Hadhira kubwa ya waliomo JF wako Tz. Sasa hizi hadithi za Norway zinawasaidia aje?Nimeona watu wengi sana wakiogopa kazi ambazo ni risk. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kazi ambazo zina risk kubwa ndio zenye pesa nyingi.
Simaanishi huku Norway kazi ambazo hazina risk hazina pesa, hapana. Kwanza kazi zenye pesa ni zile za wale skilled ambazo kwa mhamiaji huwezi kupata kirahisi au huwezi kupata kabisa.
Hapa ninamaanisha kazi zile za unskilled ambazo ndio hizo kwa ajili yetu sisi wahamiaji. Na ndio hizo ambazo wenyeji hawazipendi hata kidogo, maana
Humuamini jamaa yako?Kuna mshkaj wangu yuko Estonia apo (Mzungu alishakuja bongo akakaa kwangu) ,mishe zake anafanya btn Norway na Estonia, hua ananishawish nije kuchek mishe uko .... Vp unakuelewa kulivyo uko chief? Watu wa Estonia hawana issue ya ubaguz? Economy ikoje?
Duh..Akitoa mchongo anaitwa tapeli! Duh nchi ngumu sana hii.
Ujinga mwingine wa baadhi ya members ni kuamini kua Tanzania nzima, ni dar pekee yenye watu wanaojielewa. Wakati wanaume wa dar wenyewe hata watoto wa mtaani wakisara hakuna anayekatiza mtaa.Duh..
Halafu wengi wao ni miporipori ya mkoani, au yametoka mikoani, sio watoto waliokulia Dar ambao kwao jirani na marafiki kibao wamesafiri, ni kitu cha kawaida..
Lazima waku reference majina vijiji vyao,
Aisee... Safari kweli ni elimu tosha, hata South wangefungua macho...
Mkuu tufumbuwe macho ni kazi gani hizo wabongo wanapiga soft touch wanapata mpunga wakutosha? Maana mleta mada anasema analipwa Tshs.60,000 /hour anfanya kwa saa 18 hivyo kwa siku ni 1mil+ , je bongo hapa ni zipi hizo za kuingiza kiasi hicho within 24hrs?Kazi unazofanya na hela unayolipwa haviendani, hapa tz kuna watu wanapiga soft touch tu na wanaingiza mpunga wa kutosha. Kwa upande wangu siamini katika kufanya hizo kazi, japo kwa sasa sipo tz ila nikimaliza kilichonileta huku narudi zangu home. Kitu pekee nitachomiss huku ni miundombinu na huduma za jamii.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌Duh..
Halafu wengi wao ni miporipori ya mkoani, au yametoka mikoani, sio watoto waliokulia Dar ambao kwao jirani na marafiki kibao wamesafiri, ni kitu cha kawaida..
Lazima waku reference majina vijiji vyao,
Aisee... Safari kweli ni elimu tosha, hata South wangefungua macho...
Kwa maisha ya kule siyo hela nyingi mkuu, kibongo bongo ndio nyingi, na kwa hiyo kazi aliyosema na masaa hayo, anaumia mnoo, but maisha ni mapambano. Kwa upande wangu nipo kwenye ajira and natumia professional yangu kwenye ujasiriamali pia (mambo ya ardhi).Mkuu tufumbuwe macho ni kazi gani hizo wabongo wanapiga soft touch wanapata mpunga wakutosha? Maana mleta mada anasema analipwa Tshs.60,000 /hour anfanya kwa saa 18 hivyo kwa siku ni 1mil+ , je bongo hapa ni zipi hizo za kuingiza kiasi hicho within 24hrs?
Habari ndio hiyo..Ujinga mwingine wa baadhi ya members ni kuamini kua Tanzania nzima, ni dar pekee yenye watu wanaojielewa. Wakati wanaume wa dar wenyewe hata watoto wa mtaani wakisara hakuna anayekatiza mtaa.
Safi Sana mkuu wabongo wamejaa negativity nyingi piga kazi acha wapige porojo.Nilianza na post ya kutoa hizo ramani, Ila matusi niliyotukanwa nathubutu kusema sitakuja kurudia tena
Unampangia mwanaume mwenzioNimekuwa nikifuatilia stori zako za Norway, inaonekana unapambana sana, kupambana huko kuende sambamba na kutunza pesa + kuwekeza bongo (uwekezaji wa kisasa kulingana na experience yako huko).
Mkuu nafikri lengo ni kusaka pesa huko kuinvest hukuKwa maisha ya kule siyo hela nyingi mkuu, kibongo bongo ndio nyingi, na kwa hiyo kazi aliyosema na masaa hayo, anaumia mnoo, but maisha ni mapambano. Kwa upande wangu nipo kwenye ajira and natumia professional yangu kwenye ujasiriamali pia (mambo ya ardhi).
Alishasema watu wapambane wakifika ndiyo wamtafuteToa njia za kufika huko
Zamani tulichukuliwa utumwani kwa lazima siku hizi tunagombea kwenda utumwani.Per Diem watu wanataka uwape "mchongo" namna ya kufika huko Norway.
Acha porojo za sijui kazi zinalipa, sijui nini, wewe wape vijana wenzako "ramani". Acha roho mbaya man!
Njoo tufukue madini yamejaa tele nchini unapiga pesa zaidi ulaya unaenda kwa ajili ya massagi tuNipe namna ya kutika huko, nikazibue vyoo na mifereji michafu.
Bongo miti mingi wajenzi hamnaNimekuwa nikifuatilia stori zako za Norway, inaonekana unapambana sana, kupambana huko kuende sambamba na kutunza pesa + kuwekeza bongo (uwekezaji wa kisasa kulingana na experience yako huko).
Akili kichwaniTapeli kazini
Kuna mzee amepoteza muda mwingi ulaya, anarudi anapanga kukimbilia kujificha kwao shinyanga ndani ndani huko
Ubaya wa nchi hizo mke na watoto hawataki kurudi nae kwahiyo anarudi kipweke zaidi
Mtawakamata wasiojitambua