shangwe1
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 448
- 362
Nimecheka kifalaNilianza na post ya kutoa hizo ramani, Ila matusi niliyotukanwa nathubutu kusema sitakuja kurudia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka kifalaNilianza na post ya kutoa hizo ramani, Ila matusi niliyotukanwa nathubutu kusema sitakuja kurudia tena
Waache wabongo wamuamini. Mnamkumbuka Parabora alivyoleta story zake za kwenda club usiku huo na kubambia wazungu akatokea Kiranga akamuuliza club gani imefunguliwa wakati Switzerland iko lockdown. Jamaa alikuwa hajui kama lockdown imeanza wiki hiyo. Kuna siku mtu atajichanganya.Kuwapa watu nia ya kuchangamka na kutafuta uwezekano wa fursa nje ya Nchi ni jambo zuri.Inabidi utoaji huo wa habari za hizo fursa uendane na ukweli.Norway kuna sheria za kazi. Huwezi kufanya kazi mfululizo masaa 18.Unaweza kufanya kazi pass mbili tofauti lakini ni lazima kwa mujibu wa sheria za Norway upumzike masaa 11 kati ya pass moja na nyingine.
Hiyo mshahara wa 60000 za kitanzania ni kama 220 Norska kroner kwa saa.Halipi kodi?
Ukweli siku zote humuweka mtu huru.
Mkuu we pita tu kama unasoma gazeti hawa jamaa tumeshawazoea uzuri ni kwamba stori zao ni zilezile tofauti ni ID na location.Kuwapa watu nia ya kuchangamka na kutafuta uwezekano wa fursa nje ya Nchi ni jambo zuri.Inabidi utoaji huo wa habari za hizo fursa uendane na ukweli.Norway kuna sheria za kazi. Huwezi kufanya kazi mfululizo masaa 18.Unaweza kufanya kazi pass mbili tofauti lakini ni lazima kwa mujibu wa sheria za Norway upumzike masaa 11 kati ya pass moja na nyingine.
Hiyo mshahara wa 60000 za kitanzania ni kama 220 Norska kroner kwa saa.Halipi kodi?
Ukweli siku zote humuweka mtu huru.
sawa niko south kwa sasa nifanye nami nije huko?? Au mahali pengine km hapo?? Nipe mawili matatu!!Nimeona watu wengi sana wakiogopa kazi ambazo ni risk. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kazi ambazo zina risk kubwa ndio zenye pesa nyingi.
Simaanishi huku Norway kazi ambazo hazina risk hazina pesa, hapana. Kwanza kazi zenye pesa ni zile za wale skilled ambazo kwa mhamiaji huwezi kupata kirahisi au huwezi kupata kabisa.
Hapa ninamaanisha kazi zile za unskilled ambazo ndio hizo kwa ajili yetu sisi wahamiaji. Na ndio hizo ambazo wenyeji hawazipendi hata kidogo, maana kuna sehemu wataenda kufanya kazi kwa urahisi na kupata pesa nyingi tu.
Huku kuna kampuni ambazo wanachukua tender ya kuwafanyia makampuni mengine kazi ikiwemo za service na ku-handle mizigo yao mikubwa bandarini. Hapo kwenye service pia kuna mambo ya usafi wa machines.
Sasa kwenye hizi kazi watu kama sisi ndio huwa tunaingia na tunafanya kweli kiasi kwamba hata siku nyingine ikitokea wana kazi hawaachi kukuita.
Ilitokea kuna kazi ya kupanda juu ya crane ni risk Sana Ila wala sikusita nikapanda fasta tu na overall yangu sina wasiwasi kabisa ikiwa wao wanaona wasiwasi sana (nimeweka picha)
Kikawaida kazi nazofanya za huku bandarini huwa ninachukua 32000 kwa saa moja, Ila hii nilichukua 60000 kwa saa na kwa siku moja nilikuwa nafanya kwa masaa 18.
Kwa hesabu ya kawaida kwa siku inakuwa ni 60000×18 = 1,080,000, kazi kama hii ukifanya kwa wiki bila kuchoka una uhakika wa si chini ya milion 7. Ila haiwezi kufika wiki sana sana ni siku 3 au 4.
Hizi zingine ndio uhakika wa kila siku.
Kuna siku baada ya kumaliza kazi flani nikapata nyingine usiku ya kufanya usafi kwenye meli kubwa iliyokuwa imekuja.
Kwa kifupi ukiwa sehemu yoyote ugenini usibague kazi kama wafanyavyo wenyeji.
Mfano unatoka dar kwenda kutafuta maisha iringa, ukifika iringa jiepushe sana kubagua kazi, kazi yoyote halali na ambayo haitwezi utu wako ifanye.
