PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Bukoba Mjini, CHADEMA yanyimwa uwanja, Mkutano wapelekwa umbali wa KM 2, Wananchi Wafurika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.

Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.

Ushahidi huu hapa

Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani

Screenshot_2025-05-09-20-46-44-1.png

Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani

Screenshot_2025-05-09-20-46-02-1.png

Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani

Screenshot_2025-05-09-20-48-04-1.png

Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
 
Watu walikuwa wachache mpaka Dk. Slaa akawa anawaita watu waliokuwa mbali na shughuli zao wasogee awaone kwa macho.

Ili kulinda malengo yake ya kisiasa, namshauri Chief arudi CCM tu. Hilo li chama limeshapasuka.

N. B. Umejitahidi ku-edit picha, leo watu hawakuwepo kabisa
 
Duh, CDM bado Wapo.?

Wengine wanazunguka Kwa media wakijinadi wamejiondoa..!

Mlala hoi Lazima achanganyikiwe..!
 
Watu walikuwa wachache mpaka Dk. Slaa akawa anawaita watu waliokuwa mbali na shughuli zao wasogee awaone kwa macho.

Ili kulinda malengo yake ya kisiasa, namshauri Chief arudi CCM tu. Hilo li chama limeshapasuka.

N. B. Umejitahidi ku-edit picha, leo watu hawakuwepo kabisa
We mbogamboga hao wanaoonekana pichani ni nini au ni mapumbu yako
 
Watu walikuwa wachache mpaka Dk. Slaa akawa anawaita watu waliokuwa mbali na shughuli zao wasogee awaone kwa macho.

Ili kulinda malengo yake ya kisiasa, namshauri Chief arudi CCM tu. Hilo li chama limeshapasuka.

N. B. Umejitahidi ku-edit picha, leo watu hawakuwepo kabisa
Sihusiki na matatizo yako ya macho
 
Back
Top Bottom