Not in my country: Wasituharibie kwetu! President Suluhu warns against foreign activists interference in Tanzania

Not in my country: Wasituharibie kwetu! President Suluhu warns against foreign activists interference in Tanzania

Serikali ya Africa Kusini haikuwa ya kikoloni, ilikuwa ni serikali inayojitegemea katika taifa huru linalojitegemea na ilikuwa inawekwa madarakani kwa uchaguzi.
Piki Botha alitungiwa kila nyimbo ya kushutumu urais kwa sababu ya sera ya kibaguzi ya Apartheid.

Wangekuwa hawana matatizo mataifa mengine yangemuunga mkono Botha wakati ule.
 
Kwa nini hamkuwaacha raia wa South Africa wapambane wenyewe na hao walowezi?
Dunia ya wakati ile haikuwa na maendeleo ya teknolojia kama haya ya sasa. Ilikuwa bado ipo gizani.

Unyama wa makaburu uliongeza umaskini na mateso kwa mataifa yanayowazunguka weusi wenzetu kule SA.

Tofauti na huyu Lissu anayejifanya kichwa ngumu katika miaka ya sasa.
 
Hawa mapimbi wakenya wanataka kujifanya wao wana akili sana kutuzidi. Kwamba wanadhani wanatufumbua macho kwa aina ya siasa zetu za kiungwana.

Wanatakiwa waondokane na aina hiyo ya mawazo ya kipuuzi. Museveni kawaonea sana wapinzani wake wawili wa urais na hajaonekana mwanaharakati hata mmoja wa kutoka Kenya akiingia Uganda na kwenda moja kwa moja kusikiliza kesi mahakamani wakati Besigye akisomewa mashtaka.
Shida ni Lissu brother
CCM mwamchukulia powa lkn aweza kuwa cost sana
 
Back
Top Bottom