PreGE2025 No Reforms no Election ni kwa manufaa ya kisiasa kwa Samia kama akitafakari vyema na kuifanyia kazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye mwenyewe kuwa rais). Hata hivyo kuna ajenda ya chama cha CHADEMA ya No Reforms, No Election ambayo kama akiitafakari itamsaidia hata yeye kisiasa. Nitaeleza

1. Samia asipofanya marekebisho ya katiba na sheria atakuwa Rais wa Miaka 9 wakati wenzake wote walifika miaka 10.

Chama cha CHADEMA kiko tayari kuahirisha uchaguzi wa mwaka huu ilimradi tu kutoa nafasi ya mabadiliko ya sheria na katiba kuwezesha uchaguzi huru na haki. Kama Samia atakubali offer hii maana yake ni kuwa ataweza kutawala kwa miaka mitano Kamili ya awamu ya kwanza, na anaweza kupata fursa nyingine ya kutawala mhula wa pili wa miaka Mitano katika uchaguzi ujao, hivyo na yeye kutawala kwa miaka 10 kama wenzie ( Nyerere yeye alitawala miaka 24)

2. Samia anayo fursa ya kutawala hata zaidi ya miaka 10 kama akikubali katiba mpya.

Kama nilivyosema, kwa sasa Samia ameshatawala kwa miaka minne, iwapo atakubali Mchakato wa katiba mpya uwe ni ajenda, Taifa liko tayari kumvumilia kuahirisha uchaguzi ili ajenda hii ifanyiwe kazi. Hapa maana yake anaweza kuvuta miaka mingine mitatu mpaka minne bila uchaguzi ili kupisha mchakato wa Katiba mpya. Unaweza kujenga hoja kuwa uchaguzi ni takwa la kikatiba, ndiyo ni takwa la kikatiba lakini unaweza kuahirishwa kwa sababu fulanifulani za msingi.

Kwa hiyo Samia akipiga miaka yake mingine minne bila ya uchaguzi, atakuwa ametawala miaka Nane kiulaini bure, on a silver plate. Kisha sasa kwenye katiba mpya itakayokuwa imetengenezwa mwaka 2027 au 2028 itatoa Ruhusa kwa mtu yeyote bila kufungwa na masharti ya katiba ya Zamani kugombea, HAPO SASA SAMIA ANAGOMBEA RASMI KWA MARA YA KWANZA KUPITIA KATIBA MPYA yaani anaanza MOJA. Hii inaweza kumuwezesha kutawala miaka mingine 10 kupitia katiba mpya!. Kama Samia anatamani urais sana hii fursa ya kutawala beyond 10 years imejileta yenyewe, anangoja nini kuichangamkia?

3. Samia ndiye aliykuja na Agenda ya 4R ambapo moja ya R ni Reforms.

Samia akiamua kucheza chess ya kisiasa, ilikuwa muda muafaka wa Kuihijack agenda ya No Reforms no Election kwa kuown Agenda ya Reforms, maana ni yeye aliyeipigia chapuo sana. Kama angeisimamia agenda ya Reforms, Chadema wasingeimiliki hii agenda kupitia No Reforms no Election. Kwa Samia kutokukubali Reforms kwa sababu ya maslahi mafupi tu ya kupata wepesi wa kutangazwa Kuwa Rais baafa ya maigizo ya uchaguzi yatakayofanyika october 2025 imemkosesha fursa kubwa ya kuheshimika kama mwanamageuzi na kwa kweli amejipotezea turufu yake ya Reforms katika zile 4R. Sasa ili aweze kureclaim turufu hii ya kisiasa Samia Atangaze "tu kuwa THERE WILL BE REFORMS, AND THERE WILL BE ELECTIONS".

4. Samia akiamua kuendelea na Uchaguzi ea Kimagumashi wa October 2025, Kweli atatangazwa ila atakuwa LAME DUCK PRESIDENT Na BUNGE BUTU.

