Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Bwaha! Bwaha! Bwaha! Bwaha! Bwahahahahahahaaaaa!!hao ndo matajiri mkuu?
Bwaha! Bwaha! Bwaha! Bwaha! Bwahahahahahahaaaaa!!hao ndo matajiri mkuu?
Mabadiliko huwezi kuyazuia ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kuzuia!Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.
Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma!
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jionee kidogo tu hapa ni Kibamba.
View attachment 3306590View attachment 3306591View attachment 3306592
Balaa zaidi ni kuhusu Vibopa ambao wameona Waweke mzigo Taslim wa Tone Tone badala ya Kusubiri watume mtandaoni, imebidi Makomandoo wa Chadema walinde vitita hivyo
View attachment 3306597
Imeandikwa kwamba hata Musa alivyoomba Msaada wa Mungu, Mungu akamuuliza wewe mwenyewe una nini? Musa akajibu nina Fimbo tu, Ndipo Mungu akamwambia Chukua hiyo fimbo ichape Bahari, itagawanyika na wewe na kundi lako Mtavuka .
ULifikiri kuwa ni matabibu wa manyau au?Bwaha! Bwaha! Bwaha! Bwaha! Bwahahahahahahaaaaa!!
Labda wewe na Mimoshi yako kichwani.CCM lazima wajinyee
Mkuu huogopi matusi?!!!ULifikiri kuwa ni matabibu wa manyau au?
Cc CDM tunazi peleka commisary lupangoWiki mbili za mwanzo mlikuwa mnatoa taarifa za makusanyo ya Tone Tone. Baada ya kuanza kupata jero jero mmeacha kabisa kutoa taarifa! Ahahahahaha!!
Usiondoke JF 🤣😇Kesho mkutano uko wapi jamani kwa anayejua
Kwani sie ndio tuliwalazimisha mtangaze mmepata kiasi gani mara ya kwanza? PUMBAVU!!Cc CDM tunazi peleka commisary lupango
Zingine, kulipia mawakili, na zilizobaki mstituulize
nyie za bandari mnazipeleka wapi?
Tusi au matusi ni tafsiri tu ya mtu.Mkuu huogopi matusi?!!!
Mwisho wa mwezi unikopeshe basi ten rafiki anguLabda wewe na Mimoshi yako kichwani.
Tutafahamishana kesho ili wachawi wasijipange kutuvurugiaKesho mkutano uko wapi jamani kwa anayejua
tumekusanya na tutaendelea kukusanya, ma tone tone yetu, usiniulize yale ya Mh. Mbowe, muulize katibu mkuu, ila haya yetu na TAL ni kama nilivyo bandika.Kwani sie ndio tuliwalazimisha mtangaze mmepata kiasi gani mara ya kwanza? PUMBAVU!!
Mzee wa MPox na Ebola, hebu rudi Dar CDM wamekinukisha na No Reforms No Election!Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.
Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma!
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jionee kidogo tu hapa ni Kibamba.
View attachment 3306590View attachment 3306591View attachment 3306592
Balaa zaidi ni kuhusu Vibopa ambao wameona Waweke mzigo Taslim wa Tone Tone badala ya Kusubiri watume mtandaoni, imebidi Makomandoo wa Chadema walinde vitita hivyo
View attachment 3306597
Imeandikwa kwamba hata Musa alivyoomba Msaada wa Mungu, Mungu akamuuliza wewe mwenyewe una nini? Musa akajibu nina Fimbo tu, Ndipo Mungu akamwambia Chukua hiyo fimbo ichape Bahari, itagawanyika na wewe na kundi lako Mtavuka .
Mh. A. Mbowe anatamani angekuwa mshika bakuli.
Lets go TAL erection is around the corner
Mpaka uone wahindi na waarabu ndio ujue ni matajiri? Maana huko ccm ndio matajiri?hao ndo matajiri mkuu?
Kwamba chukua hiyo fimbo, ichape bahari😀Mkuu mimi si mahiri sana kwenye maandiko matakatifu, nikiboronga nisahihisheni, lakini naamini Ujumbe umeeleweka