Ifike wakati Dunia nzima kwa Pamoja ikubali ku-denuclearize sio Korea tu aanze Marekani kuonyesha mfano, Russia Israel n.k. na baada ya hapo hakuna mtu kufanya tena hii kitu...Wanao piga marufuku ndio watengenezaji wakubwa
Embu Kaka tanueni fikra zenu.Mkuu wanaomminya kumuharibia uchumi ni hao hao ambao wanamtaka asiwe na tech hiyo. Wanajaribu kumdhoofisha ili asipate fedha za kufanyia tafiti hizo, lakini wameshashindwa tayari
Best comment everThe World is a Dangerous Place....
Ifike wakati hizi kombora zote na weapons of mass destruction zipigwe marufuku dunia nzima..., they will be a downfall of human species...
Dunia kwa ujumla sisi ambao hatuna kwanza tuanze kupewa Ruzuku ya kuhatarisha maisha yetu...,Nani apige marufuku Sasa,
Maana mwenye nazo ndio anaheshimika kwa sasa.
Vinginevyo jiandae kuonewa,
Marekani mwnyw alianzisha iyo kampeni kwa akafeli Maana yeye mwnyw za kwake hataki kuziangamiza.
Bila kitisho cha hayo madude jamaa angeshakuwa Historia, Downfall yake huenda itakuwa from within..., wananchi wakichoka na administration nyingine zikija zenye mtizamo tofauti...Embu Kaka tanueni fikra zenu.
North Korea toka Vita za mgawanyo walikua ni watu wa kupenda ubabe.
Wewe anaiba pesa mpk crypto currency ili atengeneze makombora ilhali nchi kiuchumi Ina viraka!?
Asa elezea N.Korea ina adui yupi mkubwa wa kutaka kujilinda nae!?
Anateketeza pesa nyingi ktk silaha ilhali wananchi hali si shwari.
Kuwa kibaraka wa USA ndiyo kuishi kwa kula Bata?Ndio hujakosea mkuu.
Ila kumuachia kichaa km Kim kumiliki hizi silaha ni ujinga.
Jamaa anaendekeza mabavu ilhali hali ya nchi yake kiuchumi ni mbovu.
We itizame South Korea wananchi wanavyoishi kwa bata.
Msijidanganye kuwa USA hawezi kumpiga N.Korea ,anaweza Tena ndani ya wiki tu.Ha ha ah...
Wanalalamika na hamna kitu wanaweza mfanya.
Nakumbuka kauli ya kiduku kwa trump,
Kua waonee hao hao wanyonge waarabu, ukiniletea Ujinga nakufyatua uko uko kwako USA.
Trump akafyata
Mkuu mbona hilo la maadui wa North Korea liko wazi?Embu Kaka tanueni fikra zenu.
North Korea toka Vita za mgawanyo walikua ni watu wa kupenda ubabe.
Wewe anaiba pesa mpk crypto currency ili atengeneze makombora ilhali nchi kiuchumi Ina viraka!?
Asa elezea N.Korea ina adui yupi mkubwa wa kutaka kujilinda nae!?
Anateketeza pesa nyingi ktk silaha ilhali wananchi hali si shwari.
Angekua kafutwa na nani!?Bila kitisho cha hayo madude jamaa angeshakuwa Historia, Downfall yake huenda itakuwa from within..., wananchi wakichoka na administration nyingine zikija zenye mtizamo tofauti...
Sahii KABISA,Hii dunia bila kumiliki makombora ya balistiki hasa ICBM, na silaha za nyuklia kwa ujumla wake lazima uonewe sana aisee.
Wajanja watafanya kwako ndio sehemu ya kujaribia uimara wa zana zao za kivita pamoja na kuzi dump zile za zamani wasizozihitajia tena
Nikuulize kitu!?Mkuu mbona hilo la maadui wa North Korea liko wazi?
Angalia hapa chini, mie sitii maneno yangu
View attachment 2139504
Sio Rahisi kiivyoPatakuwa kuna siri kubwa ktk kumiliki hii teknolojia aisee.
Haiwezekani yani Marekani iwe tayari kumpa North Korea chochote kile (North Korea itakacho) ila tu ikabidhi silaha hizo na iachane na tech hiyo.
Mkuu maswali mengine si wafatilia hata mwenyewe, sio kila kitu nikueleze direct mie.Nikuulize kitu!?
Japan kwann iwe na ugomvi na N.K pekeake na sio S.K!?
Kwan hao wote si wakorea!?
Embu niambie kitu gani tishio US,Japan na South Korea wamefanya hii miaka ya kuhatarisha usalama wa North Korea!?
Ukinijibu hilo kaka mjadala unaisha.
Mchambawima hawajambo.Kuwa kibaraka wa USA ndiyo kuishi kwa kula Bata?
Hawajambo hapo Mchambawima lakini[emoji848][emoji2960]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hahahahhahahaha we jamaa achabu ht kiingereza hujui vizuri.Mkuu maswali mengine si wafatilia hata mwenyewe, sio kila kitu nikueleze direct mie.
Kwanza sio kweli kuwa Japan haina ugomvi na South Korea
View attachment 2139512
Hebu tupe faida 3 za kurusha kombora Bahraini!N. Korea anacho fanya ni kuenedeleza mambo yake kimyakimya na kwa haraka wakati wana NATO wanashinda kwenye vikao juu ya mgogogro wa ukraine
Unaongea kama vile unaota, unadhani wenyewe wanaomiliki hivyo vinu hawakuwa na mawazo sawa na yako lakini hawakuona umuhimu wake zaidi ya kuyapuuza tu[emoji848]Ifike wakati Dunia nzima kwa Pamoja ikubali ku-denuclearize sio Korea tu aanze Marekani kuonyesha mfano, Russia Israel n.k. na baada ya hapo hakuna mtu kufanya tena hii kitu...
Huwezi kujifanya eti unaongelea World Peace wakati una nyezo ya ku-end the World...., Ni Unafiki....
Ha ha haaa...Yaani mie huyu huyu ninaekusaidia kufahamu usiyoyajua yaliyokwenye lugha ya kiingereza ndio niwe sijui kiingereza?! Ajabu hii.Hahahahhahahaha we jamaa achabu ht kiingereza hujui vizuri.
Soma vizuri hiyo paragraph ya chini.
Halafu niambie kwa miaka ya sasa uadui wa hayo mataifa unatokea wapi!?
Duh hii C&P iache