa.
4. Wameharibiwa mali zao.
5. Wamefungwa jela. Nk

Baada ya yote haya wataiba Tena kura na nyie mtakuwa mmewapa uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. The only solution ni kuwaacha wafanye uchaguzi wao wenyewe na ccm B wao. Dunia itaelewa.
Kwa mwendo huu wa CDM na ACT ni kweli uchaguzi hakuna,na ni amani tuu hakuna vita wala matata.
 
CCM ina huruma, CDM msiache ruzuku ya kura.

Lakini hamna ushawishi wa kuzuia uchaguzi kwa sababu za kipuuzi:

Kabisa CCM wa kutishiwa nyau kwa sababu za kufirika kutoka kichwani kwa Lissu, Heche na Lema.

Hao watu lazima wanaishi lala land.

CCM ni chama kikubwa
 
Hao w
ukisimamia kura wakati huna mamlaka ya kutanga aliyeshinda ni sawa na bure,kama watu walikamatwa na kura feki lakini ikaonekana ni uzushi,unategemea nini? au muujiza gani utokee.
Ccm tunayoijua itapiga watu risasi na kuuwa wote watakaojaribu kulinda kura na mauwaji hayo hayatatangazwa na chombo chochote cha habari na hadithi itakuwa imeishia hapo sasa ili tusilazimike kumwaga damu waende wenyewe kwenye uchaguzi wao na chauma chausta nccr nk
 
CCM ina huruma, CDM msiache ruzuku ya kura.

Lakini hamna ushawishi wa kuzuia uchaguzi kwa sababu za kipuuzi:

Kabisa CCM wa kutishiwa nyau kwa sababu za kufirika kutoka kichwani kwa Lissu, Heche na Lema.

Hao watu lazima wanaishi lala land.

CCM ni chama kikubwa
Basi kafanyeni huo uchaguzi shida Iko wapi?
 
Chadema wako sahihi waache waendelee na msimamo wao. Tuliooshuhudia madudu ya wa uchaguzi wa S/Mitaa 2024 tunajua CCM haitaki ushindani . wataiba, watatumia vyombo vya dola, watasimamia wao, watatangaza wao Bila mabadiriko upinzani usitegemee kupata kiti chochote ima cha udiwani ama ubunge labda masihi ashuke*
 
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.

LAKINI..

Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.

Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
We bwege vyama vyote vimetangaza kushiriki uchaguzi ukiwaacha hao nyumbu wenzio wanaotapatapa. Watanzania wameshazoea siasa za kishamba za majitaka za hao wapuuzi
 
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.

LAKINI..

Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.

Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363

Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.

LAKINI..

Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.

Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Hujielewi kaakimya
 
Bora kutokuwa na mbunge hata mmoja historia itawaandika vema kwamba mlisimamia jambo jema kwa taifa na bila uchu wa vyeo na nzi wa kijani wakibaki peke yao hiyo ni aibu kwao na wananchi watazidi kuelewa ubaya wa ccm hii itainua public anger na italeta matarajio Bora sana. Kuliko kushiriki ushirikina huo wa kwenda kwenye uchaguzi huku watu wengine wakiwa;
1. Wameuwawa.
2. Wametekwa.
3. Wana kesi za kusingiziwa.
4. Wameharibiwa mali zao.
5. Wamefungwa jela. Nk

Baada ya yote haya wataiba Tena kura na nyie mtakuwa mmewapa uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. The only solution ni kuwaacha wafanye uchaguzi wao wenyewe na ccm B wao. Dunia itaelewa.
Nani aandike historia ya wehu? Ni mara ya kwanza hao nyumbu chadomo kugomea uchaguzi? Wamebadilisha nini? Ni kwamba hawana sera, hawana cha kuwaambia wananchi badala yake wakaona waje na vioja. Ni wa kupuuzwa
 
Chadema wako sahihi waache waendelee na msimamo wao. Tuliooshuhudia madudu ya wa uchaguzi wa S/Mitaa 2024 tunajua CCM haitaki ushindani . wataiba, watatumia vyombo vya dola, watasimamia wao, watatangaza wao Bila mabadiriko upinzani usitegemee kupata kiti chochote ima cha udiwani ama ubunge labda masihi ashuke*
Serikali za mitaa CCM ilishinda kwa kishindo wengine tulishuhudia live. Mwezi wa 10 watapigwa zaidi ya mwaka jana
 
Bado miezi minne. Sawa na wastani wa siku 124! Niwajuavyo CCM hakuna aliyetayari kuafanya mabadiliko ya maana wakati hata wao wenyewe walipigwa butwaa namna mgombea wao alivyo patikana hivi karibuni.

Nakumbuka chaguzi wakati wa kikwete na awamu ya kwana ya maguguli.. Raia walikuwa na uwezovwa kulinda kura za wagombea walio wachagua japo mifumo ilikuwa hii hii mibovu. Swala hapa ni kupandisha morali ya UMMA wa watakao piga kura pamoja na ujasiri wa kusimamia kura zao.

Ni vyema kupigania no reform no election ukiwa anagalau na wabunge 30 bungeni. Kuliko kutokuwa na mbunge hata mmoja

..kabla ya 2015 wapinzani wakiwa wakorofi walikuwa wanatangazwa washindi.

..baada ya 2015 Ccm wamejifunza jinsi ya kutumia vyombo vya dola kudhibiti wapinzani wanaoleta ukorofi na kutowatangaza.

..Matumizi ya vyombo vya dola ktk zama hizi ni makubwa kupita kiasi ndio maana Ccm wanaweza kushinda kwa asilimia 99%, na wapinzani hawana uwezo wa kushindana na mabavu hayo.

..kushiriki uchaguzi, na kususia uchaguzi, hakuna tofauti kwa upande wa upinzani kwa sasa hivi.
 
Back
Top Bottom