Hivyo natoa hamasa na moyo kwa vijana wenzangu kutochagua kazi hata kama ina risk kubwa. Maisha Ni mapambano, siku nikirudi kila mtu atahisi huko nilipo mimi ni meneja kumbe.
Niliamua kuchagua haya maisha na sio Slsiri na-enjoy sana.
Tufanye kweli tuache kuwa watu wa lawama.
View attachment 1810479View attachment 1810480View attachment 1810482View attachment 1810483View attachment 1810485View attachment 1810486View attachment 1810487View attachment 1810488
km hawakutaki hata bongo wanaweza kukukataa tu!! Ni sawa wacha akajifiche shega tu!! Hata akionekana wazi hutamsaidia kitu.zaidi unatamani akupe ramani.Tapeli kazini
Kuna mzee amepoteza muda mwingi ulaya, anarudi anapanga kukimbilia kujificha kwao shinyanga ndani ndani huko
Ubaya wa nchi hizo mke na watoto hawataki kurudi nae kwahiyo anarudi kipweke zaidi
Mtawakamata wasiojitambua
kiroho cha kutu huja kiacha tu??? Km amesimuliwa unaweza pita au vinginevyo piga kimya...Huyu jamaa ni bwege fulani tu anafowardi humu stori za kusimuliwa, rangi yake halisi ni Countrywide.
Huwajui wabongo kwa sifa 😅 hio kazi ya Mil.1 kwa siku unaipatia wapi? Labda uwe umeajiriwa kwenye mradi wa IPTL walikokuwa wanapiga 150M kwa siku! Nje na hapo uwe kwenye NGO za kimataifa na fisadi katika mradi zaidi ya hapo uwe na biashara kubwa mjini ambayo inaingiza faida ya million 5 plus na wewe ni boss!Mkuu tufumbuwe macho ni kazi gani hizo wabongo wanapiga soft touch wanapata mpunga wakutosha? Maana mleta mada anasema analipwa Tshs.60,000 /hour anfanya kwa saa 18 hivyo kwa siku ni 1mil+ , je bongo hapa ni zipi hizo za kuingiza kiasi hicho within 24hrs?
km wanapeana ili waendelee roho mbaya yao nini???huyu ni mzanzibar hakupi mchongo wanapeana wao kwa wao wana roho mbaya sana
kiroho cha kutu huja kiacha tu??? Km amesimuliwa unaweza pita au vinginevyo piga kimya...
Hiyo roho ya bibi yako mzaa baba hujaiacha tu mkuu??
Haina maana kumuita mtu bwege.bwege la kwanza ni wewe....
Usisingizie utanzania.Baridi imekukataa wewe!! Hata ukirudi Dar. Uwafanyie nini? Wasomi wapo tele...na Hapo siyo kwenu!Kazi unazofanya na hela unayolipwa haviendani, hapa tz kuna watu wanapiga soft touch tu na wanaingiza mpunga wa kutosha. Kwa upande wangu siamini katika kufanya hizo kazi, japo kwa sasa sipo tz ila nikimaliza kilichonileta huku narudi zangu home. Kitu pekee nitachomiss huku ni miundombinu na huduma za jamii.
Na hiyo ndio namna pekee ... hahahhaHuwajui wabongo kwa sifa 😅 hio kazi ya Mil.1 kwa siku unaipatia wapi? Labda uwe umeajiriwa kwenye mradi wa IPTL walikokuwa wanapiga 150M kwa siku! Nje na hapo uwe kwenye NGO za kimataifa na fisadi katika mradi zaidi ya hapo uwe na biashara kubwa mjini ambayo inaingiza faida ya million 5 plus na wewe ni boss!
Watu wanaichukulia 1M kizembe wakati kuna raia wanasota 6 months just to make itNa hiyo ndio namna pekee ... hahahha
Fix ni nyingi sana, watu wanajifurahisha sana!!Watu wanaichukulia 1M kizembe wakati kuna raia wanasota 6 months just to make it
Wewe per day...unaingiza shi ngapi?Kuwapa watu nia ya kuchangamka na kutafuta uwezekano wa fursa nje ya Nchi ni jambo zuri.Inabidi utoaji huo wa habari za hizo fursa uendane na ukweli.Norway kuna sheria za kazi. Huwezi kufanya kazi mfululizo masaa 18.Unaweza kufanya kazi pass mbili tofauti lakini ni lazima kwa mujibu wa sheria za Norway upumzike masaa 11 kati ya pass moja na nyingine.
Hiyo mshahara wa 60000 za kitanzania ni kama 220 Norska kroner kwa saa.Halipi kodi?
Ukweli siku zote humuweka mtu huru.