Kama Nilivyosema, Samia atatangazwa na tume yake mwenyewe kuwa kashinda Urais hapo october 2025. Consequence ya hili ni kuwa atakutana na Umma uliokwishapuuza uchaguzi, kwa hivyo yeye na Bunge lake Watapuuzwa sana na Wananchi. Kwa hivyo no doubt watatawala, lakini utawala wao utaonekana mbele ya umma kama utawala wa kimabavu, usio na ridhaa zao. Na hata mikataba watakayoingia huko nje, au sheria watakazotunga vitahesabika na wananchi kuwa ni vya Samia mwenyewe na kundi lake la wabunge waliotokana na Tume yao wenyewe waliyoiunda wao wenyewe. Unaweza kusema who cares as long as wana madaraka. Lakini humu duniani kuna kitu kinaitwa Law of unintended consequences. Ni vigumu kujua kuwa wananchi wasioiridhia serikali wanaweza kufanya kitu gani katika wakati gani.
 
Kwa hapa tulipofikia hoja hii inapaswa kufanyiwa kazi. Malalamiko dhidi ya chaguzi zetu yanakera kwa kila anayeipenda nchi hii na kuitakia mema. Ninaandika kama Mwananchi ninayeipenda nchi yangu japo si mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Maisha ya amani na haki yawe ni msingi mkuu kwa raifa letu!
 
Well said.
 
Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye mwenyewe kuwa rais). Hata hivyo kuna ajenda ya chama cha CHADEMA ya No Reforms, No Election ambayo kama akiitafakari itamsaidia hata yeye kisiasa. Nitaeleza

1. Samia asipofanya marekebisho ya katiba na sheria atakuwa Rais wa Miaka 9 wakati wenzake wote walifika miaka 10.

Chama cha CHADEMA kiko tayari kuahirisha uchaguzi wa mwaka huu ilimradi tu kutoa nafasi ya mabadiliko ya sheria na katiba kuwezesha uchaguzi huru na haki. Kama Samia atakubali offer hii maana yake ni kuwa ataweza kutawala kwa miaka mitano Kamili ya awamu ya kwanza, na anaweza kupata fursa nyingine ya kutawala mhula wa pili wa miaka Mitano katika uchaguzi ujao, hivyo na yeye kutawala kwa miaka 10 kama wenzie ( Nyerere yeye alitawala miaka 24)

2. Samia anayo fursa ya kutawala hata zaidi ya miaka 10 kama akikubali katiba mpya.

Kama nilivyosema, kwa sasa Samia ameshatawala kwa miaka minne, iwapo atakubali Mchakato wa katiba mpya uwe ni ajenda, Taifa liko tayari kumvumilia kuahirisha uchaguzi ili ajenda hii ifanyiwe kazi. Hapa maana yake anaweza kuvuta miaka mingine mitatu mpaka minne bila uchaguzi ili kupisha mchakato wa Katiba mpya. Unaweza kujenga hoja kuwa uchaguzi ni takwa la kikatiba, ndiyo ni takwa la kikatiba lakini unaweza kuahirishwa kwa sababu fulanifulani za msingi. Kwa hiyo Samia akipiga miaka yake mingine minne bila ya uchaguzi, atakuwa ametawala miaka Nane kiulaini bure, on a silver plate. Kisha sasa kwenye katiba mpya itakayokuwa imetengenezwa mwaka 2027 au 2028 itatoa Ruhusa kwa mtu yeyote bila kufungwa na masharti ya katiba ya Zamani kugombea, HAPO SASA SAMIA ANAGOMBEA RASMI KWA MARA YA KWANZA KUPITIA KATIBA MPYA yaani anaanza MOJA. Hii inaweza kumuwezesha kutawala miaka mingine 10 kupitia katiba mpya!. Kama Samia anatamani urais sana hii fursa ya kutawala beyond 10 years imejileta yenyewe, anangoja nini kuichangamkia?

