PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Bukoba Mjini, CHADEMA yanyimwa uwanja, Mkutano wapelekwa umbali wa KM 2, Wananchi Wafurika

PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Bukoba Mjini, CHADEMA yanyimwa uwanja, Mkutano wapelekwa umbali wa KM 2, Wananchi Wafurika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.

Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.

Ushahidi huu hapa

Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani


Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani


Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani

View attachment 3329069

Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
Nimeona aisee moto ni ule ule
 
Na ujuwe huwa sina mzaha na hizi alama za "love"; like, mshngao", n.k..
Nikiweka "love", ninamaanisha mchango husika unastahili kupata alama hiyo.
Sikutegemea hata siku moja kwamba kungetokea siku nikaamini na kupenda mchango wa fikra toka kwako; Nilikuwa nimekosea.
Hata hivyo usifikiri nategemea tukubaliane fikra humu, lakini mchango wako huu umenivutia na kunifanya nikuamini unachoeleza. Tofauti kabisa na huko nyuma.
Kuna 'Mtoto wa Shule', naye, mko ofisi moja? naona nyote ni wa Jiji la Mawe, wewe ukiwa Nyamagana, yeye akishikilia Ilemela; na nyote ni wa Kagera!
Mimi ni wa Ukerewe
 
Mimi ni wa Ukerewe
Hapana. Huko hakuna wa aina yako. Historia ya hao watu inawabainisha wazi kabisa kuwa hawana uchawa kama unao uonyesha wewe. Unajuwa tokea uhuru wamekuwa wakibadili wabunge mara kwa mara?
Hiyo ni dalili kuwa watu hao hawakubaliani na upuuzi unaofanywa na CCM.
 
Chama Cha Madikteta sukari inapanda
 

Attachments

  • IMG-20250507-WA0009.jpg
    IMG-20250507-WA0009.jpg
    155.2 KB · Views: 19
  • 20240908_151114.jpg
    20240908_151114.jpg
    79.6 KB · Views: 19
Watu walikuwa wachache mpaka Dk. Slaa akawa anawaita watu waliokuwa mbali na shughuli zao wasogee awaone kwa macho.

Ili kulinda malengo yake ya kisiasa, namshauri Chief arudi CCM tu. Hilo li chama limeshapasuka.

N. B. Umejitahidi ku-edit picha, leo watu hawakuwepo kabisa

Kama hao ni watu wachache, basi kuna uwezekano wa mambo mawili: hujui kiswahili , hivyo huelewi maana ya chache, au una akili kidogo kidogo sana kiasi cha kushindwa kuchora mstari wa chache na nyingi.
 
Back
Top Bottom