North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
PRI_168123974-640x360.jpg

Picha ya kombora jipya kuuubwa la kinyuklia (ICBM) la North Korea (Picha kwa msaada wa AP)

Baada ya kimya kirefu, yule mtemi wa mtemi wa dunia Kim Jong-Un amekuja na kitu kipya. Naam ni kombora kubwa mnooo la kinyuklia la masafa marefu (ICBM) ambalo wachambuzi wa mambo wanasema ni ktk makombora makubwa mno ya aina yake kuwahi tengenezwa duniani na linaonesha kuwa litakuwa na uwezo wa kusafiri umbali mkubwa zaidi na kubeba vichwa vingi vya nyuklia (multiple independent reentry vehicles, MIRVs) na hivyo kuliwezesha kushambulia tageti nyingi zaidi kwa wakati mmoja lakini pia kufanya ugumu zaidi kwa mifumo ya ulinzi ya anga la adui kulidhibiti (intercept). Wachambuzi wa maswala ya silaha wamelipa jina la 'MONSTER'.

Kim Jong-Un alionekana akiliangalia kombora hilo kwa mapenzi ya hali ya juu wakati lilipokuwa likipitishwa mitaani. Ktk hotuba yake, Kim ameonya kuwa yupo tayari muda wowote ku-mobilize silaha zake za kinyuklia endapo usalama wa nchi yake utatishiwa. Hata hivyo ktk hotuba yake, Kim hakuitaja Washington, bali alijikita na maswala ya ndani ya nchi yake.

Mara baada ya kuoneshwa kwa kombora hilo, US ilitoa tamko kuwa imefadhaishwa na kunyong'onyezwa mno na North Korea kutengeneza kombora hilo ambalo ni ktk silaha haramu. Imeomba mazungumzo ya amani yafanyike haraka zaidi ili mpango wa kukabidhi silaha za nyuklia za North Korea ukamilike.
========


Kim Jong-Un ‘shows off new monster nuclear weapon’ and vows ‘full mobilisation’ if threatened​

In a speech, the North Korean leader became visibly emotional and apologised for not delivering on economic promises​

author avatar image
By Ewan Somerville
October 10, 2020 5:14 pm

This image made from video broadcasted by North Korea's KRT, shows a military parade with what appears to be possible new intercontinental ballistic missile at the Kim Il Sung Square in Pyongyang, Saturday, Oct. 10, 2020. North Korean leader Kim Jong Un warned Saturday that his country would ???fully mobilize??? its nuclear force if threatened as he took center stage at a massive military parade to mark the 75th anniversary of the country???s ruling party. (KRT via AP)
State media showed the huge new missile at the military parade (Photo: AP)

Kim Jong-Un showed off never-seen-before missiles during a rare predawn military parade as he vowed to “fully mobilise” his nuclear weapons if threatened.
The North Korean leader looked on as a new intercontinental ballistic missile was driven through the streets. The missile was dubbed a “monster” by analysts who said it would be among the largest in the world if it became operational.
An arsenal of long-range weapons, including what appeared to be a new submarine-launched ballistic missile and the long-range Hwasong-15, were on display at Saturday morning’s event.

The parade, to mark the 75th anniversary of the ruling Worker’s Party, was the first the secretive country has held in two years. South Korea’s military said it took place before dawn, though it is not known why.
In this image made from video broadcasted by North Korea's KRT on Saturday, Oct. 10, 2020, North Korean leader Kim Jong Un waves during a ceremony to celebrate the 75th anniversary of the country???s ruling party in Pyongyang.(KRT via AP)
Kim Jong-Un became emotional at the ceremony (Photo: KRT via AP)

Threat to ‘fully mobilise’ forces​

Just weeks before the US presidential election, Kim Jong-Un postured as he vowed to “strengthen” his military for “self-defence and deterrence”.

In a half-hour speech to North Koreans, he warned: “If any force harms the safety of our nation, we will fully mobilise the strongest offensive might in a pre-emptive manner to punish them.”

But Kim stopped short of hitting out at Washington, instead apologising for not delivering on his promise to build an economic powerhouse four years into his rule.
“I am ashamed that I have never been able to repay you properly for your enormous trust,” he said. “My efforts and devotion were not sufficient to bring our people out of difficult livelihoods.”
A screen grab taken from a KCNA broadcast on October 10, 2020 shows North Korean soldiers marching during a military parade on Kim Il Sung square in Pyongyang. - Nuclear-armed North Korea held a giant military parade, television images showed, with thousands of maskless troops defying the coronavirus threat and Pyongyang expected to put on show its latest and most advanced weapons. (Photo by - / KCNA VIA KNS / AFP) / - South Korea OUT / REPUBLIC OF KOREA OUT ---EDITORS NOTE--- RESTRICTED TO EDITORIAL USE - MANDATORY CREDIT AFP PHOTO/KCNA - NO MARKETING NO ADVERTISING CAMPAIGNS - DISTRIBUTED AS A SERVICE TO CLIENTS THIS PICTURE WAS MADE AVAILABLE BY A THIRD PARTY. AFP CAN NOT INDEPENDENTLY VERIFY THE AUTHENTICITY, LOCATION, DATE AND CONTENT OF THIS IMAGE. / (Photo by -/KCNA VIA KNS/AFP via Getty Images)
The parade featured a huge choreographed military presence (Photo: KCNA via KNS/AFP via Getty Images)

Show of military theatre​

Shedding tears at intervals, he urged his “great people” – many of whom live in dire poverty – to remain firm in the face of “tremendous challenges” posed by the coronavirus pandemic and crippling US-led sanctions over his nuclear programme.
His speech was punctuated by thousands of marching troops as tanks, armoured vehicles, rocket launchers and a broad range of ballistic missiles rolled out in Pyongyang’s Kim Il Sung Square.

