Bado miezi minne. Sawa na wastani wa siku 124! Niwajuavyo CCM hakuna aliyetayari kuafanya mabadiliko ya maana wakati hata wao wenyewe walipigwa butwaa namna mgombea wao alivyo patikana hivi karibuni...kosa litakuwa ni la CCM kutokusikiliza mapendekezo ya Chadema na ACT.
..busara ni kuishinikiza CCM ifanye mabadiliko muhimu kabla ya uchaguzi wa 2025.
Umesahau kwamba inagharimu maisha ya watu piaYes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Kwa mwendo huu wa CDM na ACT ni kweli uchaguzi hakuna,na ni amani tuu hakuna vita wala matata.Bora kutokuwa na mbunge hata mmoja historia itawaandika vema kwamba mlisimamia jambo jema kwa taifa na bila uchu wa vyeo na nzi wa kijani wakibaki peke yao hiyo ni aibu kwao na wananchi watazidi kuelewa ubaya wa ccm hii itainua public anger na italeta matarajio Bora sana. Kuliko kushiriki ushirikina huo wa kwenda kwenye uchaguzi huku watu wengine wakiwa;
1. Wameuwawa.
2. Wametekwa.
3. Wana kesi za kusingiziwa.
4. Wameharibiwa mali zao.
5. Wamefungwa jela. Nk
Baada ya yote haya wataiba Tena kura na nyie mtakuwa mmewapa uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. The only solution ni kuwaacha wafanye uchaguzi wao wenyewe na ccm B wao. Dunia itaelewa.
ukisimamia kura wakati huna mamlaka ya kutanga aliyeshinda ni sawa na bure,kama watu walikamatwa na kura feki lakini ikaonekana ni uzushi,unategemea nini? au muujiza gani utokee.wala hapa ni kupandisha morali ya UMMA wa watakao piga kura pamoja na ujasiri wa kusimamia kura zao.
Ccm tunayoijua itapiga watu risasi na kuuwa wote watakaojaribu kulinda kura na mauwaji hayo hayatatangazwa na chombo chochote cha habari na hadithi itakuwa imeishia hapo sasa ili tusilazimike kumwaga damu waende wenyewe kwenye uchaguzi wao na chauma chausta nccr nkukisimamia kura wakati huna mamlaka ya kutanga aliyeshinda ni sawa na bure,kama watu walikamatwa na kura feki lakini ikaonekana ni uzushi,unategemea nini? au muujiza gani utokee.
Basi kafanyeni huo uchaguzi shida Iko wapi?CCM ina huruma, CDM msiache ruzuku ya kura.
Lakini hamna ushawishi wa kuzuia uchaguzi kwa sababu za kipuuzi:
Kabisa CCM wa kutishiwa nyau kwa sababu za kufirika kutoka kichwani kwa Lissu, Heche na Lema.
Hao watu lazima wanaishi lala land.
CCM ni chama kikubwa
We bwege vyama vyote vimetangaza kushiriki uchaguzi ukiwaacha hao nyumbu wenzio wanaotapatapa. Watanzania wameshazoea siasa za kishamba za majitaka za hao wapuuziYes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Hujielewi kaakimyaYes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Hao nyau hakuna anayewajali..kosa litakuwa ni la CCM kutokusikiliza mapendekezo ya Chadema na ACT.
..busara ni kuishinikiza CCM ifanye mabadiliko muhimu kabla ya uchaguzi wa 2025.
Nani aandike historia ya wehu? Ni mara ya kwanza hao nyumbu chadomo kugomea uchaguzi? Wamebadilisha nini? Ni kwamba hawana sera, hawana cha kuwaambia wananchi badala yake wakaona waje na vioja. Ni wa kupuuzwaBora kutokuwa na mbunge hata mmoja historia itawaandika vema kwamba mlisimamia jambo jema kwa taifa na bila uchu wa vyeo na nzi wa kijani wakibaki peke yao hiyo ni aibu kwao na wananchi watazidi kuelewa ubaya wa ccm hii itainua public anger na italeta matarajio Bora sana. Kuliko kushiriki ushirikina huo wa kwenda kwenye uchaguzi huku watu wengine wakiwa;
1. Wameuwawa.
2. Wametekwa.
3. Wana kesi za kusingiziwa.
4. Wameharibiwa mali zao.
5. Wamefungwa jela. Nk
Baada ya yote haya wataiba Tena kura na nyie mtakuwa mmewapa uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. The only solution ni kuwaacha wafanye uchaguzi wao wenyewe na ccm B wao. Dunia itaelewa.
Serikali za mitaa CCM ilishinda kwa kishindo wengine tulishuhudia live. Mwezi wa 10 watapigwa zaidi ya mwaka janaChadema wako sahihi waache waendelee na msimamo wao. Tuliooshuhudia madudu ya wa uchaguzi wa S/Mitaa 2024 tunajua CCM haitaki ushindani . wataiba, watatumia vyombo vya dola, watasimamia wao, watatangaza wao Bila mabadiriko upinzani usitegemee kupata kiti chochote ima cha udiwani ama ubunge labda masihi ashuke*
Bado miezi minne. Sawa na wastani wa siku 124! Niwajuavyo CCM hakuna aliyetayari kuafanya mabadiliko ya maana wakati hata wao wenyewe walipigwa butwaa namna mgombea wao alivyo patikana hivi karibuni.
Nakumbuka chaguzi wakati wa kikwete na awamu ya kwana ya maguguli.. Raia walikuwa na uwezovwa kulinda kura za wagombea walio wachagua japo mifumo ilikuwa hii hii mibovu. Swala hapa ni kupandisha morali ya UMMA wa watakao piga kura pamoja na ujasiri wa kusimamia kura zao.
Ni vyema kupigania no reform no election ukiwa anagalau na wabunge 30 bungeni. Kuliko kutokuwa na mbunge hata mmoja