TAL erection is indeed around the corner. Key word erection.Mh. A. Mbowe anatamani angekuwa mshika bakuli.
Lets go TAL erection is around the corner
TAL erection is indeed around the corner. Key word erection.Mh. A. Mbowe anatamani angekuwa mshika bakuli.
Lets go TAL erection is around the corner
Kama huna macho hilo si kosa letuToka saa 1 asubuhi post ina page mbili dah! JamiiForums kuna shida gani ni watu wamechoka au kuna shidagani?
Subir michango ya ccm uulize kwa hili kwa vile wanaochanganya hawalalamiki ni bora upite kushoto.Wiki mbili za mwanzo mlikuwa mnatoa taarifa za makusanyo ya Tone Tone. Baada ya kuanza kupata jero jero mmeacha kabisa kutoa taarifa! Ahahahahaha!!
Subir michango ya ccm uulize kwa hili kwa vile wanaochanganya hawalalamiki ni upite kushoto.Wiki mbili za mwanzo mlikuwa mnatoa taarifa za makusanyo ya Tone Tone. Baada ya kuanza kupata jero jero mmeacha kabisa kutoa taarifa! Ahahahahaha!!
Nyinyi ccm ndio mnaolalamika kutakakujuwa kiasi kilichochangwa wakati wanaochanga hawalalamiki. Mnaumia sana.Kwani sie ndio tuliwalazimisha mtangaze mmepata kiasi gani mara ya kwanza? PUMBAVU!!
Ninyi ndio mnajichanganya na ujinga wenu. Aliyewaambia mara ya kwanza mtangaze nani? Au wajinga ndio waliwao? Ahahahahaha!!Subir michango ya ccm uulize kwa hili kwa vile wanaochanganya hawalalamiki ni bora upite kushoto.
Kinachokuuma ni kitu gani? Hayo ni maamuzi yao wala hayakuhusu. Mnajipa tabu sana.Ninyi ndio mnajichanganya na ujinga wenu. Aliyewaambia mara ya kwanza mtangaze nani? Au wajinga ndio waliwao? Ahahahahaha!!
Ahahahahaha!!!Kinachokuuma ni kitu gani? Hayo ni maamuzi yao wala hayakuhusu. Mnajipa tabu sana.
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.
Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma!
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jionee kidogo tu hapa ni Kibamba.
View attachment 3306590View attachment 3306591View attachment 3306592
Balaa zaidi ni kuhusu Vibopa ambao wameona Waweke mzigo Taslim wa Tone Tone badala ya Kusubiri watume mtandaoni, imebidi Makomandoo wa Chadema walinde vitita hivyo
View attachment 3306597
Imeandikwa kwamba hata Musa alivyoomba Msaada wa Mungu, Mungu akamuuliza wewe mwenyewe una nini? Musa akajibu nina Fimbo tu, Ndipo Mungu akamwambia Chukua hiyo fimbo ichape Bahari, itagawanyika na wewe na kundi lako Mtavuka .
Hapa u Lucas mwashamba mwingi 😹😹Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma
Tuheshimiane bhn kwaio wale ndo matajiri au unaleta ujinga tu hapaMpaka uone wahindi na waarabu ndio ujue ni matajiri? Maana huko ccm ndio matajiri?
Tuheshimiane bhn kakaNaam
walisema kila baada ya sku sita watakua wanatoa mrejesho na Lema ndo atakua kiongoz wa mrejesho ila saiv naona kimya mwishowe yawe kama join the chainWiki mbili za mwanzo mlikuwa mnatoa taarifa za makusanyo ya Tone Tone. Baada ya kuanza kupata jero jero mmeacha kabisa kutoa taarifa! Ahahahahaha!!
HayaTuheshimiane bhn kaka