Hivi huwa unapata faida gani kuhangaika hivi?Watu walikuwa wachache mpaka Dk. Slaa akawa anawaita watu waliokuwa mbali na shughuli zao wasogee awaone kwa macho.
Ili kulinda malengo yake ya kisiasa, namshauri Chief arudi CCM tu. Hilo li chama limeshapasuka.
N. B. Umejitahidi ku-edit picha, leo watu hawakuwepo kabisa
CCM hawata fanikiwa hata kidogo,John Pombe magufuli alitesa watu na wengine wakauawa kwa kutekwa,ktk uongozi wa JPM,sasa inashangaza sana SAMIA kwa upumbavu uleule aliokuwa anafanya magufuli na yeye ameamua kukanyaga mavi yaleyale akidhani atalindwa na wanadamu SAMIA POPOTE ULIPO MWOMBE MUNGU AKUSAIDIE KUISIKIA SAUTI YA WANA WA MUNGU wapo waliotekwa na kuuawa ,wapo wanaokosa haki zao za msingi za msingi na ndugu za waliotekwa wapo wanasikitika juu ya uongozi wako tena kama mwanamke asiye na huruma ajabu sana MUNGU AKUSAIDIE NA AKUFUMBUE MACHO ILI MWISHO WAKO UWE MZURI.NAKUTAKIA KILA LA HERI MWAKA HUU LKN UKISHUPAZA SHINGO KAZI KWAKO NA KUNDI LAKO LILILOJAA CHAWA WASIOWEZA KUSHAURI CHOCHOTE.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.
Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.
Ushahidi huu hapa
Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani
Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani
Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani
View attachment 3329069
Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
dah,Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.
Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.
Ushahidi huu hapa
Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani
Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani
Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani
View attachment 3329069
Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
na hakuna supuKumbuka hao hawajapewa lift na gari la polisi
Lichama lenu linazidi kumeguka tu😁Sasa Mtu kama Kinabo ambaye hakuna anayemjua, hata akipewa TBC Mwezi mzima aitukane Chadema nani atamsikiliza?
Wacha weeee!!Lichama lenu linazidi kumeguka tu😁
Inashangaza sana. Watu wanahama chama; bila aibu wanasema wanatafuta chama watakako pewa uongozi!Sasa Mtu kama Kinabo ambaye hakuna anayemjua, hata akipewa TBC Mwezi mzima aitukane Chadema nani atamsikiliza?
Haki ya Mungu shauri yako😎Wacha weeee!!
Mkuu tuachane na Mbowe, mpaka muda huu hana kosa loloteUjumbe kwa Mh. Mbowe, akithubitu tu kupanda jukwaa lolote ambalo si CDM...atakufa kifi cha mende.
Chadema haitegemei mtu. Hiki ndicho nakiona hapa.CCM wanatia huruma saana, na huyo ni Heche, Lissu ingekuwaje??
CCM bye bye, afu kuna kenge tano eti zinatishia kuipasua CDM maweeee - ha ha ha ha
Sijaona lory hapo wala basi ila watu wapo wa kutosha na wamejaa sasa sijajua CCM inatumia kigezo gani kuona kwamba ajenda ya ya mabadiliko sio ya wananchi, sasa swali, walio jaa hapo ni wana wa ethiopia?au waturuki?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.
Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.
Ushahidi huu hapa
Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani
Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani
Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani
View attachment 3329069
Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
Mbona unateseka sana?Picha zimeunganishwa na matukio mengine ya zamani ambayo sio ya Bukoba
Siteseki mkuuMbona unateseka sana?
Kameze panadol
Sihangaiki mkuu, ndio kazi yanguHivi huwa unapata faida gani kuhangaika hivi?
Wewe ulikuwepo?
CDM ipo imara wale G55 wanaogopa kufa wamekimbia mapambano .CDM inachukua attention dunia nzima .tuko na EU Kesho Bunge la senetiDuh, CDM bado Wapo.?
Wengine wanazunguka Kwa media wakijinadi wamejiondoa..!
Mlala hoi Lazima achanganyikiwe..!
HakikaCDM ipo imara wale G55 wanaogopa kufa wamekimbia mapambano .CDM inachukua attention dunia nzima .tuko na EU Kesho Bunge la seneti
Na ujuwe huwa sina mzaha na hizi alama za "love"; like, mshngao", n.k..Sihangaiki mkuu, ndio kazi yangu