STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Safi sana kwa kumpa za usoRudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha
Hahahahaha na kwenye hilo gwaride hamna alie na barakoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara hooo anaumwa,mara hooo hali yake mbaya,huyu hapa mzima wa afya,katulia kaibuka na ICBM sijui akitulia tena ataibuka na nini.
January walifunga mipaka yao hamna kuingia wala kutoka na kwenye hilo gwaride hamna aliye vaa barakoa.
View attachment 1597014
Hayo ndio maneno mliobaki nayo, ndio imeisha hiyoooHawa ndio funga kazi sema humu Kuna ushabiki wa kitoto ila miaka ya 60 USA walishaweka nyuklia war heads kwenye orbit Yani huyo Kim wanaweza kumfanya hakuna mpaka mkashangaa.hilo kombora ni teknolojia ya zamani sana
Huo ukweli hawautaki mkuu humu hata kuusikiaSema kweli kwamba huwa anachungulia..akiona mtu mwamba haendi
Jamani semeni ukweli kuwa: MAREKANI AKIONA NCHI HAIWEZI KUISHAMBULIA HUWA ANAINGIA MITINI, msilite sababu zisizokua na kichwa na miguu, kaona mziki mnene kakunja mkia [emoji23]Vita vya kuonesheana ubabe vishapitwa na wakati. Marekani anapigana vita vya kiuchumi tu (una nini nije nipige nichukue).
Vita vina gharama sana na ukumbuke pia nchi ina mahitaji yake. Uchukue pesa kwenye hazina ukapigane vita halafu hakuna faida? Amka na shituka ngozi nyeusi. Tupo kwenye ulimwengu wa "imperialism"
Marekani inaongozwa na jopo la watu wakati nchi kama Iran, Russia, China, North Korea n.k zinaongozwa na mtu mmoja. Kiduku akifa hata leo, nchi ndiyo inayumba hivyo kwasababu yeye ndiyo master plan. Ni suala la muda tu. Trump siyo mbumbu wala mjinga na ukumbuke Marekani huwa hawachagui Raisi ilimradi Raisi. Kila Raisi ana majukumu yake. Osama alilipua jengo la Marekani kipindi cha Bush lakini Obama alikuja kumuuua Osama.
Marekani huwa hapigani vita vya hasara hata siku moja.
Mkuu bado una ndoto hizo? Dunia imebadilika sasaivi, vipi kuhusu kulipiza kisasi zile kambi za marekani zilizogeuzwa kifusi pale Iraq? Naskia Tramp baada ya kuskia kuna Missiles 1200 za Iran zinasubiri jibu litakalojibiwa na marekani aliishia kujibu (ALL IN HELL [emoji1787][emoji1787]) alaf akaghairi kujibu, nchi zote zilighari kutumiwa base zao kuishambulia Iran [emoji23], usifanye mas-hara wwNchi zinazoongozwa na akili ya mtu mmoja huwa hazina uchaguzi au zikifanya uchaguzi basi anateuliwa mtu yule yule kila mwaka. Mtu ana miaka 20 yupo madarakani na hakuna dalili ya kuachia ngazi mpaka afe. Iran, North Korea, Russia, China n.k zinaongozwa na akili za mtu mmoja kwahiyo nchi hizi huwa hazidumu ni suala la muda tu. Katika nchi hizi sheria huwa ni Raisi yaani sheria ndiyo raisi, raisi akisema fanya hivi wote wanafanya, hakuna kuuliza. Hapa ndiyo Marekani anawashinda kwasababu inaongozwa na jopo la watu na raisi anafuata maagizo tu.
Yupo wapo wapi Ghadafi na Libya yake? Cuba ya Fedro Castro bado ipo vile vile kama kipindi cha Fedro? Huyo North Korea au Iran ni suala la muda tu na usifikiri Trump ni mjinga. "All options are on the table" Ni suala la muda tu.
Jamani semeni ukweli kuwa: MAREKANI AKIONA NCHI HAIWEZI KUISHAMBULIA HUWA ANAINGIA MITINI, msilite sababu zisizokua na kichwa na miguu, kaona mziki mnene kakunja mkia [emoji23]
Mkuu bado una ndoto hizo? Dunia imebadilika sasaivi, vipi kuhusu kulipiza kisasi zile kambi za marekani zilizogeuzwa kifusi pale Iraq? Naskia Tramp baada ya kuskia kuna Missiles 1200 za Iran zinasubiri jibu litakalojibiwa na marekani aliishia kujibu (ALL IN HELL [emoji1787][emoji1787]) alaf akaghairi kujibu, nchi zote zilighari kutumiwa base zao kuishambulia Iran [emoji23], usifanye mas-hara ww
Vita vya kuonesheana ubabe vishapitwa na wakati. Marekani anapigana vita vya kiuchumi tu (una nini nije nipige nichukue).
