Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morogoro ndio mhi wenye matapeli wa kiwango kikubwa sana pale hasa wilaya ya kilosaM
Morogoro bhana ishakuwa ya matapeli sana😀😀jamaa aliyeleta uzi atakuwa yupo kwenye chain ya scammers au anatumika bila kujua,
UtauponzaSio rahisi kama unavyofikiria,kumbuka mimi ni dalali napata posho tu.
Mimi niko nazoHamn hiyo hela yenye nyerere katika mze niamini mimi atatafuta mpaka basi
Wakuu,Inahitajika noti ya miatano ya zamani kama inavyoonekana kwenye picha hizi[emoji116]
Contact:0613063581
Location: Morogoro.
Offer: 120,000/=
Note:Mimi dalali tu,boss amesema hata ikiwa zaidi ya moja ananunua.
UPDATES;Wakuu,siwezi post JF kitu ambacho sjakihakiki,otherwise mwenye kudai ana noti awe ndo tapeli au boss wangu awe ndo anatapeliwa na waliomtuma, mimi niko makini sana.
Kuhusu wale wanaodai mambo ya kishirikina,Iko hivi kwenye mauzianio hakutakuwepo na sharti tata ,mfano wa sharti tata ni kama bei kuwa kiasi fulan bila kuongezeka wala kupungua na jingine ni kama malipo kuwa cash kwa cash.
View attachment 2624969View attachment 2624971