uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Safari hii nao hawaendi,kila mtu atalinda nyumba ya jirani yake,wakati huo polisi wanalinda vituo vya kura hadi jioni bila kuona mtu aliyejitokeza kupiga kura.Hao w
Ccm tunayoijua itapiga watu risasi na kuuwa wote watakaojaribu kulinda kura na mauwaji hayo hayatatangazwa na chombo chochote cha habari na hadithi itakuwa imeishia hapo sasa ili tusilazimike kumwaga damu waende wenyewe kwenye uchaguzi wao na chauma chausta nccr nk
Hiyo ndo maana halisi ya kama hakuna mabadiriko ya msingi hakuna uchaguzi,kila mtu atamlinda jirani yake huko huko uswenkeni tulipo.