Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Hadhira kubwa ya waliomo JF wako Tz. Sasa hizi hadithi za Norway zinawasaidia aje?Nimeona watu wengi sana wakiogopa kazi ambazo ni risk. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kazi ambazo zina risk kubwa ndio zenye pesa nyingi.
Simaanishi huku Norway kazi ambazo hazina risk hazina pesa, hapana. Kwanza kazi zenye pesa ni zile za wale skilled ambazo kwa mhamiaji huwezi kupata kirahisi au huwezi kupata kabisa.
Hapa ninamaanisha kazi zile za unskilled ambazo ndio hizo kwa ajili yetu sisi wahamiaji. Na ndio hizo ambazo wenyeji hawazipendi hata kidogo, maana