TrueSiasa ndiyo inaamua Kila kitu katika nchi
Ant Lissu katika ubora wako! Samahani hivi Lissu alikuchukulia mchepuko wako?True
Siasa za Tanzania ni ngumu, kuna mawili.
Kusuka
au
Kunyoa
Sio unafiki, bora ufanye shughuli nyingine mtu kama wewe.
Zaidi ya kuchangia JF kwenye maandamano ya upuuzi wa Lissu utoenda.
Sio lazima wote tuwe Frontline wengine tutakaa tu nyuma ya keyboardTrue
Siasa za Tanzania ni ngumu, kuna mawili.
Kusuka
au
Kunyoa
Sio unafiki, bora ufanye shughuli nyingine mtu kama wewe.
Zaidi ya kuchangia JF kwenye maandamano ya upuuzi wa Lissu utoenda.
Cdm sio taasisi ya fedha, bali ni chama cha siasa chenye lengo la kushika dola. Ni wendawazimu kushiriki chaguzi za kishenzi ili kupata ruzuku za hisani, wakati unaweza kuzipata kihalali.Maneno ya Mkosaji hayo.
CCM chama
ushajiuliza baada ya ‘no reforms, no election’ CDM isipokuwa na ruzuku ya kura za uchaguzi hiko chama kitaendeshwa kwa mapato gani.
Endelea kushupaza shingo...kosa litakuwa ni la CCM kutokusikiliza mapendekezo ya Chadema na ACT.
..busara ni kuishinikiza CCM ifanye mabadiliko muhimu kabla ya uchaguzi wa 2025.
Lissu ataifelisha chadema kiasi itaishiwa kabiiisa hela na ita-seaze ku- operate!!
Labda ijekumuomba tena Mbowe aisaidie uongozi sio maneno mengine uongozi ni strategies na unahitaji fedha!
Kusimamisha wagombea nakwenda kushindwa niupotevu wa muda na pesa kwani mnapubgukiwa na nini vegetables mkienda na uchaguzi peke yenu au muendelee kubali madalakani hela mkafanye shughuli za maendeleo kuliko kupotezea muda wananchi na viini machoYes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama wao peke yao siku ya uchaguzi.. Utakuwa unafanya kosa jingine la miaka 5. Ambapo tutakuwa na bunge jingine kibogoyo lililojaa ukijani , uchawa na kujipendekeza.
Napendekeza no reform no election, iende sambamba na kuandaa wagombea ili watanzania wenye nia ya dhati waoneshe nguvu ya umma kupitia kura zao.
View attachment 3288363
CCM ina huruma, CDM msiache ruzuku ya kura.
Lakini hamna ushawishi wa kuzuia uchaguzi kwa sababu za kipuuzi:
Kabisa CCM wa kutishiwa nyau kwa sababu za kufirika kutoka kichwani kwa Lissu, Heche na Lema.
Hao watu lazima wanaishi lala land.
CCM ni chama kikubwa
Raia watakaojitokeza kulinda kura zao huoni watakuwa kwenye hatari ya kudhuriwa na vyombo vya dola pamoja na green guard kama tulivyowahi shuhudia chaguzi za huko nyuma !Bado miezi minne. Sawa na wastani wa siku 124! Niwajuavyo CCM hakuna aliyetayari kuafanya mabadiliko ya maana wakati hata wao wenyewe walipigwa butwaa namna mgombea wao alivyo patikana hivi karibuni.
Nakumbuka chaguzi wakati wa kikwete na awamu ya kwana ya maguguli.. Raia walikuwa na uwezovwa kulinda kura za wagombea walio wachagua japo mifumo ilikuwa hii hii mibovu. Swala hapa ni kupandisha morali ya UMMA wa watakao piga kura pamoja na ujasiri wa kusimamia kura zao.
Ni vyema kupigania no reform no election ukiwa anagalau na wabunge 30 bungeni. Kuliko kutokuwa na mbunge hata mmoja
Itakuwa ni kosa kubwa sana iwapo chadema itaamua kushiriki uchaguzi huu kwani hawawezi ambulia chochote zaidi ya kuja kutambishiwa na masisiyemu kwamba tumeshinda kwa kishindo.Waacheni na uchaguzi wao na tuvyama rafiki twa ccm mtakuwa mmefikisha ujumbe kwamba kuna uonevu chaguzi za TanzaniaBora kutokuwa na mbunge hata mmoja historia itawaandika vema kwamba mlisimamia jambo jema kwa taifa na bila uchu wa vyeo na nzi wa kijani wakibaki peke yao hiyo ni aibu kwao na wananchi watazidi kuelewa ubaya wa ccm hii itainua public anger na italeta matarajio Bora sana. Kuliko kushiriki ushirikina huo wa kwenda kwenye uchaguzi huku watu wengine wakiwa;
1. Wameuwawa.
2. Wametekwa.
3. Wana kesi za kusingiziwa.
4. Wameharibiwa mali zao.
5. Wamefungwa jela. Nk
Baada ya yote haya wataiba Tena kura na nyie mtakuwa mmewapa uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani. The only solution ni kuwaacha wafanye uchaguzi wao wenyewe na ccm B wao. Dunia itaelewa.
Mtu mmoja lisikika akisema ''Na sisi tumo"' huku akiwa amevalia sare na kuonyesha ishara ya kushika bunduki na kupiga saruti. Na mwingine akatamba akisema " kuna kura halali na haramu,na zote zinaweza kutumika ili mradi baada ya hapo unaenda kutubu" Akamalizia kwa kicheko cha kejeli kukejeli wanaoenda kuwafanyia maombi haramu.Matumizi ya vyombo vya dola ktk zama hizi ni makubwa kupita kiasi ndio maana Ccm wanaweza kushinda kwa asilimia 99%, na wapinzani hawana uwezo wa kushindana na mabavu hayo.
Ngoja tuone!Ysani unakiri mifumo ya uchaguzi ni mibovu, then unawashauri kushiriki uchaguzi? Wewe ni CHAWA , unauza sura wakati mshindi anajulikana? Sasa unasema hwana aibu, wameweza kuengua wagombea wote, wamewapa ushindi walioshindwa then unasema wekeni wagombea? Mtu wa hovyo kabisa ww. Kama unajua yote hayo, kwa nini ushamasishe kususia uchaguzi, mpaka mizania iwe sawa. ?