3. Samia ndiye aliykuja na Agenda ya 4R ambapo moja ya R ni Reforms.

Samia akiamua kucheza chess ya kisiasa, ilikuwa muda muafaka wa Kuihijack agenda ya No Reforms no Election kwa kuown Agenda ya Reforms, maana ni yeye aliyeipigia chapuo sana. Kama angeisimamia agenda ya Reforms, Chadema wasingeimiliki hii agenda kupitia No Reforms no Election. Kwa Samia kutokukubali Reforms kwa sababu ya maslahi mafupi tu ya kupata wepesi wa kutangazwa Kuwa Rais baafa ya maigizo ya uchaguzi yatakayofanyika october 2025 imemkosesha fursa kubwa ya kuheshimika kama mwanamageuzi na kwa kweli amejipotezea turufu yake ya Reforms katika zile 4R. Sasa ili aweze kureclaim turufu hii ya kisiasa Samia Atangaze "tu kuwa THERE WILL BE REFORMS, AND THERE WILL BE ELECTIONS".

4. Samia akiamua kuendelea na Uchaguzi ea Kimagumashi wa October 2025, Kweli atatangazwa ila atakuwa LAME DUCK PRESIDENT Na BUNGE BUTU.

Kama Nilivyosema, Samia atatangazwa na tume yake mwenyewe kuwa kashinda Urais hapo october 2025. Consequence ya hili ni kuwa atakutana na Umma uliokwishapuuza uchaguzi, kwa hivyo yeye na Bunge lake Watapuuzwa sana na Wananchi. Kwa hivyo no doubt watatawala, lakini utawala wao utaonekana mvele ya umma kama utawala wa kimabavu, usio na ridhaa zao. Na hata mikataba watakayoingia huko nje, au sheria watakazotunga virahesabika na wananchi kuwa ni vya Samia mwenyewe na kundi.lake la wabunge waliotokana na Tume yao wenyewe waliyoiunda wao wenyewe. Unaweza kusema who cares as long as wana madaraka. Lakini humu duniani kuna kitu kinaitwa Law of unintended consequences. Ni vigumu kujua kuwa wananchi wasiyoiridhia serikali wanaweza kufanya kitu gani katika wakati gani.
mabadiliko yalishafanyika gentleman,

acha upotoshaji,
na tafadhali acha rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan afanye kazi ya kuwatumikia wananchi.

Ajira za kisiasa hazitafutwi kwa kuwapotosha wananchi gentleman :NoGodNo:
 
Mabadiliko gani yalifanyika, kungekuwa na mabadiliko, uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 usingukuwa feki namna ile.
 
Naunga mkono hoja, Samia angekuwa msikivu angeweza kuacha legacy bora kabisa kuliko watangulizi wake kwa kuwezesha uchaguzi huru na wa haki na wenye kuheshimika.Kama ulivyosema atatangazwa kuwa rais lakini Urais wake utakuwa wa aibu kwani utakuwa umepatikana kwenye uchaguzi wa hovyo uliojaa udanganyifu na wizi wa kura.
 
Mkuu Nchi hii bado hamjaijua.
 
Walr wageni waliowekeza kwenye rasilimali zetu hivi karibuni hawatakubali No reform no election
 
Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye mwenyewe kuwa rais). Hata hivyo kuna ajenda ya chama cha CHADEMA ya No Reforms, No Election ambayo kama akiitafakari itamsaidia hata yeye kisiasa. Nitaeleza

1. Samia asipofanya marekebisho ya katiba na sheria atakuwa Rais wa Miaka 9 wakati wenzake wote walifika miaka 10.

Chama cha CHADEMA kiko tayari kuahirisha uchaguzi wa mwaka huu ilimradi tu kutoa nafasi ya mabadiliko ya sheria na katiba kuwezesha uchaguzi huru na haki. Kama Samia atakubali offer hii maana yake ni kuwa ataweza kutawala kwa miaka mitano Kamili ya awamu ya kwanza, na anaweza kupata fursa nyingine ya kutawala mhula wa pili wa miaka Mitano katika uchaguzi ujao, hivyo na yeye kutawala kwa miaka 10 kama wenzie ( Nyerere yeye alitawala miaka 24)

