North Korea leo imerusha kombora la 9 la balistiki toka kuanza mwaka huu

Ha ha haaa...Yaani mie huyu huyu ninaekusaidia kufahamu usiyoyajua yaliyokwenye lugha ya kiingereza ndio niwe sijui kiingereza?! Ajabu hii.

We kila kitu wauliza utadhani umeibiwa smartphone! Au hujui ku-search info maana ktk ku-search lazima u-type kwa kiingereza.
Mimi nakuuliza kwasababu.
Sio km sijui.
Nimeongeza kitu ktk quote yangu kasome tena.
Mimi nakuuliza elezea ugomvi wa sasa wa hayo mataifa ww unanielezea past grudges.
Nimekuuliza taja kitu ambacho hayo mataifa yamefanya kwasasa kuhatarisha usalama wa kiduku unaleta masuala ya past grudges.
 
Mimi hua nashangaa watu mnaokuja kusema kiduku nomaa au Nato wame kaa tu wakati wenzao wanafanya hayo majaribio

Nnacho taka kusema Ni kua hizo ICBM wakali walisha cheza nazo kitambo Sana karibu 60 years ago uko watu wameruka nazo uyo kiduku wa juzi tu hapo mna muona mtu ajaribu kurusha kimakosa liangukie hapo Japan aone Moto wak
e
Watu wanahangaika na uchumi sasa hivi hawaendekezi Vita.
Ila kukaa kwao kimya haimaanishi hawawezi kuipiga North Korea.
 
Mimi nakuuliza kwasababu.
Sio km sijui.
Sio kweli, wewe hujui. Washindwajua maadui wa North Korea, ndio utaweza kujua kuwa hakuna uadui kati ya South Korea na Japan?!

Eti waulizia hata vitendo vya hivi karibuni vya kiuadui vya US, SK na JP, hilo nalo ni la kuuliza kama wafatilia taarifa za kimataifa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Unazidi kuchekasha bro.
Embu nikuache kwanza maana naumwa sitakiwi kucheka .
 
Huko baharini kuna viumbe wengine, wameshawaza wanavyowaumiza hao Samaki na viumbe mbali mbali,
Binaadam hujifikiria yeye tu na hudhani yeye pekee ndie anayeishi ulimwenguni.
 
Msijidanganye kuwa USA hawezi kumpiga N.Korea ,anaweza Tena ndani ya wiki tu.
Ila USA hawezi kujiingiza ktk Vita sasa hv kwasababu ya uchumi.
N.korea akifyatua nyuklia USA inageuka vumbi na majivu within minutes.

Nani anataka kuteketeza ile migorofa ya NEW YORK Isimama utadhani uyoga, iliyojengwa Karne na Karne.

Eti ifutike usiku Mmoja TU.
 
Msijidanganye kuwa USA hawezi kumpiga N.Korea ,anaweza Tena ndani ya wiki tu.
Ila USA hawezi kujiingiza ktk Vita sasa hv kwasababu ya uchumi.
Hizo sababu za kiuchumi ndiko kushindwa kwake huko, pia punguza mahaba sababu hata kumkamata Sadam Hussein ilimgharimu zaidi ya mwezi mmoja, wiki 1 na siku 3, sasa ije kuwa mbabe Kiduku?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanahangaika na uchumi sasa hivi hawaendekezi Vita.
Ila kukaa kwao kimya haimaanishi hawawezi kuipiga North Korea.
Hiyo faida ya kukuza uchumi kwa mataifa ya kimagharibi imejulikana leo tu kwa North Korea?

Mbona haikuonekana walipoamua kushambulia mataifa dhaifu kama Iraq n.k.

Sasa kama wanataka kusevu pesa ili kukuza uchumi, mazoezi ya kivita shirikishi wanayofanya US na South Korea huko South Korea huwa wanayafanyia nini? Au wadhani huwa mazoezi hayo huwa hayatumii fedha?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 .
Kabla hajajaribu hata kurusha ataona Nini kitampata huyo kiduku wenu.
Hivi mifumo ya ulinzi ya US unaifananisha na N.Korea!?
 
Hiyo faida ya kukuza uchumi kwa mataifa ya kimagharibi imejulikana leo tu kwa North Korea?

Mbona haikuonekana walipoamua kushambulia mataifa dhaifu kama Iraq n.k.

Sasa kama wanataka kusevu pesa ili kukuza uchumi, mazoezi ya kivita shirikishi wanayofanya US na South Korea huko South Korea huwa wanayafanyia nini? Au wadhani huwa mazoezi hayo huwa hayatumii fedha?
Kaka unawezaje kufananisha bajeti ya masuala ya kiulinzi na gharama za Vita!?
Hivi unajua gharama za vita ni kubwa!?
Hivi unajua Kama Vita ipiganwapo shughuli za kiuchumi zinasimama!?
Tofautisha wakati ule na sasa.
TIZAMA kwasasa US Ana ushindani wa kiuchumi na nani.
Kuna China mzee anaempumulia nyuma USA.
Halafu hapa tunaizungumzia USA sio mataifa ya Ulaya.

Pia kufanya kwao mazoezi US na S.korea kunaathiri nn Pyongyang!?
Kwan Seoul imetishia kuivamia Pyongyang!?
 
Mchambawima hawajambo.
Vipi ww Mpitimbi wazima?

