Mimi nakuuliza kwasababu.Ha ha haaa...Yaani mie huyu huyu ninaekusaidia kufahamu usiyoyajua yaliyokwenye lugha ya kiingereza ndio niwe sijui kiingereza?! Ajabu hii.
We kila kitu wauliza utadhani umeibiwa smartphone! Au hujui ku-search info maana ktk ku-search lazima u-type kwa kiingereza.
Watu wanahangaika na uchumi sasa hivi hawaendekezi Vita.Mimi hua nashangaa watu mnaokuja kusema kiduku nomaa au Nato wame kaa tu wakati wenzao wanafanya hayo majaribio
Nnacho taka kusema Ni kua hizo ICBM wakali walisha cheza nazo kitambo Sana karibu 60 years ago uko watu wameruka nazo uyo kiduku wa juzi tu hapo mna muona mtu ajaribu kurusha kimakosa liangukie hapo Japan aone Moto wake
Sio kweli, wewe hujui. Washindwajua maadui wa North Korea, ndio utaweza kujua kuwa hakuna uadui kati ya South Korea na Japan?!Mimi nakuuliza kwasababu.
Sio km sijui.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Sio kweli, wewe hujui. Washindwajua maadui wa North Korea, ndio utaweza kujua kuwa hakuna uadui kati ya South Korea na Japan?!
Eti waulizia hata vitendo vya hivi karibuni vya kiuadui vya US, SK na JP, hilo nalo ni la kuuliza kama wafatilia taarifa za kimataifa.
N.korea akifyatua nyuklia USA inageuka vumbi na majivu within minutes.Msijidanganye kuwa USA hawezi kumpiga N.Korea ,anaweza Tena ndani ya wiki tu.
Ila USA hawezi kujiingiza ktk Vita sasa hv kwasababu ya uchumi.
Hizo sababu za kiuchumi ndiko kushindwa kwake huko, pia punguza mahaba sababu hata kumkamata Sadam Hussein ilimgharimu zaidi ya mwezi mmoja, wiki 1 na siku 3, sasa ije kuwa mbabe Kiduku?Msijidanganye kuwa USA hawezi kumpiga N.Korea ,anaweza Tena ndani ya wiki tu.
Ila USA hawezi kujiingiza ktk Vita sasa hv kwasababu ya uchumi.
Hata bendera zao rangi sawa nyeupe blue na redMabingwa wa kubalansi shobo duniani[emoji4]View attachment 2139484
Hiyo faida ya kukuza uchumi kwa mataifa ya kimagharibi imejulikana leo tu kwa North Korea?Watu wanahangaika na uchumi sasa hivi hawaendekezi Vita.
Ila kukaa kwao kimya haimaanishi hawawezi kuipiga North Korea.
Kaka unawezaje kufananisha bajeti ya masuala ya kiulinzi na gharama za Vita!?Hiyo faida ya kukuza uchumi kwa mataifa ya kimagharibi imejulikana leo tu kwa North Korea?
Mbona haikuonekana walipoamua kushambulia mataifa dhaifu kama Iraq n.k.
Sasa kama wanataka kusevu pesa ili kukuza uchumi, mazoezi ya kivita shirikishi wanayofanya US na South Korea huko South Korea huwa wanayafanyia nini? Au wadhani huwa mazoezi hayo huwa hayatumii fedha?
Wawe na maisha mazuri au mabaya lakini kwangu mimi yeyote anayeishabikia USA ilihali ndiye beberu aliyechangia TZ tusifike hata maisha ya kati kiuchumi duniani huwa namwona sawa na mpumbavu tu.Mchambawima hawajambo.
Vipi ww Mpitimbi wazima?
Halafu embu kuwa na maswali ya maana basi.
Hivi we unafananisha life standards ya South korea na North Korea!?
Hivi unafananisha maendeleo ya South korea na North Korea!?
