Umeona ee gallow bird akiona mkutano WA CCM umefurika anajua NI watu wameenda Kwa mapenzi Yao kumbee ndo opportunity Yao kumwanona. Diamond platnmz .Ma ccm mpaka yalipe wasanii ili wananchi waje kushangaa show ya bure
Nimeona aisee moto ni ule uleKuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji.
Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe.
Ushahidi huu hapa
Nabii wa Mungu Godbless Lema akifundisha demokrasia Jukwaani
Katibu Mkuu John Mnyika akifafanua maana ya No Reforms No Election Jukwaani
Naye John Heche akifundisha Umuhimu wa Tone Tone Jukwaani
View attachment 3329069
Hii ndio maana Halisi ya Kikosi Kipana
😀😀😀Sasa Mtu kama Kinabo ambaye hakuna anayemjua, hata akipewa TBC Mwezi mzima aitukane Chadema nani atamsikiliza?
Magari ya polisi yanatumika kusomba Wanaccm na kuwapeleka kwenye mikutanoUmeona ee gallow bird akiona mkutano WA CCM umefurika anajua NI watu wameenda Kwa mapenzi Yao kumbee ndo opportunity Yao kumwanona. Diamond platnmz .
Watu hawana ela ya kwenda fiesta
Mwandishi mjasusiJana walikuwa wanatetewa na yule muuza vitabu.
Kuna shida gan si hata nyie Mwenyekiti wenu kapewa lift kuja dar au?Magari ya polisi yanatumika kusomba Wanaccm na kuwapeleka kwenye mikutano
Hapo wamesombwa na malori?.😃😃😃eti watu wafurika,hapo ngoja yanga waende uone watu kufurika
Makala kwa baadhi ya makabila maana yake ni MkaaKwanini wamewanyima uwanja?
Wangekuwa chauma wangewanyima kweli huo uwanja?
Akili za akina makala bhana
Mimi ni wa UkereweNa ujuwe huwa sina mzaha na hizi alama za "love"; like, mshngao", n.k..
Nikiweka "love", ninamaanisha mchango husika unastahili kupata alama hiyo.
Sikutegemea hata siku moja kwamba kungetokea siku nikaamini na kupenda mchango wa fikra toka kwako; Nilikuwa nimekosea.
Hata hivyo usifikiri nategemea tukubaliane fikra humu, lakini mchango wako huu umenivutia na kunifanya nikuamini unachoeleza. Tofauti kabisa na huko nyuma.
Kuna 'Mtoto wa Shule', naye, mko ofisi moja? naona nyote ni wa Jiji la Mawe, wewe ukiwa Nyamagana, yeye akishikilia Ilemela; na nyote ni wa Kagera!
Hapana. Huko hakuna wa aina yako. Historia ya hao watu inawabainisha wazi kabisa kuwa hawana uchawa kama unao uonyesha wewe. Unajuwa tokea uhuru wamekuwa wakibadili wabunge mara kwa mara?Mimi ni wa Ukerewe
Watu walikuwa wachache mpaka Dk. Slaa akawa anawaita watu waliokuwa mbali na shughuli zao wasogee awaone kwa macho.
Ili kulinda malengo yake ya kisiasa, namshauri Chief arudi CCM tu. Hilo li chama limeshapasuka.
N. B. Umejitahidi ku-edit picha, leo watu hawakuwepo kabisa