PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Dar es Salaam, Matajiri wamimina taslim kwa ajili ya Tone Tone, wanasema mitandao inachelewesha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.

Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma!

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jionee kidogo tu hapa ni Kibamba.

Screenshot_2025-04-16-19-03-23-1.png
Screenshot_2025-04-16-19-03-15-1.png
Screenshot_2025-04-16-19-03-06-1.png

Balaa zaidi ni kuhusu Vibopa ambao wameona Waweke mzigo Taslim wa Tone Tone badala ya Kusubiri watume mtandaoni, imebidi Makomandoo wa Chadema walinde vitita hivyo

Screenshot_2025-04-16-19-02-48-1.png

Imeandikwa kwamba hata Musa alivyoomba Msaada wa Mungu, Mungu akamuuliza wewe mwenyewe una nini? Musa akajibu nina Fimbo tu, Ndipo Mungu akamwambia Chukua hiyo fimbo ichape Bahari, itagawanyika na wewe na kundi lako Mtavuka .
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.

Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma!

Jionee kidogo tu hapa ni Kibamba.

View attachment 3306590View attachment 3306591View attachment 3306592

Balaa zaidi ni kuhusu Vibopa ambao wameona Waweke mzigo Taslim wa Tone Tone badala ya Kusubiri watume mtandaoni, imebidi Makomandoo wa Chadema walinde vitita hivyo

View attachment 3306597

Wenye nchi Yao wananchi
 
Usisahau kutaja amount muliyokusanya kwa ajili ya rekodi
 
Imeandikwa kwamba hata Musa alivyoomba Msaada wa Mungu, Mungu akamuuliza wewe mwenyewe una nini? Musa akajibu nina Fimbo tu, Ndipo Mungu akamwambia Chukua hiyo fimbo ichape Bahari, itagawanyika na wewe na kundi lako Mtavuka .💗📌🔨
 
Mkuu mimi si mahiri sana kwenye maandiko matakatifu, nikiboronga nisahihisheni, lakini naamini Ujumbe umeeleweka
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.

Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma!

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jionee kidogo tu hapa ni Kibamba.

View attachment 3306590View attachment 3306591View attachment 3306592

Balaa zaidi ni kuhusu Vibopa ambao wameona Waweke mzigo Taslim wa Tone Tone badala ya Kusubiri watume mtandaoni, imebidi Makomandoo wa Chadema walinde vitita hivyo

View attachment 3306597

Imeandikwa kwamba hata Musa alivyoomba Msaada wa Mungu, Mungu akamuuliza wewe mwenyewe una nini? Musa akajibu nina Fimbo tu, Ndipo Mungu akamwambia Chukua hiyo fimbo ichape Bahari, itagawanyika na wewe na kundi lako Mtavuka .
Wiki mbili za mwanzo mlikuwa mnatoa taarifa za makusanyo ya Tone Tone. Baada ya kuanza kupata jero jero mmeacha kabisa kutoa taarifa! Ahahahahaha!!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.

Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma!

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jionee kidogo tu hapa ni Kibamba.

View attachment 3306590View attachment 3306591View attachment 3306592

Balaa zaidi ni kuhusu Vibopa ambao wameona Waweke mzigo Taslim wa Tone Tone badala ya Kusubiri watume mtandaoni, imebidi Makomandoo wa Chadema walinde vitita hivyo

View attachment 3306597

Imeandikwa kwamba hata Musa alivyoomba Msaada wa Mungu, Mungu akamuuliza wewe mwenyewe una nini? Musa akajibu nina Fimbo tu, Ndipo Mungu akamwambia Chukua hiyo fimbo ichape Bahari, itagawanyika na wewe na kundi lako Mtavuka .
Luca Mushambaa aione & co.
 
Back
Top Bottom