Mr Trust
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 237
- 126
- Thread starter
- #81
Zipo mkuu,nadhani itakuwa walitoa mwanzoni wakasitisha kama ilivyo kwa jero ya silver/sarafu.Hakunaga Noti ya 500 yenye Picha ya Nyerere kwa Ndani.
Toleo la Noti hizo za 500 zilikua na Picha ya Twiga!
Hiyo Noti ilowekwa kwenye huu Uzi imefanyiwa Editing..!