uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Safari hii nao hawaendi,kila mtu atalinda nyumba ya jirani yake,wakati huo polisi wanalinda vituo vya kura hadi jioni bila kuona mtu aliyejitokeza kupiga kura.Hao w
Ccm tunayoijua itapiga watu risasi na kuuwa wote watakaojaribu kulinda kura na mauwaji hayo hayatatangazwa na chombo chochote cha habari na hadithi itakuwa imeishia hapo sasa ili tusilazimike kumwaga damu waende wenyewe kwenye uchaguzi wao na chauma chausta nccr nk
Umewahi kusimamia uchaguzi wowote kati ya chaguzi 4 zilizopita?Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Hao wabunge 30 utawapata wapi wakati yale maeneo yote wanayo ona wapinzani watashinda wanaengua au kuteka wapinzani, Wapinzani kuingia kwenye uchaguzi watume ya namna hii na,, na mfumo wa namna hii nikupoteza nguvu na rasilimali za zao. Afadhali waendelee kupigania Reform hivi hivi wakiwa hawana hata Mbunge mmoja kuliko kuwa na wabunge wakupewa.kwanza swala la uchaguzi halipaswi kuwa katika hali ya namna hii, swala la uchaguzi linapaswa kuwa katika mmfumo ambao watu wote wapo tayari kwa kupiga kura. Ila uchaguzi wakuyambia majeshi yakae mkao wa utayari kwa ajili yakukabiliana na wananchi wasiokubaliana na mfumo wa uchaguzi uchaguzi huo hauna tofauti na uchaguzi wa makaburu kipindi cha ubaguzi wa Rangi. Haukubaliki kitaifa na kimataifa. Ni kweli CCM itashinda uchaguzi huu kwa kishindo lakini utakuwa uchaguzi ambao siyo halali kiuhalisia ila ni halali kisheria, kwahiyo ni ngumu sana kuwatawala watu kimabavu watu ambao tayari wameanza kuamka, mauaji yanaweza yakawa mengi sana kwasababu watu wataonyesha resistance wakati wao wapo tayari kutawala hata kwa kumwaga damu. Unaambiwa kuwa adui yako hata kama humuwezi kjupigana ila ukionyesha kuwa uechukia naye anakwa Roho juu juu. Mimi sidhanj kama kunasababu ya wapinzani wakweli kushiriki huu uchaguzi ni afadhali wawaachie mara mia kuliko hayo wanayoyapitia wakishiriki. Kwanza kupata form tu ni mbinde, kuirudisha mbinde, kupita kwenye kuteliwa mbinde, kuwaapisha mawakala mbinde, kuruhusu mawakala wasimamie mbinde, wakala kupewa karatasi ya matokeo mbinde sasa wewe utashirikije huo uchaguzi ktk mazingira ya namna hiyo, wasimamizi wote ni wayeule wa, mgombea mwezenu fedha za malipo ni yeye ndiye anatoa, mifumo yote yeye ndiyo ameitawala unakwenda kushiindana ukiwa unategemia hisani tu katika kushinda. Gharama anayotumia mgombea mmoja kuanzia kampeni, Picha za matangazo mawakala mahesabu ya chini kabisa siyo chini ya milioni 30,000 , mgombea uraisi gharama zake kuzunguka nchi nzima yeye timu yake si chini ya milioni 500 fedha zote hizo mziharibu huku mkijua kabisa hutashinda hata ukishinda. Afadhali fedha zao wapinzani wakale magimbi.Bado miezi minne. Sawa na wastani wa siku 124! Niwajuavyo CCM hakuna aliyetayari kuafanya mabadiliko ya maana wakati hata wao wenyewe walipigwa butwaa namna mgombea wao alivyo patikana hivi karibuni.
Nakumbuka chaguzi wakati wa kikwete na awamu ya kwana ya maguguli.. Raia walikuwa na uwezovwa kulinda kura za wagombea walio wachagua japo mifumo ilikuwa hii hii mibovu. Swala hapa ni kupandisha morali ya UMMA wa watakao piga kura pamoja na ujasiri wa kusimamia kura zao.
