North Korea leo imerusha kombora la 9 la balistiki toka kuanza mwaka huu

Tulisifiwa sana Russia na Putin sasa kwa mujibu Blinken leo asubuhi Ukrain inaelekea kushinda vita dhidi ya russia., North Korean ni jamii ya putini apuuzwe tu mpaka atakapojaribu kumgusa memba wa NATO
 
Mbali na sisi ukengeufu alioufanya USA hata kwa Sadam Hussein hukuuona?

Je Syria, Yemen, Libya pote huko umevaa miwani ya mbao hadi usione ushetani wake?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Tatizo lako bro unahamisha mada.
Hivi ht debate shuleni ulikua unashiriki ww!?
Ukitaka tuanze kuzungumzia mashariki ya Kati ni mada nyingine .
Mm narudia simsapot USA na wala sio mshabiki wake.
Bali naelezea ukweli kuhusu upumbavu wa rais wa North Korea.
Usihamishe mada bro.
 
Tulisifiwa sana Russia na Putin sasa kwa mujibu Blinken leo asubuhi Ukrain inaelekea kushinda vita dhidi ya russia., North Korean ni jamii ya putini apuuzwe tu mpaka atakapojaribu kumgusa memba wa NATO
Ni jambo zuri Ukraine kushinda vita.

Mwambieni rais wa Ukraine ze Comedian Zelensky, aache sasa kulialia hadi kuibebesha mzigo NATO wa watu wanaopukutika kama kumbikumbi Ukraine. Yeye si anashinda vita, kuna haja gani ya kulalamikia watu kufa?

Hebu tupe faida 3 za kurusha kombora Bahraini!
Majaribio ya hilo kombora ili kuondoa uharibifu wa mazingira nchi kavu. Au ulitaka lije hapo namtumboπŸ˜…
 
Tulisifiwa sana Russia na Putin sasa kwa mujibu Blinken leo asubuhi Ukrain inaelekea kushinda vita dhidi ya russia., North Korean ni jamii ya putini apuuzwe tu mpaka atakapojaribu kumgusa memba wa NATO
Kama huyo ametokea USA au EU sahau na huo ushindi zaidi ya kuingizwa kwenye tango pori

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kale kabomu alikopiga kamoja kalichounguza ghorofa kwa juu!?
Katumia bomu sio kombora.
Pia we fananisha 1999 na 2022 ilhali wenzako Wana advance kila Leo ktk technology ya Vita.
Kwahiyo kama wana-advance kwanini awashwe na nchi zingine zikisonga mbele na tech zao kisilaha, kiuchumi, kibiashara na hata kimahusiano mazuri bila ya kujipendekeza kwake USA na EU?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
😲😲😲😲 Bro jiheshimu basi.
Tukio la 9/11 nan asiyelijua!?
Ha ha haa...Bro mie pia sikuwepo wakati nchi hii ilipopata uhuru, lakini tarehe ya uhuru naifahamu fika, hata ukiniuliza tarehe hiyo wakati nimeshtuka toka usingizini.
 
Hizo sababu za kiuchumi ndiko kushindwa kwake huko, pia punguza mahaba sababu hata kumkamata Sadam Hussein ilimgharimu zaidi ya mwezi mmoja, wiki 1 na siku 3, sasa ije kuwa mbabe Kiduku?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
😲😲😲😲😲 We jamaa reasoning zako zinafurahisha kweli.
Hakuna faida USA atapata akiingia vita na N.K.
Ila huko mashariki ya Kati Kuna geopolitical interests alizipata aliposhambulia mojawapo mafuta pili kuua ushindani wa mataifa ya kiarabu yaliyokua yanataka kuua US influence middle East.
Pia km vita itatokea baina ya US na N.K haitakua km ya Saddam mzee.
Saddam alikua anahitajika yeye tu.
Ila N.K itafanywa km Nagasaki 1945.
 
Ha ha haa...Bro mie pia sikuwepo wakati nchi hii ilipopata uhuru, lakini tarehe ya uhuru naifahamu fika, hata ukiniuliza tarehe hiyo wakati nimeshtuka toka usingizini.
ASA Kaka NDIO WA KUNIONA MM NI KIJANA WA MIAKA 17😲😲😲😲😲.
Ndugu mie sio mkubwa kihivyo ila sio mtoto wa huo umri.
 
Hakika Kichaa huwa hajitambui.

Kabisa we unaona nahamisha magoli nakati ni mahaba ndiyo yanayokutesa lakini sababu hisia ndizo zinazojibizana na Wana hoja kama mimi afu unajiona una maarifa kumbe ni pumba tupu [emoji28]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mahaba niue toka Mchambawima [emoji1787]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kama wana-advance kwanini awashwe na nchi zingine zikisonga mbele na tech zao kisilaha, kiuchumi, kibiashara na hata kimahusiano mazuri bila ya kujipendekeza kwake USA na EU?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

Usinichekeshe mie🀣🀣🀣🀣.
Mm sina mahaba yeyote na USA.
Mtoa hoja mwenyewe ww una poor reasoning hivi😲😲😲
Nimalizie kukwambia kuwa rais wa Korea kaskazini anaiendesha nchi sivyo.
Maana naelezea uongozi wa kiduku ww unaleta masuala ya mataifa mengine.
 
ASA Kaka NDIO WA KUNIONA MM NI KIJANA WA MIAKA 17😲😲😲😲😲.
Ndugu mie sio mkubwa kihivyo ila sio mtoto wa huo umri.
Ha ha haa...Bro usijali Mkuu, hizo ni ktk mbinu tu za mijadala kaka.

Wakati mwingine huwa twatumia maujanjaujanja mfano wa hayo ili kumtoa kwenye reli yule tunayejadiliana naye πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa anawashwa washwa kuchapana na mtu lakini hakuna anayejitokeza,hivyo anaamua tu angalau atupe ngumi hewani ili apunguze mzuka.....
 
Kale kabomu alikopiga kamoja kalichounguza ghorofa kwa juu!?
Katumia bomu sio kombora.
Pia we fananisha 1999 na 2022 ilhali wenzako Wana advance kila Leo ktk technology ya Vita.
Wewe wasema ila hakuna asiyejua Kiduku ameshafyatua vinu kitambo sana toka North Korea hadi magharibi mwa bahari ya pasific mara kibao tu, sasa hicho ndicho kinamsumbua USA na EU kumwona Jamaa habahatishi bali kajipanga haswa[emoji23]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Tulisifiwa sana Russia na Putin sasa kwa mujibu Blinken leo asubuhi Ukrain inaelekea kushinda vita dhidi ya russia., North Korean ni jamii ya putini apuuzwe tu mpaka atakapojaribu kumgusa memba wa NATO
Mwambieni Blinken (anayewadanganya ushindi vitani) hatutaki diplomasia, sisi malengo na nia zetu zipo pale palee, twataka ushindi kupitia mtutu sio maneno matupu kama alivyofanya Nyerere.

Mahaba niue toka Mchambawima [emoji1787]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mimi ni mshabiki mkubwa wa Iran Wala Sina mahaba niue na wamarekani.
Na Wala siisifii USA,ukiweka chuki pembeni zako kwa USA utatambua mm nilikua najaribu kusema nn.
Narudia kusema Kim akili zake haziko sawa huwezi ukaendekeza uundaji makombora ilhali nchi Ina uchumi mgumu.
Sijasema kuwa awe kibaraka wa US na Wala sijasema kuwa US anafanya vizuri kuiingilia N.Korea.
GET MY POINT BUDDY.
UWE NA SIKU NJEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…