2. Samia anayo fursa ya kutawala hata zaidi ya miaka 10 kama akikubali katiba mpya.

Kama nilivyosema, kwa sasa Samia ameshatawala kwa miaka minne, iwapo atakubali Mchakato wa katiba mpya uwe ni ajenda, Taifa liko tayari kumvumilia kuahirisha uchaguzi ili ajenda hii ifanyiwe kazi. Hapa maana yake anaweza kuvuta miaka mingine mitatu mpaka minne bila uchaguzi ili kupisha mchakato wa Katiba mpya. Unaweza kujenga hoja kuwa uchaguzi ni takwa la kikatiba, ndiyo ni takwa la kikatiba lakini unaweza kuahirishwa kwa sababu fulanifulani za msingi.

Kwa hiyo Samia akipiga miaka yake mingine minne bila ya uchaguzi, atakuwa ametawala miaka Nane kiulaini bure, on a silver plate. Kisha sasa kwenye katiba mpya itakayokuwa imetengenezwa mwaka 2027 au 2028 itatoa Ruhusa kwa mtu yeyote bila kufungwa na masharti ya katiba ya Zamani kugombea, HAPO SASA SAMIA ANAGOMBEA RASMI KWA MARA YA KWANZA KUPITIA KATIBA MPYA yaani anaanza MOJA. Hii inaweza kumuwezesha kutawala miaka mingine 10 kupitia katiba mpya!. Kama Samia anatamani urais sana hii fursa ya kutawala beyond 10 years imejileta yenyewe, anangoja nini kuichangamkia?

3. Samia ndiye aliykuja na Agenda ya 4R ambapo moja ya R ni Reforms.

Samia akiamua kucheza chess ya kisiasa, ilikuwa muda muafaka wa Kuihijack agenda ya No Reforms no Election kwa kuown Agenda ya Reforms, maana ni yeye aliyeipigia chapuo sana. Kama angeisimamia agenda ya Reforms, Chadema wasingeimiliki hii agenda kupitia No Reforms no Election. Kwa Samia kutokukubali Reforms kwa sababu ya maslahi mafupi tu ya kupata wepesi wa kutangazwa Kuwa Rais baafa ya maigizo ya uchaguzi yatakayofanyika october 2025 imemkosesha fursa kubwa ya kuheshimika kama mwanamageuzi na kwa kweli amejipotezea turufu yake ya Reforms katika zile 4R. Sasa ili aweze kureclaim turufu hii ya kisiasa Samia Atangaze "tu kuwa THERE WILL BE REFORMS, AND THERE WILL BE ELECTIONS".

4. Samia akiamua kuendelea na Uchaguzi ea Kimagumashi wa October 2025, Kweli atatangazwa ila atakuwa LAME DUCK PRESIDENT Na BUNGE BUTU.

Kama Nilivyosema, Samia atatangazwa na tume yake mwenyewe kuwa kashinda Urais hapo october 2025. Consequence ya hili ni kuwa atakutana na Umma uliokwishapuuza uchaguzi, kwa hivyo yeye na Bunge lake Watapuuzwa sana na Wananchi. Kwa hivyo no doubt watatawala, lakini utawala wao utaonekana mbele ya umma kama utawala wa kimabavu, usio na ridhaa zao. Na hata mikataba watakayoingia huko nje, au sheria watakazotunga vitahesabika na wananchi kuwa ni vya Samia mwenyewe na kundi lake la wabunge waliotokana na Tume yao wenyewe waliyoiunda wao wenyewe. Unaweza kusema who cares as long as wana madaraka. Lakini humu duniani kuna kitu kinaitwa Law of unintended consequences. Ni vigumu kujua kuwa wananchi wasioiridhia serikali wanaweza kufanya kitu gani katika wakati gani.
Sawa chawa
 
Back
Top Bottom