Ni vyema kupigania no reform no election ukiwa anagalau na wabunge 30 bungeni. Kuliko kutokuwa na mbunge hata mmoja
Ni kweli ccm ni chama kikubwa na cha muda mrefu ila si bora. Yaani kwa maneno marahisi ni chama analogia kwenge ulimwengu wa kidigital. Vyombo vya dola naona vinawapa kiburi.CCM ina huruma, CDM msiache ruzuku ya kura.
Lakini hamna ushawishi wa kuzuia uchaguzi kwa sababu za kipuuzi:
Kabisa CCM wa kutishiwa nyau kwa sababu za kufirika kutoka kichwani kwa Lissu, Heche na Lema.
Hao watu lazima wanaishi lala land.
CCM ni chama kikubwa
Maneno ya Mkosaji hayo.Ni kweli ccm ni chama kikubwa na cha muda mrefu ila si bora. Yaani kwa maneno marahisi ni chama analogia kwenge ulimwengu wa kidigital. Vyombo vya dola naona vinawapa kiburi.
Kumbe mnatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu, ila bado unasema simamisheni wangombea! Ili iweje?Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Alafu uyu mzee ,ati waje waseme wanataka nini wao ni tume ,Hakuna sababu ya kuwa na haraka,hii ni nchi yetu sote. Waache watangulie ila watakuja kushuka tu Ili tuyajenge.
Si unaona dawa inaingia taratibu mpaka yule Mzee anasema waje waseme wanataka nn. No reform no election.
Sema hii movement ya Chadema ni ya kisomi sana,ukiwa mbumbumbu ngumu kuwaelewa.
Wanachama wapo watakiendesha, chadema sio ccm inayomilikiwa na kikundi huku wanachama wamebaki patupu, nafikri mkutano wa kumpitisha Mgombea wao ,ni uthibitisho tosha nini naongeaManeno ya Mkosaji hayo.
CCM chama
ushajiuliza baada ya ‘no reforms, no election’ CDM isipokuwa na ruzuku ya kura za uchaguzi hiko chama kitaendeshwa kwa mapato gani.
Sasa kama hana mpinzaani shida ni nini kufanya reforms ,ili kuwe na uchaguzi huru na hakiMwisho wa siku sote tunaelewa, CCM bado hana mpinzani.
Mengine ni maneno ya ‘mfa maji tu’
Alaaa yaan usimamishe Wagombea ili wakatwe majina?? Ili Wagombea wauawe na Polisi? Mawakala wataabike kwelikweli, kutangazwa mshindi mpaka Bunduki?.Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Vita mbinu.Sasa kama hana mpinzaani shida ni nini kufanya reforms ,ili kuwe na uchaguzi huru na haki
Nendeni wenyewe mkajitangaze kwenye huo uchaguzi batili kama no reforms tuone nyie ccm si viburi, mda wa kubembelezana umèisha .Vita mbinu.
Tatizo la CDM ni katiba nzima (kama wanavyodai)
Au shida yao ni aspect ya madaraka ya raisi (inayoteua tume ya uchaguzi).
Katiba ya Tanzania aina shida, tatizo la katiba ya Tanzania ni madaraka ya raisi
Sasa kama kiongozi wa CDM, ambae ni mwanasheria hajui hata kupambania yake kisheria. Huyo mtu anaweledi wa changamoto za watanzania.
CCM chama
CCM inapenda chaguzi za haki.Nendeni wenyewe mkajitangaze kwenye huo uchaguzi batili kama no reforms tuone nyie ccm si viburi, mda wa kubembelezana umèisha .
Ccm kila chaguzi ni kuandaa mitego ya kuumiza wapinzani kwa kivuli cha uchaguzi uchwara ,safari hii nendeni wenyewe tumechoka kuzika ndugu zetu kisa chaguzi za hovyo