PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Bukoba Mjini, CHADEMA yanyimwa uwanja, Mkutano wapelekwa umbali wa KM 2, Wananchi Wafurika

PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Bukoba Mjini, CHADEMA yanyimwa uwanja, Mkutano wapelekwa umbali wa KM 2, Wananchi Wafurika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu walikuwa wachache mpaka Dk. Slaa akawa anawaita watu waliokuwa mbali na shughuli zao wasogee awaone kwa macho.

Ili kulinda malengo yake ya kisiasa, namshauri Chief arudi CCM tu. Hilo li chama limeshapasuka.

N. B. Umejitahidi ku-edit picha, leo watu hawakuwepo kabisa
Hivi huwa unapata faida gani kuhangaika hivi?
Wewe ulikuwepo?
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.

Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.

Ushahidi huu hapa

Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani


Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani


Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani

View attachment 3329069

Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
CCM hawata fanikiwa hata kidogo,John Pombe magufuli alitesa watu na wengine wakauawa kwa kutekwa,ktk uongozi wa JPM,sasa inashangaza sana SAMIA kwa upumbavu uleule aliokuwa anafanya magufuli na yeye ameamua kukanyaga mavi yaleyale akidhani atalindwa na wanadamu SAMIA POPOTE ULIPO MWOMBE MUNGU AKUSAIDIE KUISIKIA SAUTI YA WANA WA MUNGU wapo waliotekwa na kuuawa ,wapo wanaokosa haki zao za msingi za msingi na ndugu za waliotekwa wapo wanasikitika juu ya uongozi wako tena kama mwanamke asiye na huruma ajabu sana MUNGU AKUSAIDIE NA AKUFUMBUE MACHO ILI MWISHO WAKO UWE MZURI.NAKUTAKIA KILA LA HERI MWAKA HUU LKN UKISHUPAZA SHINGO KAZI KWAKO NA KUNDI LAKO LILILOJAA CHAWA WASIOWEZA KUSHAURI CHOCHOTE.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.

Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.

Ushahidi huu hapa

Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani


Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani


Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani

View attachment 3329069

Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
dah,
maskini ya Mungu sijui tapeli wa tone tone anawadanganya nini wananchi wa watu wasio na hatia?

inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise 🐒
 
Ujumbe kwa Mh. Mbowe, akithubitu tu kupanda jukwaa lolote ambalo si CDM...atakufa kifi cha mende.
 
Ujumbe kwa Mh. Mbowe, akithubitu tu kupanda jukwaa lolote ambalo si CDM...atakufa kifi cha mende.
Mkuu tuachane na Mbowe, mpaka muda huu hana kosa lolote
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.

Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.

Ushahidi huu hapa

Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani


Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani


Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani

View attachment 3329069

Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
Sijaona lory hapo wala basi ila watu wapo wa kutosha na wamejaa sasa sijajua CCM inatumia kigezo gani kuona kwamba ajenda ya ya mabadiliko sio ya wananchi, sasa swali, walio jaa hapo ni wana wa ethiopia?au waturuki?
 
Sihangaiki mkuu, ndio kazi yangu
Na ujuwe huwa sina mzaha na hizi alama za "love"; like, mshngao", n.k..
Nikiweka "love", ninamaanisha mchango husika unastahili kupata alama hiyo.
Sikutegemea hata siku moja kwamba kungetokea siku nikaamini na kupenda mchango wa fikra toka kwako; Nilikuwa nimekosea.
Hata hivyo usifikiri nategemea tukubaliane fikra humu, lakini mchango wako huu umenivutia na kunifanya nikuamini unachoeleza. Tofauti kabisa na huko nyuma.
Kuna 'Mtoto wa Shule', naye, mko ofisi moja? naona nyote ni wa Jiji la Mawe, wewe ukiwa Nyamagana, yeye akishikilia Ilemela; na nyote ni wa Kagera!
 
Back
Top Bottom