North Korea leo imerusha kombora la 9 la balistiki toka kuanza mwaka huu

North Korea leo imerusha kombora la 9 la balistiki toka kuanza mwaka huu

Wanao piga marufuku ndio watengenezaji wakubwa
Ifike wakati Dunia nzima kwa Pamoja ikubali ku-denuclearize sio Korea tu aanze Marekani kuonyesha mfano, Russia Israel n.k. na baada ya hapo hakuna mtu kufanya tena hii kitu...

Huwezi kujifanya eti unaongelea World Peace wakati una nyezo ya ku-end the World...., Ni Unafiki....
 
Mkuu wanaomminya kumuharibia uchumi ni hao hao ambao wanamtaka asiwe na tech hiyo. Wanajaribu kumdhoofisha ili asipate fedha za kufanyia tafiti hizo, lakini wameshashindwa tayari
Embu Kaka tanueni fikra zenu.
North Korea toka Vita za mgawanyo walikua ni watu wa kupenda ubabe.
Wewe anaiba pesa mpk crypto currency ili atengeneze makombora ilhali nchi kiuchumi Ina viraka!?
Asa elezea N.Korea ina adui yupi mkubwa wa kutaka kujilinda nae!?
Anateketeza pesa nyingi ktk silaha ilhali wananchi hali si shwari.
 
Nani apige marufuku Sasa,
Maana mwenye nazo ndio anaheshimika kwa sasa.

Vinginevyo jiandae kuonewa,
Marekani mwnyw alianzisha iyo kampeni kwa akafeli Maana yeye mwnyw za kwake hataki kuziangamiza.
Dunia kwa ujumla sisi ambao hatuna kwanza tuanze kupewa Ruzuku ya kuhatarisha maisha yetu...,

Kwa kuanza United Nations ipate Meno..., na kupata Meno isitegemee USA kwa kujiendesha (Mataifa yote Yachangie) hence US isiwe na VETO..., baada ya hapo kinachoongelewa huko kiwe kwa manufaa ya wote..., atakayekataa kuondoa haya majanga na atambulike kwa ufedhuli wake..., sasa hivi North Korea na Iran wanaonekana wabaya kumbe Amerika, Israel na wengine wengi ni walewale tu wala hawana tofauti nao...
 
Embu Kaka tanueni fikra zenu.
North Korea toka Vita za mgawanyo walikua ni watu wa kupenda ubabe.
Wewe anaiba pesa mpk crypto currency ili atengeneze makombora ilhali nchi kiuchumi Ina viraka!?
Asa elezea N.Korea ina adui yupi mkubwa wa kutaka kujilinda nae!?
Anateketeza pesa nyingi ktk silaha ilhali wananchi hali si shwari.
Bila kitisho cha hayo madude jamaa angeshakuwa Historia, Downfall yake huenda itakuwa from within..., wananchi wakichoka na administration nyingine zikija zenye mtizamo tofauti...
 
Ndio hujakosea mkuu.
Ila kumuachia kichaa km Kim kumiliki hizi silaha ni ujinga.
Jamaa anaendekeza mabavu ilhali hali ya nchi yake kiuchumi ni mbovu.
We itizame South Korea wananchi wanavyoishi kwa bata.
Kuwa kibaraka wa USA ndiyo kuishi kwa kula Bata?

Hawajambo hapo Mchambawima lakini[emoji848][emoji2960]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ah...
Wanalalamika na hamna kitu wanaweza mfanya.

Nakumbuka kauli ya kiduku kwa trump,
Kua waonee hao hao wanyonge waarabu, ukiniletea Ujinga nakufyatua uko uko kwako USA.

Trump akafyata
Msijidanganye kuwa USA hawezi kumpiga N.Korea ,anaweza Tena ndani ya wiki tu.
Ila USA hawezi kujiingiza ktk Vita sasa hv kwasababu ya uchumi.
 
Embu Kaka tanueni fikra zenu.
North Korea toka Vita za mgawanyo walikua ni watu wa kupenda ubabe.
Wewe anaiba pesa mpk crypto currency ili atengeneze makombora ilhali nchi kiuchumi Ina viraka!?
Asa elezea N.Korea ina adui yupi mkubwa wa kutaka kujilinda nae!?
Anateketeza pesa nyingi ktk silaha ilhali wananchi hali si shwari.
Mkuu mbona hilo la maadui wa North Korea liko wazi?

Angalia hapa chini, mie sitii maneno yangu

SmartSelect_20220305-111801_Gallery.jpg
 
Bila kitisho cha hayo madude jamaa angeshakuwa Historia, Downfall yake huenda itakuwa from within..., wananchi wakichoka na administration nyingine zikija zenye mtizamo tofauti...
Angekua kafutwa na nani!?
Kama matatizo yalishamalizwa toka 1959+ .
Aya miaka hii ya 2000s nan anamsumbua!?
Anabaki kufanya ubabe wa kipuuzi.
Mwaka Jana kalipua zile ofisi za ushirika ktk eneo la demilitarized zone akitishia kuweka majeshi eneo liwe la N.K moja kwa moja.
Mwaka huo huo kaua Askari maji wa S.K akifanya doria akisingizia kaingia mpakani mwake.
Kama haujui bro raia wengi wa N.K huhamia S.K in search of better life.
 
Hii dunia bila kumiliki makombora ya balistiki hasa ICBM, na silaha za nyuklia kwa ujumla wake lazima uonewe sana aisee.

Wajanja watafanya kwako ndio sehemu ya kujaribia uimara wa zana zao za kivita pamoja na kuzi dump zile za zamani wasizozihitajia tena
Sahii KABISA,
Kwa alichokifanya Putin, bila hayo madude Russia ingeshakua majivu.

Gadafi, palestina, Syria na Afghanistan wangelikua na hayo madude, hakuna kenge angeliwasogelea.
 
Mkuu mbona hilo la maadui wa North Korea liko wazi?

Angalia hapa chini, mie sitii maneno yangu

View attachment 2139504
Nikuulize kitu!?
Japan kwann iwe na ugomvi na N.K pekeake na sio S.K!?
Kwan hao wote si wakorea!?
Embu niambie kitu gani tishio US,Japan na South Korea wamefanya hii miaka ya kuhatarisha usalama wa North Korea!?
Ukinijibu hilo kaka mjadala unaisha.
 
Mkuu maswali mengine si wafatilia hata mwenyewe, sio kila kitu nikueleze direct mie.

Kwanza sio kweli kuwa Japan haina ugomvi na South Korea

SmartSelect_20220305-113210_Chrome.jpg
 
Kuwa kibaraka wa USA ndiyo kuishi kwa kula Bata?

Hawajambo hapo Mchambawima lakini[emoji848][emoji2960]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mchambawima hawajambo.
Vipi ww Mpitimbi wazima?

Halafu embu kuwa na maswali ya maana basi.
Hivi we unafananisha life standards ya South korea na North Korea!?
Hivi unafananisha maendeleo ya South korea na North Korea!?
Hayo ya kuwa kibaraka au sio kuwa kibaraka unayajua ww.
Ila wao wana maendeleo makubwa.
 
Mkuu maswali mengine si wafatilia hata mwenyewe, sio kila kitu nikueleze direct mie.

Kwanza sio kweli kuwa Japan haina ugomvi na South Korea

View attachment 2139512
Hahahahhahahaha we jamaa achabu ht kiingereza hujui vizuri.
Soma vizuri hiyo paragraph ya chini.
Halafu niambie kwa miaka ya sasa uadui wa hayo mataifa unatokea wapi!?
Duh hii C&P iache.
Muwe mwatizama hata taarifa za habari basi.
South Korea na Japan hawana ugomvi bali South Korea Wana maumivu ya kutawaliwa na Japan.
Kama unakumbuka mwaka Jana miezi ya mwanzoni South Korea ilikua ikiadhimisha siku ya wanawake walioishi kwa manyanyaso ya kingono ktk utawala wa kijapan na viongozi wa Seoul walitaka Tokyo kwa heshima iwe inaomba msamaha kila mwaka wa mahadhimisho hayo.
Japan ile omba msamaha mara moja tu na kuwaambia Southkorea waache past grudges .
Tofauti na hapo hakuna ugomvi ukiachana na past grudges.
 
N. Korea anacho fanya ni kuenedeleza mambo yake kimyakimya na kwa haraka wakati wana NATO wanashinda kwenye vikao juu ya mgogogro wa ukraine
Hebu tupe faida 3 za kurusha kombora Bahraini!
 
Ifike wakati Dunia nzima kwa Pamoja ikubali ku-denuclearize sio Korea tu aanze Marekani kuonyesha mfano, Russia Israel n.k. na baada ya hapo hakuna mtu kufanya tena hii kitu...

Huwezi kujifanya eti unaongelea World Peace wakati una nyezo ya ku-end the World...., Ni Unafiki....
Unaongea kama vile unaota, unadhani wenyewe wanaomiliki hivyo vinu hawakuwa na mawazo sawa na yako lakini hawakuona umuhimu wake zaidi ya kuyapuuza tu[emoji848]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mimi hua nashangaa watu mnaokuja kusema kiduku nomaa au Nato wame kaa tu wakati wenzao wanafanya hayo majaribio

Nnacho taka kusema Ni kua hizo ICBM wakali walisha cheza nazo kitambo Sana karibu 60 years ago uko watu wameruka nazo uyo kiduku wa juzi tu hapo mna muona mtu ajaribu kurusha kimakosa liangukie hapo Japan aone Moto wak
e
 
Hahahahhahahaha we jamaa achabu ht kiingereza hujui vizuri.
Soma vizuri hiyo paragraph ya chini.
Halafu niambie kwa miaka ya sasa uadui wa hayo mataifa unatokea wapi!?
Duh hii C&P iache
Ha ha haaa...Yaani mie huyu huyu ninaekusaidia kufahamu usiyoyajua yaliyokwenye lugha ya kiingereza ndio niwe sijui kiingereza?! Ajabu hii.

We kila kitu wauliza utadhani umeibiwa smartphone! Au hujui ku-search info maana ktk ku-search lazima u-type kwa kiingereza.
 
Back
Top Bottom