Halafu embu kuwa na maswali ya maana basi.
Hivi we unafananisha life standards ya South korea na North Korea!?
Hivi unafananisha maendeleo ya South korea na North Korea!?
Hayo ya kuwa kibaraka au sio kuwa kibaraka unayajua ww.
Ila wao wana maendeleo makubwa.
Wawe na maisha mazuri au mabaya lakini kwangu mimi yeyote anayeishabikia USA ilihali ndiye beberu aliyechangia TZ tusifike hata maisha ya kati kiuchumi duniani huwa namwona sawa na mpumbavu tu.

Haiwezekani mchana kweupe tunadanganywa na vimisaada uchwara vya neti, kondomu, ARV na kupewa mikopo migumu kimasharti ilihali tuna rasilimali tele ambapo zaidi ya miaka 60 sasa ya uhuru hatunufaiki na lolote na huyo USA.

USA ni shetani anayekuchekea usoni(kondoo) ilihali anakuchukia rohoni(mmbwa mwitu) [emoji34]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kaka unawezaje kufananisha bajeti ya masuala ya kiulinzi na gharama za Vita!?
Hivi unajua gharama za vita ni kubwa!?
Hivi unajua Kama Vita ipiganwapo shughuli za kiuchumi zinasimama!?
Tofautisha wakati ule na sasa.
TIZAMA kwasasa US Ana ushindani wa kiuchumi na nani.
Kuna China mzee anaempumulia nyuma USA.
Halafu hapa tunaizungumzia USA sio mataifa ya Ulaya.

Pia kufanya kwao mazoezi US na S.korea kunaathiri nn Pyongyang!?
Kwan Seoul imetishia kuivamia Pyongyang!?
Mkuu nachelea kusema kuwa uelewa wako ni finyu sana ktk mambo hayo
 
Wawe na maisha mazuri au mabaya lakini kwangu mimi yeyote anayeishabikia USA ilihali ndiye beberu aliyechangia TZ tusifike hata maisha ya kati kiuchumi duniani huwa namwona sawa na mapumbavu tu.

Haiwezekani mchana kweupe tunadanganywa na vimisaada uchwara vya neti, kondomu, ARV na kupewa mikopo migumu kimasharti ilihali tuna rasilimali tele ambapo zaidi ya miaka 60 sasa ya uhuru hatunufaiki na lolote na huyo USA.

USA ni shetani anayekuchekea usoni(kondoo) ilihali anakuchukia rohoni(mmbwa mwitu) [emoji34]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Usihamishe mada Kaka.
Mimi sijaleta ushabiki hapa na wala sio mshabiki wa USA.
Bali naongea uhalisia uliokuwepo.
Wao ww kukandamizwa na US haiwahusu bali ni ujinga na upumbavu na uchu wa madaraka wa viongozi wenu wa kiAfrika ndio umewafikisha hapa mlipo.
Viongozi wenyewe hamuna mnategemea mtapata lini maendeleo!?
CCM WOTE MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA HILO MNASINGIZIA USA ANAHUSIKA!?
AFRIKA YOTE INAJITEKETEZA YENYEWE KWA KUENDEKEZA UCHU WA MADARAKA NA UFISADI WEST AFRIKA KILA SIKU WANAPINDUANA EAST AFRICA (S.SUDAN,UGANDA,RWANDA)VIONGOZI WANALEWA MADARAKA .
KWA STYLE HII MNATEGEMEA MUENDELEE!?
AFRICA MKIACHA UCHU WA MADARAKA NA KULEWA MADARAKA NA UFISADI NDIPO MTAPOANZA KUENDELEA.
 
Mkuu nachelea kusema kuwa uelewa wako ni finyu sana ktk mambo hayo
Nilipoona ww ni mtu wa kumezeshwa ni pale ulipofananisha gharama za kuendesha Vita na bajeti ya ulinzi.
Pia inaonekana ni mtu wa kusikiliza sana story za vijiweni hata kureason mwenyewe huwezi.
 
Usihamishe mada Kaka.
Mimi sijaleta ushabiki hapa na wala sio mshabiki wa USA.
Bali naongea uhalisia uliokuwepo.
Wao ww kukandamizwa na US haiwahusu bali ni ujinga na upumbavu na uchu wa madaraka wa viongozi wenu wa kiAfrika ndio umewafikisha hapa mlipo.
Viongozi wenyewe hamuna mnategemea mtapata lini maendeleo!?
CCM WOTE MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA HILO MNASINGIZIA USA ANAHUSIKA!?
AFRIKA YOTE INAJITEKETEZA YENYEWE KWA KUENDEKEZA UCHU WA MADARAKA NA UFISADI WEST AFRIKA KILA SIKU WANAPINDUANA EAST AFRICA (S.SUDAN,UGANDA,RWANDA)VIONGOZI WANALEWA MADARAKA .
KWA STYLE HII MNATEGEMEA MUENDELEE!?
AFRICA MKIACHA UCHU WA MADARAKA NA KULEWA MADARAKA NA UFISADI NDIPO MTAPOANZA KUENDELEA.
Mbali na sisi ukengeufu alioufanya USA hata kwa Sadam Hussein hukuuona?

Je Syria, Yemen, Libya pote huko umevaa miwani ya mbao hadi usione ushetani wake?

Back
Top Bottom