Vita vina gharama sana na ukumbuke pia nchi ina mahitaji yake. Uchukue pesa kwenye hazina ukapigane vita halafu hakuna faida? Amka na shituka ngozi nyeusi. Tupo kwenye ulimwengu wa "imperialism"
Marekani inaongozwa na jopo la watu wakati nchi kama Iran, Russia, China, North Korea n.k zinaongozwa na mtu mmoja. Kiduku akifa hata leo, nchi ndiyo inayumba hivyo kwasababu yeye ndiyo master plan. Ni suala la muda tu. Trump siyo mbumbu wala mjinga na ukumbuke Marekani huwa hawachagui Raisi ilimradi Raisi. Kila Raisi ana majukumu yake. Osama alilipua jengo la Marekani kipindi cha Bush lakini Obama alikuja kumuuua Osama.
Marekani huwa hapigani vita vya hasara hata siku moja.
Yaani mtu katumia wanasayansi wake vizuri kuimarisha ulinzi wa nchi yake halafu unasema eti ni upupu? Unataka nchi zoote duniani ziwe zinaagiza silaha usa, israel na urusi tu?
Hata ikitokea leo kuna raisi awe kutoka upinzani au chama tawala akija na sera ya kurutubisha uranium nitamuunga mkono kwa 100%
USA yeye ni nani akae na silaha hizo halafu wengine wasiwe nazo? Eti kwa kijisababu kuwa yeye anao uwezo na utashi wa kukaa na silaha hizo na asizitumie vibaya!! Mkuu kwa andiko lako umeniangusha
Narudia acha fix....kuna muda uwe na hofu sio kila wakati unaongea ongea uongo... America ni kitu kingine kabisa tofauti na akili yako unavyowaza....sio kila mipango ya jeshi au siri za jeahi la america zitakuwa mtandaoni we unahisi usa wao wajinga sana kuliko wewe.... Kula kande zako ukalale America inaangalia dunia miaka mia america itakuwaje sio wewe ambaye hata ijumaa ijayo hujui itakuwaje...Nathibitisha US hana mobile ICBM,watu tuko well informed bana,miaka miwili nyuma walianza kufikiria kurudisha mobileicbm lskini bado hawajaunda
Bwana mdogo mbona kama umepanick?,wewe ni mmarekani nini?,anyway humu unapobisha kitu,unabidha kwa kuweka ushahidi,iwe link au picha,😂😂.Narudia acha fix....kuna muda uwe na hofu sio kila wakati unaongea ongea uongo... America ni kitu kingine kabisa tofauti na akili yako unavyowaza....sio kila mipango ya jeshi au siri za jeahi la america zitakuwa mtandaoni we unahisi usa wao wajinga sana kuliko wewe.... Kula kande zako ukalale America inaangalia dunia miaka mia america itakuwaje sio wewe ambaye hata ijumaa ijayo hujui itakuwaje...
Kumchokonoa iran ngumu,zile kambi za kijeshi za marekani pale ghuba zitawakaHuo ukweli hawautaki mkuu humu hata kuusikia
Utunzaji wao sio kama ule wa Mbagala mkuuSiku yakija kuwalipukia ndo watajua hawajui
Ukweli ni kwamba bila china na russia kuingilia north korea ingebaki stori.south Korea bila Us ingesha futika.korea kaskazin ilikuwa kwenye nafasi nzuri ya kishinda vita dhidi ya kusini kwa sababu uchumi wote ulikuw kaskazin.Rudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha
Sio under Us tu mkuu ingekuwa nchi ya 7 au 8 kiuchumi duniani.N Korea ni kama Israel kiaina flani hivi.
Ufanano wao ni kuwa wanaishi kwa kukingiwa kifua na wababe wa Dunia.
Siku wahisani wakiacha kuzikingia kifua hizi nchi mbili zitakuwa nothing kabisa.
US + western Europe wako nyuma ya Israel wanaipa unconditional support.
China + USSR(RUSSIA now) wako nyuma ya n. Korea wanaipa support ya kutosha.
Ikitokea siku hao patrons wakiwatelekeza hizi nchi zitakuwa za kawaida Sana.
During Korean War kama sio CHINA NA RUSSIA kuingia vitani kulinda N. Korea Leo hii hii nchi ungekua under US.
Yawalipukie mara ngapi?Siku yakija kuwalipukia ndo watajua hawajui
Ndicho kilichobakia na mnachokiwaza hicho tu [emoji23]Yawalipukie mara ngapi?
Rejea mlipuko wa mwaka jana nchini Urusi kutokana na kufeli kwa jaribio la nuclear-armed cruise missile.
"Kilichobakia" kitu gani?Ndicho kilichobakia na mnachokiwaza hicho tu [emoji23]