Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Tundu Lissu kWa sasa ni mlemavu, hiyo no reform no election ni mkakati wake ili tupambane na dola tuumizwe tuwe kana yeye, mwenzetu kila baada ya muda anaenda kucheki afya ulaya, mm hata nauli ya kwenda Temeke hospitali ntakuwa nayo? after all watoto wake Lissu wako ulaya mm wa kwangu wa kimbinyiko, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Ndugu yangu mmoja alikuwa anajifanya Chadema sana, cku moja akaenda Mahakama ya Kisutu kuunga mkono Chadema, hadi leo amepooza kiuno, miguu haina nguvu, mke kamkimbia sasa amebakia ombaomba tu, anajuta
Wakat wa uchaguzi 2020 Lissu alimtishia sana Magufuli, kumbe ilikuwa mikwara tu, uchaguzi Umeisha Lissu akasindikizwa ubelgiji na mabalozi had airport
Mwenzetu familia yake yote iko ubelgiji, amebakia na nguo tu na gari yake ambayo anytime anaweza kuiuza, mke wa Lissu mwenyewe anasema Tanzania kwake sio salama hivyo hawez kurudi wewe kapuku kaa msikilize Lissu atangaze muandamane mzuie uchaguzi mtaona faida yake.
Kızza Besigye yuko wapi, leo anaenda Mahakamani na wheelchair, TMA wametangaza kiwango cha joto kilivyokuwa kikali je huko jela joto hili mmeswagwa mko Mia 200 mtaweza, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Mwambieni Lissu kama anataka mapambano arudishe familia nchini
Soma pia: