Noma sana! Hii fly over ya Tanzania utadhani daraja la Kigamboni

Kweli Tanzania mko mbali sana kwenye kiswahili na hatuwezi wafikia kamwe. Upembuzi dah
 
Umenena. Kenya hamna waja wanaobugia kinyesi kama Tanzania
Tanzania nchi ya maziwa na asali poyoyo wewe..huku sio limbukeni wa chakula tuna uwezo wa kubadilisha vyakula hata aina saba kwa siku maeneo ya vijijini huko ndio usiseme vyakula vinazalishwa mpaka vingine tunasaidia nchi maskini mfano Kenya,Burundi n.k..karibu Tanzania toka hapo Turkana uone baadhi ya nchi za Africa Mashariki(Rwanda,Tanzania na Uganda zilivyobarikiwa)
 
Acha kuhemka ovyoovyo.Hebu niletee evidence mkisaidia Kenya chakula
 
Matatizo ya Afrika, watu hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka
Hii ni Paris Ufaransa! Wafaransa hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka! Hii ni Nairobi Kenya!



Hivi hili tatizo kwa hapa Dar ndiyo tuseme limekosa kabisa ufumbuzi au tunasubiri mpaka siku lije lilete madhara makubwa ndiyo ufumbuzi upatikane? Yaani kati ya vitu ambavyo mimi vinanikosesha amani hapa Dar, ni issue ya mafuriko. Na ikiendelea hivi, kuna siku tutakuja kujuta. Tusubirini, time will tell. Na mimi nikisema huwa ni kama nabii. Wahusika mimi nilikuwa naomba sana washughulikie hili tatizo. Mimi naamini lina tiba.
 
Hyo n fly over ama n daraja Sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

At rais mzma hyo ndo fly over alienda
Kuzndua Na mua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo ni tuta lenye milango
 
Safi sana kwanza ni utoto na ujinga kujidefend kwa mapungufu ya wengine 254 amechallage hata kama kwao hali ipo hivyo hiipi mamlaka na TZ iwe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…