Norway kazi za risk zina pesa nyingi, tusiogope risk katika maisha

Waache wabongo wamuamini. Mnamkumbuka Parabora alivyoleta story zake za kwenda club usiku huo na kubambia wazungu akatokea Kiranga akamuuliza club gani imefunguliwa wakati Switzerland iko lockdown. Jamaa alikuwa hajui kama lockdown imeanza wiki hiyo. Kuna siku mtu atajichanganya.

Kitendo cha kusema alifanya kazi masaa 18 ni hatari ambayo hakuna mwajiri professional kama wa bandarini anaweza kufanya huo upuuzi, hasa hiyo faini yake hawezi kuivumilia. Kuna mbeba box mmoja aliwahi sema Ulaya huwezi ruhusiwa kuunganisha shift mbili za kazi, kama umeajiriwa masaa 8 ya kisheria huwezi sema mimi ni gangwe nitaingia na shift ya usiku.
Alafu hizo picha zimeziba rangi ya ngozi nzima, hata mikono haionekani, yani hujui huyo ni Mchina au Mwarabu. Mimi ni Tomaso hapa
 
Mkuu we pita tu kama unasoma gazeti hawa jamaa tumeshawazoea uzuri ni kwamba stori zao ni zilezile tofauti ni ID na location.
 
sawa niko south kwa sasa nifanye nami nije huko?? Au mahali pengine km hapo?? Nipe mawili matatu!!
 
Tapeli kazini

Kuna mzee amepoteza muda mwingi ulaya, anarudi anapanga kukimbilia kujificha kwao shinyanga ndani ndani huko

Ubaya wa nchi hizo mke na watoto hawataki kurudi nae kwahiyo anarudi kipweke zaidi

Mtawakamata wasiojitambua
km hawakutaki hata bongo wanaweza kukukataa tu!! Ni sawa wacha akajifiche shega tu!! Hata akionekana wazi hutamsaidia kitu.zaidi unatamani akupe ramani.
Wenye akili zao huyo ni lulu kwao.

Ukiogopa hiyo michamba wima hufiki popote.
Tunajua hata ukifanya vibaya mtihani wa drs la 7 tu wanacheka hao!! Heee!! ukifaulu yanajificha. Kuyaweza haya ukirudi na mpunga jifanye maskini uone watakavyo kunanga. Wapoteze kifikra baadaye ukiwa umevaa viraka vyako vya ulaya pandisha mgorofa wa nguvu kudumu faster.

Maliza pangisha rudi huko huko!! Ili kupunguza nzi.
Siku ukirudi ni viwanda na ma go down tu. Wanao nao peleka.
 
Huyu jamaa ni bwege fulani tu anafowardi humu stori za kusimuliwa, rangi yake halisi ni Countrywide.
kiroho cha kutu huja kiacha tu??? Km amesimuliwa unaweza pita au vinginevyo piga kimya...

Hiyo roho ya bibi yako mzaa baba hujaiacha tu mkuu??
Haina maana kumuita mtu bwege.bwege la kwanza ni wewe....
 
Huwajui wabongo kwa sifa 😅 hio kazi ya Mil.1 kwa siku unaipatia wapi? Labda uwe umeajiriwa kwenye mradi wa IPTL walikokuwa wanapiga 150M kwa siku! Nje na hapo uwe kwenye NGO za kimataifa na fisadi katika mradi zaidi ya hapo uwe na biashara kubwa mjini ambayo inaingiza faida ya million 5 plus na wewe ni boss!
 
kiroho cha kutu huja kiacha tu??? Km amesimuliwa unaweza pita au vinginevyo piga kimya...

Hiyo roho ya bibi yako mzaa baba hujaiacha tu mkuu??
Haina maana kumuita mtu bwege.bwege la kwanza ni wewe....

Unaniasa nisiite wenzio mabwege na bado wewe unaniita hivyo, unataka mbakie mabwege wachache…. cha muhimu ni kukupuuza tu.
 
Usisingizie utanzania.Baridi imekukataa wewe!! Hata ukirudi Dar. Uwafanyie nini? Wasomi wapo tele...na Hapo siyo kwenu!

Wewe unaitwa kichawi na shangazi yako ili akumalize kichawi tu! Tunawajua nyie watu...

Kwenu kuree kamachumu???. Sasa tukuulize utarudi kama chumu kufanya nini na Elimu yako hiyo ya Medical Data??
Utakufa na stress za kuchekwa km Muhongo alivo chekwa/kusemwa na Mbunge drs la saba yuko humu u tube.na msemaji ilikuwa amejaa chuki tu za wazi... Muhongo siyo level yake hata kiumri tu.lkn alimnanga ajili ya chuki.km haitoshi..

Jiwe likampa stress za kufa mtu ajili ya chuki tu. Acha ujinga Kaa na watu mnao fanana au wanao kuzidi kidogo.

Ukirudi bongo na umesoma umekaa ulaya heee!! Jiandae kufa kibudu.
Mbaya zaidi unamuoa drs la saba failure utakufa tu mapema.
Diaspora Hawarudiga kuishi hiyo ndo sheria yetu diaspora.

Kukaa na wachamba wima hopeless inahitaji moyo wa kijambazi mno.ni sumu tosha wale!!
Ukiweza uwe kigagula hasa.wasomi wa Nigeria walirudi ila ni vigagura gusa uone...

Umeshakuwa mzungu mweusi kaa huko huko.bongo unazuka kwa siri.km kaka kuona au

umerudi saaana ni Bongo.Arusha baaaas.

Lkn wilayani kwenu???? Sijui kijijini mweeee!!! Watakuzika mzima ajili ya chuki tu.make utakuwa spoted km mchawi. Haihitaji hirizi hii kuwajua wa hivi...

Wafute kabisa hao kwenye memory zako! Km kweli uko ulaya.

Wewe ni level na jamii nyingine kabisaaaa ishi ki hivyo..kumbuka ukirudi "mchawi ndugu" atakumaliza tena mnacheka hivi.ndo ilivo hata kwa Bible yusufu aliuzwa na ndg.

Sasa jichanganye tu sijui narudi kwetu Bwai!! uchanganyikiwe mpaka ufe
Nashangaa sana kwa nini muhongo hajafa lkn pia sidhani km bado akili iko sawa....

Kambona aliporudi tu kafa na ndg zake walijichanganya humu na vielimu vyao wakapotea mazima.unawasikia?? Km wapo! Ni frustrated pyuuu!!!

Nyerere aliponea chupuchupu mwanzoni lkn pia alikufia kwao tu kiutani..si aliondoka afya tele amestaaf anatembea yule mzee??...

Nkurunzinza Maweee!!hata pension hakuionja...

Angalia walio kimbia kwao km Kaunda amekufa juzi tu amejaa umri.
Mengistu Haile ni mzee hatari lkn yupo.Mfadhili wake kafia kwao.
Nina mifano mingi tu!
Nkapa sitaki kusema....
Mwinyi ntonto wa njini yupo...
Kikwete ntonto la manzese gusa unate...Jiwe huyuuuu

Miafrica ilivyo??? We kajichanganye tu na kiingereza chako cha hovyo hicho utalamba dongo faster..........

Kiongozi msomi ukiacha au kustaafu kaishi mbali hukooooo...umalizie umri wako salama....
 
Na hiyo ndio namna pekee ... hahahha
 
Wewe per day...unaingiza shi ngapi?
ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…