Hayo ya kuwa kibaraka au sio kuwa kibaraka unayajua ww.
Ila wao wana maendeleo makubwa.
Huna hoja, utajichekeshaje wakati umepigwa nondo nzito kichwani?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Unazidi kuchekasha bro.
Embu nikuache kwanza maana naumwa sitakiwi kucheka .
Mkuu nachelea kusema kuwa uelewa wako ni finyu sana ktk mambo hayoKaka unawezaje kufananisha bajeti ya masuala ya kiulinzi na gharama za Vita!?
Hivi unajua gharama za vita ni kubwa!?
Hivi unajua Kama Vita ipiganwapo shughuli za kiuchumi zinasimama!?
Tofautisha wakati ule na sasa.
TIZAMA kwasasa US Ana ushindani wa kiuchumi na nani.
Kuna China mzee anaempumulia nyuma USA.
Halafu hapa tunaizungumzia USA sio mataifa ya Ulaya.
Pia kufanya kwao mazoezi US na S.korea kunaathiri nn Pyongyang!?
Kwan Seoul imetishia kuivamia Pyongyang!?
Usihamishe mada Kaka.Wawe na maisha mazuri au mabaya lakini kwangu mimi yeyote anayeishabikia USA ilihali ndiye beberu aliyechangia TZ tusifike hata maisha ya kati kiuchumi duniani huwa namwona sawa na mapumbavu tu.
Haiwezekani mchana kweupe tunadanganywa na vimisaada uchwara vya neti, kondomu, ARV na kupewa mikopo migumu kimasharti ilihali tuna rasilimali tele ambapo zaidi ya miaka 60 sasa ya uhuru hatunufaiki na lolote na huyo USA.
USA ni shetani anayekuchekea usoni(kondoo) ilihali anakuchukia rohoni(mmbwa mwitu) [emoji34]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sina hoja mm au wewe😲😲😲😲Huna hoja, utajichekeshaje wakati umepigwa nondo nzito kichwani?
Mifumo hiyo hiyo haikumzuia Osama bin laden kuipiga New York City 1999.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .
Kabla hajajaribu hata kurusha ataona Nini kitampata huyo kiduku wenu.
Hivi mifumo ya ulinzi ya US unaifananisha na N.Korea!?
Jamaa atakuwa kazaliwa miaka ya juzi juzi, kuanzi 2005. Hafahamu mambo hayoMifumo hiyo hiyo haikumzuia Osama bin laden kuipiga New York City 1999.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nilipoona ww ni mtu wa kumezeshwa ni pale ulipofananisha gharama za kuendesha Vita na bajeti ya ulinzi.Mkuu nachelea kusema kuwa uelewa wako ni finyu sana ktk mambo hayo
Mbali na sisi ukengeufu alioufanya USA hata kwa Sadam Hussein hukuuona?Usihamishe mada Kaka.
Mimi sijaleta ushabiki hapa na wala sio mshabiki wa USA.
Bali naongea uhalisia uliokuwepo.
Wao ww kukandamizwa na US haiwahusu bali ni ujinga na upumbavu na uchu wa madaraka wa viongozi wenu wa kiAfrika ndio umewafikisha hapa mlipo.
Viongozi wenyewe hamuna mnategemea mtapata lini maendeleo!?
CCM WOTE MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA HILO MNASINGIZIA USA ANAHUSIKA!?
AFRIKA YOTE INAJITEKETEZA YENYEWE KWA KUENDEKEZA UCHU WA MADARAKA NA UFISADI WEST AFRIKA KILA SIKU WANAPINDUANA EAST AFRICA (S.SUDAN,UGANDA,RWANDA)VIONGOZI WANALEWA MADARAKA .
KWA STYLE HII MNATEGEMEA MUENDELEE!?
AFRICA MKIACHA UCHU WA MADARAKA NA KULEWA MADARAKA NA UFISADI NDIPO MTAPOANZA KUENDELEA.