A military band performed while moving in formation, fighter jets launched flares and fireworks and crowds roared as Kim appeared in a suit and tie as the clock struck midnight.
No foreign media or foreigners were allowed at the event, so analysts are relying on edited state-media footage of the parade. No one at the parade appeared to be wearing face masks, as uncertainty swirls over the extent of North Korea’s coronavirus crisis.
A screen grab taken from a KCNA broadcast on October 10, 2020 shows North Korean 600mm rockets during a military parade marking the 75th anniversary of the founding of the Workers' Party of Korea, on Kim Il Sung square in Pyongyang. - Nuclear-armed North Korea held a giant military parade, television images showed, with thousands of maskless troops defying the coronavirus threat and Pyongyang expected to put on show its latest and most advanced weapons. (Photo by - / KCNA VIA KNS / AFP) / - South Korea OUT / REPUBLIC OF KOREA OUT ---EDITORS NOTE--- RESTRICTED TO EDITORIAL USE - MANDATORY CREDIT AFP PHOTO/KCNA - NO MARKETING NO ADVERTISING CAMPAIGNS - DISTRIBUTED AS A SERVICE TO CLIENTS THIS PICTURE WAS MADE AVAILABLE BY A THIRD PARTY. AFP CAN NOT INDEPENDENTLY VERIFY THE AUTHENTICITY, LOCATION, DATE AND CONTENT OF THIS IMAGE. / (Photo by -/KCNA VIA KNS/AFP via Getty Images)
Multiple nuclear weapons were on display (Photo: KCNA via KNS/AFP)

Veiled message to enemies​

Experts said that the new, larger ICBM is likely designed to carry multiple independent reentry vehicles (MIRVs), allowing it to attack more targets and making interception more difficult. It was likely designed to dispel doubts about North Korea’s ability to attack the US.

The event was the first show of nuclear weapons since Kim began meeting with international leaders, including US President Donald Trump, in 2018.
A senior US administration official called the display of the ICBM “disappointing” and called on the government to negotiate to achieve a complete denuclearisation.

In a congratulatory message to Kim for the anniversary, Chinese President Xi Jinping said he intended to “defend, consolidate and develop” ties with North Korea, according to state media.
 
Aisee North Korea Ni mbabe Sana,

Ni ajabu Sana eti USA anaomba mazungumzo na KIM.

wakati Iraq walipotangaza kua na NYUKLIA fasta USA alipeleka moja kwa moja jeshi kumkamata Sadam na kufanya vurugu.

Kwan North Korea Kila siku anazalisha madude mapya na anayaonyesha hadharani.

Nlichogundua,
USA huwa anaonea sana vidagaa, Kwa North Korea amefyata mkia.
 
Aisee North Korea Ni mbabe Sana,

Ni ajabu Sana eti USA anaomba mazungumzo na KIM.

wakati Iraq walipotangaza kua na NYUKLIA fasta USA alipeleka moja kwa moja jeshi kumkamata Sadam na kufanya vurugu.

Kwan North Korea Kila siku anazalisha madude mapya na anayaonyesha hadharani.

Nlichogundua,
USA huwa anaonea sana vidagaa, Kwa North Korea amefyata mkia.
Mkuu kichaa anaposhikilia panga unahitajika umakini kumnyang'anya hata kulikoni mtu mwenye akili akiwa na smg.
Kim ni kichaa ukienda kijinga analipua.

Amini usiamini kuwa Us halali anapanga hila kummaliza kimya kimya bila vita.
Ni ngumu kummaliza Kim kwa silaha lkn kwa mwendo wa Trumph kujishusha kwake na kujifanya mjinga watammaliza huyu ndg kimya kimya. Us hajawahi kuwa mjinga anajua fika huyu ukiingia kichwa kichwa atawaaibisha.
 
Mkuu kichaa anaposhikilia panga unahitajika umakini kumnyang'anya hata kulikoni mtu mwenye akili akiwa na smg.
Kim ni kichaa ukienda kijinga analipua.

Amini usiamini kuwa Us halali anapanga hila kummaliza kimya kimya bila vita.
Ni ngumu kummaliza Kim kwa silaha lkn kwa mwendo wa Trumph kujishusha kwake na kujifanya mjinga watammaliza huyu ndg kimya kimya. Us hajawahi kuwa mjinga anajua fika huyu ukiingia kichwa kichwa atawaaibisha.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
USA hana uwezo wa kuivamia korea
 
Kila siku huwa nasema hapa kuwa Trump ni Rais mbumbumbu na muoga sana kuwahi kutokea marekani.Imagine hili bomu limetengenezwa ndani ya utawala wake.Hakuna Rais yoyote wa Marekani aliepita ambae atakubali huu upupu wa korea.
Ilikuaje Pakistan na India na China walipotengeneza nuclear bombs Ina maana US haikuwa na Rais?
 
Kizazi cha akina bush kilikuwa ni noma sana na akina Reagan.Walikuwa wakisema achana na silaha za nyuklia au tutakuja kukupiga.Ukiendelea na mishe zako la nyuklia ni wanakuja kukupiga kweli yaani.
Kama no hivyo Iran ingeshagongeka mda Sana coz wameanza kelele mda mrefu Sana..
 
Back
Top Bottom