4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Chaguzi za haki kama zipi? Ieleweke ata wapinzani ambao wamekua wakiingia Bungeni ,au Madiwani imekua ni nguo pata chanikaCCM inapenda chaguzi za haki.
Hayo mengine ni mazingira mnayotaka tengeneza tu.
Vinginevyo CCM inavisihi vyama vyote vishiriki uchaguzi, lakini hawana mamlaka ya kulazimisha.
Busara ni kushiriki kama kura zina umuhimu wa ruzuku; vinginevyo Mbowe atachoka kutoa hela zake.
Ni ushauri tu
Umetumwa??Ni vyema kupigania no reform no election ukiwa anagalau na wabunge 30 bungeni. Kuliko kutokuwa na mbunge hata mmoja
Uyu atakuwa mjukuu wa mzee WasiraUmetumwa??
Usichoelewa ni nn we kada no reforms no election hakuna kurudi nyuma, waache wachaguane tu wenyeweYes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Maneno ya mkosajiChaguzi za haki kama zipi? Ieleweke ata wapinzani ambao wamekua wakiingia Bungeni ,au Madiwani imekua ni nguo pata chanika
Uchaguzi sio vita , ndo maana unatakiwa kuwepo kwa kanuni, sheria ambazo zipo sawa, mshindi atanagazwe kwa haki na maisha yaendelee bila kujali ni kutoka chama gani.Maneno ya mkosaji
Vita mbinu, muhimu kwa mwanasiasa ni kujtangaza kwenye jamii.
CCM Ina taratibu zao za kujitangaza, lakini aipangii wengine kuanza kujitangaza na hawana mamlaka hayo.
Wewe baadae laumu ‘no reforms, no elections’ CCM ahisuki na matokeo ya uchaguzi.
Wananchi watachagua kutoka kwenye kapu la wagombea waliopo.
Sasa kama unaamini unaweza zuia uchaguzi goodluck.
Hayo ndio mazingira CCM inayotaka pia, uchaguzi wa haki na huru.Uchaguzi sio vita , ndo maana unatakiwa kuwepo kwa kanuni, sheria ambazo zipo sawa, mshindi atanagazwe kwa haki na maisha yaendelee bila kujali ni kutoka chama gani.
Hakuna cha mbinu za kivita ,mbinu za kivita wanajua JWTZ ,sasa uchaguzi na mbinu za kivita wapi na wapi
Chadema hataki nini kwani no reforms no election ,wewe hujasikia au hujui maana ya reforms kwenye kanuni na sheria za kuendesha chaguzi zetu ili ziwe huru na haki.Hayo ndio mazingira mazingira CCM unayotaka.
Lissu hataki, hivi unafuatilia misimamo ya CDM.
Wameshakubali kushindwa hata uchaguzi aujaanza.
Hujitambui weweeYes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Kwa kifupi ni kwamba; CCM chama,Chadema hataki nini kwani no reforms no election ,wewe hujasikia au hujui maana ya reforms kwenye kanuni na sheria za kuendesha chaguzi zetu ili ziwe huru na haki.
Kanuni na sheria za sasa za uchaguzi ni za hovyo ambazo zinaegamia upande mmoja.
Reforms zifanyike then twende kwenye uchaguzi alieshinda kihalali atangazwe mmuone kama kutakua na maneno ,vinginevyo kajitangaze mwenyewe
Fanya kazi acha kulalama tu, kwani lazima kila mtu awe mwanasiasa.Kwa mifumo ya kiudhalimu ya uchaguzi iliyopo hata ukisimamisha mgombea ni kazi Bure , ata akishinda watamuibia kura, Sasa unashiriki ili iweje? Refer to Uchaguzi serikali za mitaa
Ngoja nigombee chauma naweza pata ngekewa ya kuwa MbungeCcm wataingia na nccr na chauma wasio na wafuasi hivyo hawawezi kushinda ccm itaona aibu itawapa chauma wabunge wa mchongo ili wapate wabunge wa kuwachagua kwenye kamati flan flan ili wasikatiwe misaada kama magufuli alivyochemka kuwaengua wabunge wote mwishowe akakosa watu wa kuweka kwenye kamati ndio kuwaibua COVID 19 against our constitution.
Hawana sababu ya kuendesha chama tena Hadi uchaguzi mwingine la sivyo ccm bakieni wenyeweManeno ya Mkosaji hayo.
CCM chama
ushajiuliza baada ya ‘no reforms, no election’ CDM isipokuwa na ruzuku ya kura za uchaguzi hiko chama kitaendeshwa kwa mapato gani.
Chadema imeonesha kiwango cha juu cha kulijali taifa. Kuna faida gani kuingia katika uchaguzi ambao mwisho wa siku watu watakuwa na vilema, Vifo, kesi za kubambikizwa, wengine kukimbia familia.Bado miezi minne. Sawa na wastani wa siku 124! Niwajuavyo CCM hakuna aliyetayari kuafanya mabadiliko ya maana wakati hata wao wenyewe walipigwa butwaa namna mgombea wao alivyo patikana hivi karibuni.
Nakumbuka chaguzi wakati wa kikwete na awamu ya kwana ya maguguli.. Raia walikuwa na uwezovwa kulinda kura za wagombea walio wachagua japo mifumo ilikuwa hii hii mibovu. Swala hapa ni kupandisha morali ya UMMA wa watakao piga kura pamoja na ujasiri wa kusimamia kura zao.
Ni vyema kupigania no reform no election ukiwa anagalau na wabunge 30 bungeni. Kuliko kutokuwa na mbunge hata mmoja
vyovyote itakavyokuwa chadema na wananchi washikilie hapohapo ccm ni sikio la kufaYes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
Siasa ndiyo inaamua Kila kitu katika nchiFanya kazi acha kulalama tu, kwani lazima kila mtu awe mwanasiasa.