Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serious kabsa mze me sijatoa offer ila nimesema tu kwamb na mm nililewa offerNimeshatoa offer ya 120k, kama unazo zenyewe nicheck tufanye biashara,huyo mdau alikuwa anachangamsha thread tu,hana mteja wa mil20.
Picha zipo nyingi wewe ndo una delayMkuu mbona hujatuma picha,au umekuta sio zenyewe.
Ongeza na watu uishi vizuri boss we ukitaka 500,1000,2000,5000 na 10000 zipo😂Ilkuw ni 2021 tulizisaka san had vijijini lakini wapi
Nitumie laki na 20 nianze safari kesho alfajiri mkuuNa delay kivipi? unaweza post hapa au ukanitumia whatsapp kwenye namba yangu ipo kwenye tangazo, otherwise nenda jukwaa la chitchat/jokes ukaburudike.
120K hailipi mkuu izo ishakua ni dhahabi kupataMkuu naona hujanileewaa! Mimi ndo mnunuaji nimetoa offer ya laki na ishirini,kama unazo karibu tufanye biashara,namba yangu ipo juu kwenye tangazo.
Mimi nilizinunua laki tano nkakosa mteja. Nauza 120,000 nirudishe japo robo ya hela120K hailipi mkuu izo ishakua ni dhahabi kupata
Safi sana mkuu, ebu ipige picha kama hii ilivyo ionekane upande wa pili.Nitumie laki na 20 nianze safari kesho alfajiri mkuuView attachment 2626753
Hiyo hapoSafi sana mkuu, ebu ipige picha kama hii ilivyo ionekane upande wa pili.
Umerudia upande uleule,sijaona upande wa nyati akionekana mwl.Nyerere kama hii👇Hiyo hapo View attachment 2626769
Hamn hiyo hela yenye nyerere katika mze niamini mimi atatafuta mpaka basiOngeza na watu uishi vizuri boss we ukitaka 500,1000,2000,5000 na 10000 zipo😂
Hamn nyerere me mwenyewe nilkuw mtafutaji lakini nlikosa me nilipewa offer ya million 40 nikipata pasi ya mjerumaniUmerudia upande uleule,sijaona upande wa nyati akionekana mwl.Nyerere kama hii👇
View attachment 2626789