North Korea Cars

Kwa hiyo hizo picha ndiyo kudhihirisha maisha mazuri ya watu wa N.Korea[emoji2960].Hata Dar au Nairobi picha za usiku zinavutia sana tu
 
Ficha upumbavu wako na kukurupukia mambo usiyoyajua....

Mleta mada mwenyewe kakubali kuwa alikosea ktk kuandika halafu wewe kwa upumbavu wako wadai alikusudia kutumia maneno machache.

Kuna kanuni za kutumia maneno machache 'key words' ktk ku-search information lakini si kwa kuandika maneno mengi (sentensi ile) vile.

By the way, acha ushamba kuona google search engine ni kitu kikuubwa hata uone kuwa kutumia hiyo Google kunahitaji taaluma kubwa, wakati hata mtoto wa darasa la 7 awezaitumia hiyo Google....Watu tunaelewa kutumia Web of science, Scopus, PubMed n.k. ambavyo yawezekana mpaka kufa kwako hutokujajua namna ya ku-search material ktk hizo databases
 
Baba usijifanye unajuwa English hapa hiyo lugha imelala. Ilikuwa tu hand mistake. Take it easy. Mimi Kwenye hiyo lugha nakutoa makamasi
Ni kweli mkuu, nimeshakubali toka mwanzo kuwa umenitoa kamasi kwenye kimalkia, ndio maana nikasema kuwa nimetoka kapa kwenye sentensi yako hii hapa
 
Unahisi ukitukana ndiyo utaeleweka?

Unajua kwamba hata mimi nina device ambayo naweza nikaandika matusi kama unayoandika hapa?

Acha mambo ya kishamba
 
Daah Ila wewe jamaa unapiga Pini balaa🙌😄😄😁😁
Utoto mwingiii. We are not in a grammar class. Kama unanihitaji nikufundishe, tufanye hivyo. Naona unang'ang'ana. Mm nakufundisha mkuu. Niko vema Kwenye hiyo lugha. Na nalijuwa kwamba Kwenye hii platform wote ni wakubwa. Sikujuwa wengine ni watoto.
 
Utoto mwingiii. We are not in a grammar class. Kama unanihitaji nikufundishe, tufanye hivyo. Naona unang'ang'ana. Mm nakufundisha mkuu. Niko vema Kwenye hiyo lugha. Na nalijuwa kwamba Kwenye hii platform wote ni wakubwa. Sikujuwa wengine ni watoto.
Kwani kosa langu Ni nini mkuu ?🤔
 
Kwa hiyo hizo picha ndiyo kudhihirisha maisha mazuri ya watu wa N.Korea[emoji2960].Hata Dar au Nairobi picha za usiku zinavutia sana tu
1. Literacy rate ya North korea kwa watu wenye miaka 15 ni asilimia 100, Hakuna mtu Mjinga asie jua kusoma na kuandika Huko

2.Elimu bure na mazingira mazuri, Shule zao za serikali wachache, vifaa vipo,

Fun fact Nchi za West zinatudanganya North Korea ni wajinga, Elimu yao Haina maana, ila kukitoa Hacking yoyote ama Ransomware Hao hao West wanatuambia tena Eti ni North korea wamefanya Hivyo.

Angalia primary hio

Then linganisha na shule zetu za Chini ya Miembe.
 
Chung Ju Yung aliiba ng'ombe uko kwao North Korea akamuuza na kukimbilia South Korea akafanya kazi kwa bidii, akaanzisha kampuni ya Hyundai. Hyundai sasa hivi ina thamani kuliko makampuni yote ya North Korea kwa pamoja. Angebaki uko angeendelea kuchunga ng'ombe
 
So mtu mmoja anarepresent Taifa? South wana matatizo yao kama North, matatizo yanayoletwa na Ubepari na Income inequalities, kuna Mafukara wa Kutupwa huko south kitu ambacho huwezi kukikuta North.
 
Hiyo picha ya kwanza ndio katikati ya mji. Sasa rudi kwenye picha ya kwanza niliyoweka hapo juu utaona hiyo hotel kubwa kabisa na maarufu kwao barabara karibu nayo haina magari.

Bahati nzuri umesema North Korea wanatoroka kwenda South na baadae serikali ya North inawasamehe maelfu warudi. Kumbe uwa wanatoroka? Sasa unajua ni wangapi wa South Korea waliwahi torokea North, najua wawili tu. Hapo mwenye akili na ajiulize, kati ya Uturuki ambako raia wa Syria wanapambana kukimbilia na Syria ambako raia wake wanapambana kuondoa wapi kuna maisha mazuri. Kati ya Marekani na Mexico, kati ya Burundi na Tanzania.

North Korea wanabana vyombo vya habari na kila kitu wanaaminishwa wako vizuri ila raia wanatoroka na pale mpakani walinzi wao wanampiga risasi mtorokaji akipatikana. South Korea wana uhuru wa habari na hawatorokei Kaskazini, wala jeshi lao haliui raia wa upande wowote anayetoroka. Kwa akili tu ya mtoto mdogo inajulikana wapi kuna maisha magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…