Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu?Angalizo:
Ukipeleka hiyo noti ya zamani ya shilingi mia tano utatolewa kafara. DON'T SLEEP WAKE UP.
AMITABHA
Mshana Jr
Huo ni utapeli gani?Huu ni utapeli, tafuteni kazi halali mfanye acheni kuumiza watu kima nyie
Mambo ya kizamani kabisa haya
We unahisi mia 5 inaweza kuwa na thamani ya laki na ishirini?Huo ni utapeli gani?
Hili suala limekaa kiimani mkuu. Hapo wanaamini yeyote mwenye hizo noti ana nyota ya bahati (kufanikiwa)Kwanini mkuu?
Hatari SanaHili suala limekaa kiimani mkuu. Hapo wanaamini yeyote mwenye hizo noti ana nyota ya bahati (kufanikiwa)